Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,194
- 297
Uhhhuuu,
Mgaya, alikuwa CUF ila ni mwenye chuki za kidini na hataki wazo la wenzake CHADEMA Kuweka mgombea kwa sababu za kidini? JF ina data na vichwa. Hebu tumwagie file lake hapa tumchambue huyu mtu anayetaka kuirudisha Tanzania kwenye zama za mawe kwa chuki zake za kidini na kikabila.
Is this fair to the rest of Tanzanians?
Kwa nini isingekua kila mteuliwa akatoka at least mkoa tofauti?? Ugumu unatoka wapi au mikoa mingine haina wanachama wa Chadema wenye sifa?
Mhe. Maulidah Anna Komu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Susan Anslem Lyimo, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Halima James, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Grace Sindato Kiwelu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2000-2010)
Mhe. Lucy Owenya, Kilimanjaro (Mtoto wa Ndesamburo)
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Mhonga Ruhwanya Said, Others
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
'MwK,
Cha kwako ni kati ya vile vichwa ambavyo ukivifunua unakuta umbea, uongo, uzandiki na ubishi wa std 2. Eti ukiwakosoa Chadema kwa kuteua wabunge 5 kati 6 kutoka mkoa mmoja, wewe ndie unayekuwa mkosaji kuliko yule anayeitetea hiyo hali. Je huu ni uungwana kweli (namnukuu Mambombotela).
MwK na wanaukumbi kwa ujumla, hapa naweka tena breakdown ya wabunge wa Chadema ili kila mtu aone MwK anacho-defend. I hope na MwK sio Kilimanjaro-line au benefitiary maalum kama mtoto wa Ndesamburo, Lucy Owenya.
ukiwakosoa Chadema kwa kuteua wabunge 5 kati 6 kutoka mkoa mmoja, wewe ndie unayekuwa mkosaji kuliko yule anayeitetea hiyo hali. Je huu ni uungwana kweli (namnukuu Mambombotela).
Now wait a minute, with all due respect mnyonge mnyongeni lakini haki apewe, wakuu eti hizi habari ni za kweli kuwa wabunge watano wa kuteuliwa wanatoka mkoa mmoja? Kama ni kweli that is serious I mean hii sijawahi kuisikia hii?
Hebu wakuu wa upande wa pili tuwekeni sawa hapa!
Wabunge wa kuteliwa CHADEMA:
Maulidah Anna Komu- Zanzibar
Mhonga Said Ruhanywa-Kigoma
Halima James Mdee na Suzan Lyimo- Dar es salaam( Kinondoni na Vyuo Vikuu)
Grace Kiwelu na Lucy Owenya- Kilimanjaro
Natumaini upande wa pili umekuweka katika mshazali
Asha
Ili kuondoa dukuduku; vilevile tufahamu mikoa yao ya asili kwani katika Tanzania yetu mtu anaweza kuishi popote na akagombea nafasi ya kisiasa kutokea kule anakoishi lakini hiyo haiondoi wingu la ukabila kutegemea na mikoa yetu ya asili
'
We kubwa Jinga Jinga,
Mara ngapi uambiwe kuwa Maulidah Anna Komu ni Mzanzibar mwenzetu ili uelewe? Huyu hatoki Kilimanjaro kabisa. Ni mzanzibar halisi wa kuzaliwa. Aliwahi kuhamia kilimanjaro lakini alishaondoka miaka zaidi ya kumi nyuma. Unajua huyu mama historia yake katika CHADEMA? Hivi unaweza kusimama kweli kishujaa na kusema mgombea mwenza wa Urais kuteuliwa viti maalum ni kupendelewa kwa kuwa anatoka kilimanjaro? Unakumbuka Mtikila alimwekea pingamizi kuwa ni asiwe mgombea mwenza kuwa anatoka Kilimanjaro, unakumbuka tume iliamua nini? Tume ilihoji mpaka akili za mtikila kwa kuweka pingamizi la namna hiyo ilihali inajulikana wazi kuwa huyu ni mkazi wa Zanzibar na Dar es salaam kwa miaka mingi iliyopita. Alishaondoka Kilimanjaro na kuna mtu mmoja hapa alishasema aliachika kilimanjaro miaka mingi sana iliyopita. Vipi mngazija mzaliwa wa jirani na kwetu kwa Bijoha akawa wa kutoka Kilimanjaro?
Halafu unawachanganya humo na wakazi wengine wa Dar es salaam kama Halima Mdee walioteuliwa kwa nafasi zao ama Suzan Lyimo aliyeteuliwa kama mwakilishi wa vyuo vikuu toka UDSM wote umeamua kuita ni wateule wa mkoa Kilimanjaro. Endelea tu kupandikiza mbegu ya ubaguzi. Hebu chapa picha za namna hiyo pia za idadi ya wabunge wa viti maalum wa CCM wenye asili ya Kilimanjaro halafu tulinganishe. Picha zao si ziko kwenye website ya bunge. WanaCCM wenyewe walikiri hapa kwamba hata katika CCM wamejaa wachagga wengi sana na wenye asili ya Kilimanjaro kwenye viti maalum. Kwa nini kazi yako ni kuilalamikia CHADEMA tu?
