CHADEMA na UKAWA wataanguka vibaya sana 2020 tofauti na awamu zilizopita

JF its for great thinkers,sasa mkuu hata wewe kama hujishindanishi na kujiwekea malengo bila shaka upo njia moja ya kushindwa,strong oppositions unaifanya serikali ya siku nayo kuwa imara;ukitoa simba au yanga kwenye ligi hiyo ligi sidhani kama itakuwa na msisimko tuliokuwa nao sasa.sasa naogopa wewe usije kuwa mmoja wapo watakao kuwa wanaulizia upinzani uchaguzi ujao wakati unashuhudia upinzani ukifutwa ndani ya nchi,kutofautiana kisiasa kwa sasa tumeshaanza kutokuzikana,wapinzani sio watanzania ni maadui hizi ni lugha mbaya mno.
usiwaalike nguruwe mezani! waache wajishibishe kwenye kinyesi chao!
 
Habari wakuu takribani miaka miwili imepita tangia uchaguzi mkuu ufanyike tulishuhudiwa upinzani mkubwa uliotolewa na chadema kwa ccm hii ilitokana na jinsi chama kilivyojindaa na uwezo wa kujenga hoja nzito nzito zenye maslai mapana kwa taifa na kuibua ufisadi mbali mbali chini ya katibu mkuu dr slaa.

Lakini sasa mambo yamekuwa tofauti sana kipindi hichi chadema ile iliyokuwa inasifika kwa kujenga hoja zenye manufaa imegeuka kuwa chama cha matukio wameacha hoja zao za msingi zenye lengo la kulikomboa taifa letu wabaki kuwa watetezi wa majizi na mafisadi.Leo hii cdm wanakuja na hoja za ovyo eti demokrasia nani kakwambia watanzania tunataka demokrasia watanzania tuna njaa tunataka tushibe ndo demokrasia ifate.Kwanza ni kilio cha watanzania kupata rais mwenye maamuzi.Watanzania hatuna shida na albadir tunata flyover.Watanzania hatutaki bunge live tunataka standard gauge.Watanzania hatutakula mikutano ya siasa tunata ndege.

Chadema hadi sasa hamjafanya lolote kwenye halmashauri zenu wala majimbo yenu zaidi tiu ya kutukana serikali na kulivunjia heshima bunge.Natabiri anguko kubwa la cdm 2020.Magufuli atapita kwa asilimia 90 au 95.Huku 88% ya wabunge watatoka ccm.Hamtaongoza hata halmashauri hata moja ccm itapata madiwani 85% huku 95 ya mitaa itatawaliwa na ccm
Umetumwa?
 
Hahahahahahaha lol! Mkuu ujue michango yako humu huwa unanifurahisha sana jinsi ilivyoenda shule na hako kanyani kamenifanya nicheke :):)

Ehh hiiii Aise una akili ndogo sana!!! Huelewi chochote ktk mfumo wa uendeshaji serikali. Kweli wafuasi wa CCM ni zero brain
 
Habari wakuu takribani miaka miwili imepita tangia uchaguzi mkuu ufanyike tulishuhudiwa upinzani mkubwa uliotolewa na chadema kwa ccm hii ilitokana na jinsi chama kilivyojindaa na uwezo wa kujenga hoja nzito nzito zenye maslai mapana kwa taifa na kuibua ufisadi mbali mbali chini ya katibu mkuu dr slaa.

Lakini sasa mambo yamekuwa tofauti sana kipindi hichi chadema ile iliyokuwa inasifika kwa kujenga hoja zenye manufaa imegeuka kuwa chama cha matukio wameacha hoja zao za msingi zenye lengo la kulikomboa taifa letu wabaki kuwa watetezi wa majizi na mafisadi.Leo hii cdm wanakuja na hoja za ovyo eti demokrasia nani kakwambia watanzania tunataka demokrasia watanzania tuna njaa tunataka tushibe ndo demokrasia ifate.Kwanza ni kilio cha watanzania kupata rais mwenye maamuzi.Watanzania hatuna shida na albadir tunata flyover.Watanzania hatutaki bunge live tunataka standard gauge.Watanzania hatutakula mikutano ya siasa tunata ndege.

Chadema hadi sasa hamjafanya lolote kwenye halmashauri zenu wala majimbo yenu zaidi tiu ya kutukana serikali na kulivunjia heshima bunge.Natabiri anguko kubwa la cdm 2020.Magufuli atapita kwa asilimia 90 au 95.Huku 88% ya wabunge watatoka ccm.Hamtaongoza hata halmashauri hata moja ccm itapata madiwani 85% huku 95 ya mitaa itatawaliwa na ccm
Wenye akili zinazolingana na wewe ndio watakaokubaliana na wewe.Chadema hawana serikali,maendeleo yasipopatikana mahali popote Tanzania hii mwenye serikali ndiye atakayepoteza uhalali wa kuendelea kutawala siyo Chadema.
 
Hahahahahahaha lol! Mkuu ujue michango yako humu huwa unanifurahisha sana jinsi ilivyoenda shule na hako kanyani kamenifanya nicheke :):)
Jamaa hajui chama kikishinda uchaguzi kitalindaje raslimali za taifa?! Sasa mtu kama huyo unabadilishanaje naye mawazo?! Ni kupoteza muda!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Habari wakuu takribani miaka miwili imepita tangia uchaguzi mkuu ufanyike tulishuhudiwa upinzani mkubwa uliotolewa na chadema kwa ccm hii ilitokana na jinsi chama kilivyojindaa na uwezo wa kujenga hoja nzito nzito zenye maslai mapana kwa taifa na kuibua ufisadi mbali mbali chini ya katibu mkuu dr slaa.

