CHADEMA na UKAWA wataanguka vibaya sana 2020 tofauti na awamu zilizopita

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,372
Wadau, amani iwe kwenu.

Siku zote Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu. Nami nimeapa kusema kweli daima na unafiki kwangu ni mwiko.

Hebu wale wanaoshabikia CHADEMA na UKAWA jiulizeni, wapi mnaelekea? Nini mnasimamia? Nani adui wenu? Nani rafiki yenu? Je uliwahi kuendesha baiskeli kwenye mteremko mkali na kwa bahati mbaya Breki ikakatika? Imagine hali kama hiyo inajitokeza wakati unashuka mlima Kitonga kwa basi, nini kitatokea?

Ndivyo walivyo CHADEMA sasa. Naliona anguko kubwa juu yao. Hawajui wapi walipo na wapi wanaelekea. Hawajui wanasimamia nini hasa tofauti na kuvizia nini Rais anaongea.

Mtifuano ndani ya CUF hautawaacha salama. Nawaona wakipoteza majimbo yote ya Tanzania Bara. Naiona CUF ikirejea kuwa chama cha Visiwani tu.

CHADEMA nao hali si shwari. Nawaona wakipukutisha majimbo mengi ambayo waliyatwaa kwa bahati mbaya.

Magufuli na sera yake ya Hapa Kazi Tu imewaingia barabara wananchi. Wameachana na siasa za kilaghai.

Tukutane 2020
 
Kwa utafiti wa TWAWEZA hapo sawa. Ila tofauti na hapo tegemea kuona UKAWA wakisonga mbele zaidi kwa kuongeza majimbo na kuchukua nchi kabisa kwa mwaka tajwa hapo juu. Twaweza hawana tofauti na clouds FM ilibidi watoe majibu ya utafiti yanaoonesha mtukufu anakubalika sana ili waonekane na wao wanaweza kufikiriwa kwenye ukuu wa wilaya au hata ukurugenzi.

Mimi sipendi hizi thread zako za kutusababishia watu tuonekane WACHOCHEZI.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Siku zote Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu. Nami nimeapa kusema kweli daima na unafiki kwangu ni mwiko.

Hebu wale wanaoshabikia CHADEMA na UKAWA jiulizeni, wapi mnaelekea? Nini mnasimamia? Nani adui wenu? Nani rafiki yenu? Je uliwahi kuendesha baiskeli kwenye mteremko mkali na kwa bahati mbaya Breki ikakatika? Imagine hali kama hiyo inajitokeza wakati unashuka mlima Kitonga kwa basi, nini kitatokea?

Ndivyo walivyo CHADEMA sasa. Naliona anguko kubwa juu yao. Hawajui wapi walipo na wapi wanaelekea. Hawajui wanasimamia nini hasa tofauti na kuvizia nini Rais anaongea.

Mtifuano ndani ya CUF hautawaacha salama. Nawaona wakipoteza majimbo yote ya Tanzania Bara. Naiona CUF ikirejea kuwa chama cha Visiwani tu.

CHADEMA nao hali si shwari. Nawaona wakipukutisha majimbo mengi ambayo waliyatwaa kwa bahati mbaya.

Magufuli na sera yake ya Hapa Kazi Tu imewaingia barabara wananchi. Wameachana na siasa za kilaghai.

Tukutane 2020
Bila PolisiCCM, huyo magufuri mwenyewe angekuwa Chatu. CCM haina chakujidaia zaidi ya polisi. Tume ya Taifa iwe huru na haki, matokeo ya uchaguzi yasitangazwe na wakurugenzi.

Kama kweli mnajiamini mnakubalika wekeni mazingira sawa ya siasa. Hata kwa mazingira haya, tume ikiwa huru, 2020,, ccm
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Siku zote Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu. Nami nimeapa kusema kweli daima na unafiki kwangu ni mwiko.

Hebu wale wanaoshabikia CHADEMA na UKAWA jiulizeni, wapi mnaelekea? Nini mnasimamia? Nani adui wenu? Nani rafiki yenu? Je uliwahi kuendesha baiskeli kwenye mteremko mkali na kwa bahati mbaya Breki ikakatika? Imagine hali kama hiyo inajitokeza wakati unashuka mlima Kitonga kwa basi, nini kitatokea?

Ndivyo walivyo CHADEMA sasa. Naliona anguko kubwa juu yao. Hawajui wapi walipo na wapi wanaelekea. Hawajui wanasimamia nini hasa tofauti na kuvizia nini Rais anaongea.

Mtifuano ndani ya CUF hautawaacha salama. Nawaona wakipoteza majimbo yote ya Tanzania Bara. Naiona CUF ikirejea kuwa chama cha Visiwani tu.

CHADEMA nao hali si shwari. Nawaona wakipukutisha majimbo mengi ambayo waliyatwaa kwa bahati mbaya.

Magufuli na sera yake ya Hapa Kazi Tu imewaingia barabara wananchi. Wameachana na siasa za kilaghai.

Tukutane 2020
Muulize mzee Wasira ana uzoefu na tabiri za namna hii
 
Afadhali umewaambia. Ingawa watabisha.
 
Hahahahahaaaaaa! Mmevurugwa sana

NAona unamsema Mwenyekiti wako indirect,maana kila atamkalo nafuu ya jana.Amepoteza muelekeo.Na ndiyo sababu kubwa ya kuwaogopa CHADEMA.Jiulize kwa mwezi mzima Polisi na JWTZ walikuwa wakifanya mazoezi kwenye mitaa kisa Mikutano ya CHADEMA,leo wako wapi kwenye tetemeko?Ingekuwa enzi za JKN Jeshi leo lingekuwa liko site likifanya kazi bega kwa bega na wananchi wa BUKOBA,leo tunawaandaa wanajeshi na Polisi kuvunja maandamao au mikutano ya CHADEMA mabayo yako kisheria na kikatiba,hebu jiulize mnogopa nini??

Kama hawa watu ahwatafika 2020 kwanini kuwazuia?Kwanini kuwaweka makada wa chama kwenye anfasi za kiserikali?

Pole Lizaboni,lakini uzuri wa ukweli huwa unaumiza sana.Mwelekeo wa serikali sijui ni wapi?
 
Back
Top Bottom