Asha
WABUNGE WA CHADEMA
Is this fair to the rest of Tanzanians?
Kwa nini isingekua kila mteuliwa akatoka at least mkoa tofauti?? Ugumu unatoka wapi au mikoa mingine haina wanachama wa Chadema wenye sifa?
Mhe. Maulidah Anna Komu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Susan Anslem Lyimo, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Halima James, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Grace Sindato Kiwelu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2000-2010)
Mhe. Lucy Owenya, Kilimanjaro (Mtoto wa Ndesamburo)
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Mhonga Ruhwanya Said, Others
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Ili kuondoa dukuduku; vilevile tufahamu mikoa yao ya asili kwani katika Tanzania yetu mtu anaweza kuishi popote na akagombea nafasi ya kisiasa kutokea kule anakoishi
Hata hivyo, kugombea uongozi mbali na mkoa ulikozaliwa haiondoi wingu la ukabila na wasiwasi wa washindani wenu juu ya mizania ya uongozi wenu kitaifa; hasa mkiwa na tamaa ya kuwa chama mbadala wa sisiemu
Mauliah-Mganzija, Halima-Mpare(inasemekana amezaliwa na kukulia Dar es salaam), Mhonga-mtu wa Kigoma, sijui kama ni Muha au kabila lingine, Suzan(Mchagga).
Asha
WABUNGE WA CHADEMA
Is this fair to the rest of Tanzanians?
Kwa nini isingekua kila mteuliwa akatoka at least mkoa tofauti?? Ugumu unatoka wapi au mikoa mingine haina wanachama wa Chadema wenye sifa?
Mhe. Maulidah Anna Komu, Komoro & Kilimanjaro (kaolewa na Mkilimanjaro na kuhamia huko).
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Susan Anslem Lyimo, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Halima James, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Grace Sindato Kiwelu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2000-2010)
Mhe. Lucy Owenya, Kilimanjaro (Mtoto wa Ndesamburo)
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Mhonga Ruhwanya Said, Kigoma
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Now wait a minute, with all due respect mnyonge mnyongeni lakini haki apewe, wakuu eti hizi habari ni za kweli kuwa wabunge watano wa kuteuliwa wanatoka mkoa mmoja? Kama ni kweli that is serious I mean hii sijawahi kuisikia hii?
Hebu wakuu wa upande wa pili tuwekeni sawa hapa!
Asha,
Sijui unatetea nini hapa maana hizi sio siri, kila kitu kiko wazi. Hata ukilazimishia kumwondoa Mrs. Anna Komu ambaye ni mke wa nduguyake na Ndesamburo, ambapo huo Uzanzibari wake umeanza tu baada ya kuanza mambo siasa za Chadema ili ajumlishwe kama mwakilishi wa Unguja, bado inabaki kuwa Kilimanjaro 4, Other Tanzanians 2. Sasa huu uwiano sijui ni nani atakayeuelewa. Hata Zitto nataka atujibu ni kwa nini kakaa kimya kwenye hili au ni kwa vile yeye alialikwa chamani na angalau ndugu yake naye kapewa ubunge?
Hii list nitaendelea kukutundikia mpaka utakapokubali kuwa kuna ubovu kwenye kupeana huu ulaji wa bungeni.
Kakalende,
Ukiona mtu anaficha au kuupindisha ukweli hapo ujue kuwa kuna kitu na yeye hataki ukijue. Hapa chini naweka tena majina na mikoa yao ya asili.
Mkuu FMES,
That is right. Hii ni serious and is a big deal maana Chadema wanajaribu kuvaa ngozi ya kondoo kumbe ndani kuna uozo mkubwa. Lazima Chadema wasafishe huu upendeleo ndani ya chama chao ili tuweze kuwaamini kama chama cha kitaifa.
At last you have shown your true colour. The Anti-CHADEMA! Mugongo Mugongo alias Chinga, coming in a new style.
Suala hili mbona Zitto na Mnyika walishaeleza kwa kina, wakaeleza hatua gani zilipitiwa, mapungufu gani yaliyokuwepo wakati wa kutekeleza nia njema waliyoileza hapa, vigezo vya kila mmoja kuteuliwa na mfumo mpya wa uteuzi utakaotumika mwaka 2010 chini ya Baraza La Wanawake wa CHADEMA(BAWACHA).
Hebu search tu hapa au omba msaada upewe links
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=12123&page=32
Otherwise, rudi huku ukajibu maswali yangu- http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=12123&page=32
Usinikwepe jamani
Nani kakudanganya kuwa mama komu alikuwa mzanzibar kwa ajili ya viti maalum? Huyu ni mzanzibar wa kuzaliwa, ameishi Zanzibar mpaka amekuwa kabisa. Akaenda kuolewa kilimanjaro,akakaa miaka michache, akaachika na akarudi kwao Zanzibar zaidi ya miaka kumi iliyopita. Na toka lini Komu akawa na undugu na Ndesamburo? Hii inadhihirisha nia yako ya kuchafua CHADEMA tu. We endeleza tu kazi ya Chama Cha Mafisadi, lakini jua watanzania wameerevuka.
