CHADEMA na ubunge 2020


Wewe pia ukagombee kwenu Simiyu
 

..I like ur response.

..kwasababu umelitambua tatizo , na umetoa mapendekezo ya nini kifanyike.

..2020 chama kinatakiwa kiwe na a strong and vibrant presidential candidate.

..pia kuwe na wagombea ubunge vijana, makini, na kampeni zao ziwe well organized.

..maandalizi yaanze sasa hivi ktk mazingira hayahaya magumu.
 
Hivi unaweza kutusaidia uchaguzi wa 2020 ni wabunge wangapi wa CCM walipita bila kupingwa?
 
Hahahaa Ruta bana.

Naona wewe mwenzetu tayari ushafika na kuvuka hata hiyo 2020.

You're funny.
 
Polepole katoa siri kumbe misaada kwa ccm iko sambamba na misamaha na ukwepaji wa kodi.

Kwa minajili hii maendeleo hakuna.
 
Nadhani wanatii sheria bila shuruti ya agizo la Ngosha Mkulu: Siasa ni mpaka 2020
 
Ukishindwa kuwacomvice na kuwawin vijana umekwisha. Mtaendelea mpaka lini kuwategemea wazee kati umri unawatupa mkono? 'Hiki kizazi cha dhahabu si kizazi cha giza'
 
Nadhani wanatii sheria bila shuruti ya agizo la Ngosha Mkulu: Siasa ni mpaka 2020

Kama ni hivyo ndo basi tena!

Imagine kama kina Mandela nao wangesalimu amri kule AK....
 
Kwa upepo wa kisiasa ninaouona sasa hivi bonge lijalo linaweza kukosa hata mpinzani mmoja. Huu ni ukweli na ukweli kabisa
 
Bora kuwa hata na Wabunge 10 wa Chadema kuliko mibunge ya kura za Ndiyoooo ambayo huchaguliwa na wadumavu wa akili...
 
Mkuu tayari wana wagombea ubunge wao ,orodha anayo mwenyekiti Mbowe kim Il Sung kama humlambi viatu sahau ubunge kupitia Chadema,akina Sepetunga nao sijui tayari wameshatumikishwa ,Chadema ina mwenyewe ,wengine wote ni akina pangu pakavu tia mchuzi
 
Kama ni hivyo ndo basi tena!

Imagine kama kina Mandela nao wangesalimu amri kule AK....
Mi navyoona mambo yanavyokwenda, hakuna wa kuitoa CCM madarakani... labda CCM ipasuke vipande viwili.

Wamemiliki kila kitu kinachoweza kuwapa ushindi wa haki au wa wizi.

Kwa mfumo huu, CDM na ndugu zao wote, watasubiri sana kuwatoa hawa wezi madarakani.
 
Wabunge wenyewe kama kubenea wanaongelea shanga bungeni mnategemea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…