Lakini sasa mambo yamekuwa tofauti sana kipindi hichi chadema ile iliyokuwa inasifika kwa kujenga hoja zenye manufaa imegeuka kuwa chama cha matukio wameacha hoja zao za msingi zenye lengo la kulikomboa taifa letu wabaki kuwa watetezi wa majizi na mafisadi.Leo hii cdm wanakuja na hoja za ovyo eti demokrasia nani kakwambia watanzania tunataka demokrasia watanzania tuna njaa tunataka tushibe ndo demokrasia ifate.Kwanza ni kilio cha watanzania kupata rais mwenye maamuzi.Watanzania hatuna shida na albadir tunata flyover.Watanzania hatutaki bunge live tunataka standard gauge.Watanzania hatutakula mikutano ya siasa tunata ndege.

Chadema hadi sasa hamjafanya lolote kwenye halmashauri zenu wala majimbo yenu zaidi tiu ya kutukana serikali na kulivunjia heshima bunge.Natabiri anguko kubwa la cdm 2020.Magufuli atapita kwa asilimia 90 au 95.Huku 88% ya wabunge watatoka ccm.Hamtaongoza hata halmashauri hata moja ccm itapata madiwani 85% huku 95 ya mitaa itatawaliwa na ccm

Ndoto za alinacha hizo. Ni sawa na wewe kuamini kuwa siku moja utakuwa bilionea.
 
Nchi inakufa kwa dhiki wewe unawaza uchaguzi ! hata kama unalipwa na Bashite lakini si kumtumikia kitumwa namna hii !

Nimekudharau sana !

Bila polisi na vifaru ccm haiwezi kushinda uchaguzi wowote ule , Poor you !

Wewe dogo bana...mlianzaga kuwadharau Lowassa na Sumaye...leo hii mnawalamba miguu:D:D:D
 
Habari wakuu takribani miaka miwili imepita tangia uchaguzi mkuu ufanyike tulishuhudiwa upinzani mkubwa uliotolewa na chadema kwa ccm hii ilitokana na jinsi chama kilivyojindaa na uwezo wa kujenga hoja nzito nzito zenye maslai mapana kwa taifa na kuibua ufisadi mbali mbali chini ya katibu mkuu dr slaa.

Lakini sasa mambo yamekuwa tofauti sana kipindi hichi chadema ile iliyokuwa inasifika kwa kujenga hoja zenye manufaa imegeuka kuwa chama cha matukio wameacha hoja zao za msingi zenye lengo la kulikomboa taifa letu wabaki kuwa watetezi wa majizi na mafisadi.Leo hii cdm wanakuja na hoja za ovyo eti demokrasia nani kakwambia watanzania tunataka demokrasia watanzania tuna njaa tunataka tushibe ndo demokrasia ifate.Kwanza ni kilio cha watanzania kupata rais mwenye maamuzi.Watanzania hatuna shida na albadir tunata flyover.Watanzania hatutaki bunge live tunataka standard gauge.Watanzania hatutakula mikutano ya siasa tunata ndege.

Chadema hadi sasa hamjafanya lolote kwenye halmashauri zenu wala majimbo yenu zaidi tiu ya kutukana serikali na kulivunjia heshima bunge.Natabiri anguko kubwa la cdm 2020.Magufuli atapita kwa asilimia 90 au 95.Huku 88% ya wabunge watatoka ccm.Hamtaongoza hata halmashauri hata moja ccm itapata madiwani 85% huku 95 ya mitaa itatawaliwa na ccm
Headless snake
 
Unaweweseka sana, CHADEMA itadumu hata kwa mbinu zenu za kigaidi za kutaka kuua kiongozi wetu, hamtafanikiwa. Mtapata aibu ya milele.
Panga programs zako upya.
 
Habari wakuu takribani miaka miwili imepita tangia uchaguzi mkuu ufanyike tulishuhudiwa upinzani mkubwa uliotolewa na chadema kwa ccm hii ilitokana na jinsi chama kilivyojindaa na uwezo wa kujenga hoja nzito nzito zenye maslai mapana kwa taifa na kuibua ufisadi mbali mbali chini ya katibu mkuu dr slaa.

Lakini sasa mambo yamekuwa tofauti sana kipindi hichi chadema ile iliyokuwa inasifika kwa kujenga hoja zenye manufaa imegeuka kuwa chama cha matukio wameacha hoja zao za msingi zenye lengo la kulikomboa taifa letu wabaki kuwa watetezi wa majizi na mafisadi.Leo hii cdm wanakuja na hoja za ovyo eti demokrasia nani kakwambia watanzania tunataka demokrasia watanzania tuna njaa tunataka tushibe ndo demokrasia ifate.Kwanza ni kilio cha watanzania kupata rais mwenye maamuzi.Watanzania hatuna shida na albadir tunata flyover.Watanzania hatutaki bunge live tunataka standard gauge.Watanzania hatutakula mikutano ya siasa tunata ndege.

Chadema hadi sasa hamjafanya lolote kwenye halmashauri zenu wala majimbo yenu zaidi tiu ya kutukana serikali na kulivunjia heshima bunge.Natabiri anguko kubwa la cdm 2020.Magufuli atapita kwa asilimia 90 au 95.Huku 88% ya wabunge watatoka ccm.Hamtaongoza hata halmashauri hata moja ccm itapata madiwani 85% huku 95 ya mitaa itatawaliwa na ccm
UNATIA HURUMA
 
Back
Top Bottom