Ukishindwa humu hamia Habari Corruption haswa Rostam International ukaendelee na kazi
Asha
WABUNGE WA CHADEMA
Is this fair to the rest of Tanzanians?
Kwa nini isingekua kila mteuliwa akatoka at least mkoa tofauti?? Ugumu unatoka wapi au mikoa mingine haina wanachama wa Chadema wenye sifa?
Mhe. Maulidah Anna Komu, Komoro & Kilimanjaro (kaolewa na Mkilimanjaro na kuhamia huko).
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Susan Anslem Lyimo, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Halima James, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Grace Sindato Kiwelu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2000-2010)
Mhe. Lucy Owenya, Kilimanjaro (Mtoto wa Ndesamburo)
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Mhonga Ruhwanya Said, Kigoma
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Huyu kubwajinga anachuki kwa vile hajaona watu wa dini yake wakiwa hapo. Na pia anachuki dhidi ya wanawake na hiki ndicho kilimtoa CUF. Kumbuka kuwa amekuwa CUF muda mrefu kabla kina Lipumba hawajamfukuza kwa vile yeye alikuwa analazimisha kuwa viongozi lazima wawe waislam peke yao.
Ameona kuwa kuna uwezekano wa CUF na CHADEMA kushirikiana kwenye uchaguzi mkuu ujao na this time CHADEMA watapewa nafasi sasa ameanza kuichafua CHADEMA maana yeye hapendi yoyote yule isipokuwa muislam.
Usishangae kuwa hataki wapinzani wasimamishe mgombea mwaka 2010. Kuna sababu kubwa kwa nini anasema hivyo.
Mkuu Mgaya,
Hebu tuache uzushi kidogo na kujibu hoja iliyopo mkononi. Kubwajinga wa watu kabandika list na picha kabisaa za wahusika na hakuzushia mtu yeyote kwenye maelezo yake. Sasa mbona mwamzushia u-CUF, uislam mkali n.k bila ushahidi??
Huu si ndio uzandiki na uzushi wenyewe? Kama hamna majibu basi tufungue hoja nyingine. Lakini nakuahidi kuwa hili halitaondoka kama hakuna mtu mwenye majibu ya kueleweka.
Mnyika,
uko online mara kwa mara tunaomba maelezo, maana Asha, MwK na Mgaya wote yamewashinda.
mimi nilidhani wewe ni kubwajinga kumbe unamwongelea mwingine? hahhahaha hahhaah au ndio yale mambo ya kudouble log in? naona umepatikana ha hah ahahh hhah
Wewe historia yako inafahamika vizuri sana tangu ukiwa CUF na namna ambavyo ulikuwa unapinga viongozi wasio waislam wasipewe madaraka. Mambo yako yote navile unavyotumia chuki za kidini dhidi ya wanawake vinajulikana sana.
Unataka ushahidi wote uwekwe hata vile ambavyo umeukana uraia wa Tanzania baada ya kukimmbia nchi? File lako liko wazi na wewe mwenyewe ndiyo umejitokeza. Kina Seif na Lipumba wamekufukuza na hawataki kukuona na sasa umeleta chuki zako haapa?
Unategemea nani ana muda wa kurudia rudia kujibu kitu ambacho kimejibiwa mara nyingi sana hapa forums? Sana sana utabishana labda na Asha kwa sababu anakuzunguka tu ili azidi kukuabisha na kukufunua kwa watu wasiokufahamu.
Wengine hapa wanakusuburia uendelee kufurahisha baraza. Unamtisha nani kuwa haya yataendelea? Wote kina Mnyika na viongozi wa Chadema wanakufahamu kwa hiyo hakuna atakayehangaika nawe katika hili.
Chuki zako za kidini kuwa viongozi lazima wawe waislam pekee inabidi ziende saudi arabia na sio Tanzania. Viongozi wa upinzani watasimamisha mgombea mwaka 2010 na inawezekana akatoka chadema na hatakuwa muislam. Jaribu tu kukumbuka kuwa unaishi kwenye karne ya 21 ambayo watu hawajengi chuki za kidini na kikabila.
WABUNGE WA CHADEMA
Is this fair to the rest of Tanzanians?
Kwa nini isingekua kila mteuliwa akatoka at least mkoa tofauti?? Ugumu unatoka wapi au mikoa mingine haina wanachama wa Chadema wenye sifa?
Mhe. Maulidah Anna Komu, Komoro & Kilimanjaro (kaolewa na Mkilimanjaro na kuhamia huko).
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Susan Anslem Lyimo, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Halima James, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Grace Sindato Kiwelu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2000-2010)
Mhe. Lucy Owenya, Kilimanjaro (Mtoto wa Ndesamburo)
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Mhonga Ruhwanya Said, Kigoma
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Asha,
ukisoma hii post please check your PM kuna new information ambazo ni kubwa zaidi.