CHADEMA na TBC kunani?

CHADEMA na TBC kunani?

nasikitishwa sana kuona wabunge wa chadema hawashiriki katika mijadala inayoendeshwa na television ya taifa (tbc) hususani vile vipindi vya asubuhi.

Sifurahishwi kwa sababu kuna watanzania wengi wana access na station hii na wanahitaji sana michango murua kutoka kwa wabunge machachari wa chadema.

Niwaulize enyi viongozi wa chadema,je mna mgogoro na tbc na nyinyi tbc je mna mgogoro na chadema?na kama jibu ni ndiyo kwanini msikae mkayamaliza?hamuwatendei haki watanzania kwa kweli.

Jirekebisheni.

tbc ni aibu ta taifa....

Sijawahi kuona wakosefu wa weledi kama hawa...

Huwezi kila siku unaandaa vipindi vya mijadala na kuwatenga wabunge wa chama kikuu cha upinzani....sio kosa kuwaalika wengine lakini unapobagua hadi kipofu anaona hiyo ni aibu kabisa ....na ushahidi wa wazi wa uwepo wa mkakati ovu juu ya chama kikuu cha upinzani....

Tbc inaendeshwa kwa kodi za wananchi ....ingekuwa ccm wanatumia televisheni yao sawa....lakini kitendo cha kutumia kodi zetu vibaya hakikubaliki....

Juzi mkutano wa moro wa ccm umehudhuriwa na watu kama elfu moja.....kwenye taarifa ya habari wakasema maelfu ya watu ..hadi yule kaka msomaji wa habari akaona aibu......hapo hapo habari za mikutano ya kisiasa iliyofanywa na chama kingine siku hiyo haikuoneshwa...aibu...

Ziara ya kinana ilikuwa na coverage kwa siku zote kwa kodi zetu!!!

Huyo ndio clement mshana .....zoba..au boya la tbc...ni wazi tido mhando au suzane mongy asingekubali haya!!
 
Nasikitishwa sana kuona wabunge wa CHADEMA hawashiriki katika mijadala inayoendeshwa na television ya taifa (TBC) hususani vile vipindi vya asubuhi.

Sifurahishwi kwa sababu kuna watanzania wengi wana access na station hii na wanahitaji sana michango murua kutoka kwa wabunge machachari wa CHADEMA.

Niwaulize enyi viongozi wa CHADEMA,je mna mgogoro na TBC na nyinyi TBC je mna mgogoro na CHADEMA?Na kama jibu ni ndiyo kwanini msikae mkayamaliza?Hamuwatendei haki watanzania kwa kweli.

Jirekebisheni.

Weewe ni mgeni katika nji hii???
Wazungu wana kamsemo,''Like Daddy like Son''. Serikali ya CCM ndiyo inayomiliki TBC,Bunge ni la Serikali ya CCM,UWT ni ya Serikali ya CCM,Polisi ni ya Serikali ya CCM na JWTZ ni la Serikali ya CCM!!!

Kama Bunge linaweza kuwanyanyasa Wabunge wa CHADEMA kwa kejeli,matusi na kuwafukuza nje ya Bunge, unategemea nini hao Wabunge wa CHADEMA wakienda TBC??? Je,unataka waende kudhalilishwa,kutukanwa na kuzomewa?Wewe ulishawahi kuona MBWA(according to Juma Ngamia)akihojiwa na TBC??

Juma Nkamia ni Mtangazaji wa TBC aliyeukwaa Ubunge kwa tiketi ya CCM na wewe ni shahidi juzi alivyoropoka Bungeni kwa kuwaita Wabunge wa CHADEMA kuwa ni MBWA na hawezi kuongea na mbwa isipokuwa na mfuga mbwa ambayo ni CCM na Serikali yake!!!!

Wabunge wa CHADEMA wana haki ya kususia na kugomea kabisa vipindi vinavyoendeshwa na chombo chochote cha Mfuga Mbwa! Upo hapo???
 
mkuu tambua kua TBC ni chombo cha umma ambayo kodi ya walala hoi ndiyo uwafanya watangaze ila wamebase sana katika masuala ya nyinyiem kuliko matatizo ya nchi hii tv ilikuepo ni kizuri kipindi cha Tido ila baada ya kutoka imearibika na kamwe siwezi kuitazama kamwe fikiria siku MV SPICE ILIPOZAMA TV INAONYESHA TAARAB hakh mabo mengine bwana
 
sidiemu wameibaikoti tibisii
Vipi mkuu, mbona unaandika kwa kutumia lugha ya kwenu?

Kwa kuwa JF, inasomwa na waTZ wengi sana, na ndiyo inayoaminika kuwa ndiyo inayotoa taarifa za kuaminika kwa sasa, ni vyema ungetoa hayo maoni yako kwa kutumia lugha yetu ya Taifa, ya kiswahili!!
 
Weewe ni mgeni katika nji hii???
Wazungu wana kamsemo,''Like Daddy like Son''. Serikali ya CCM ndiyo inayomiliki TBC,Bunge ni la Serikali ya CCM,UWT ni ya Serikali ya CCM,Polisi ni ya Serikali ya CCM na JWTZ ni la Serikali ya CCM!!!

Kama Bunge linaweza kuwanyanyasa Wabunge wa CHADEMA kwa kejeli,matusi na kuwafukuza nje ya Bunge, unategemea nini hao Wabunge wa CHADEMA wakienda TBC??? Je,unataka waende kudhalilishwa,kutukanwa na kuzomewa?Wewe ulishawahi kuona MBWA(according to Juma Ngamia)akihojiwa na TBC??

Juma Nkamia ni Mtangazaji wa TBC aliyeukwaa Ubunge kwa tiketi ya CCM na wewe ni shahidi juzi alivyoropoka Bungeni kwa kuwaita Wabunge wa CHADEMA kuwa ni MBWA na hawezi kuongea na mbwa isipokuwa na mfuga mbwa ambayo ni CCM na Serikali yake!!!!

Wabunge wa CHADEMA wana haki ya kususia na kugomea kabisa vipindi vinavyoendeshwa na chombo chochote cha Mfuga Mbwa! Upo hapo???
Hapo kwenye red ndipo ninapolia napo.Kwanini kususa lakini ilihali kodi tunazidi kulipa na inatumika vibaya kadri ya maelezo yako?
 
mkuu tambua kua TBC ni chombo cha umma ambayo kodi ya walala hoi ndiyo uwafanya watangaze ila wamebase sana katika masuala ya nyinyiem kuliko matatizo ya nchi hii tv ilikuepo ni kizuri kipindi cha Tido ila baada ya kutoka imearibika na kamwe siwezi kuitazama kamwe fikiria siku MV SPICE ILIPOZAMA TV INAONYESHA TAARAB hakh mabo mengine bwana
Mkuu umenena vema.Ila siamini kama kususa ndio njia ya kutatua tatizo hili.Wewe unaweza kukimbilia kuangalia stations nyengine lakini je wale wenye uwezo wa ku-access iyo TBC tu wakimbilie wapi?Je waendelee kunywa propaganda chafu kadri ya maelezo ya wachangiaji wengi humu?Nafikiri inapaswa ifike wakati tuweke tofauti zetu pembeni tuanze upya kwa maslahi ya nchi yetu.Kadri tunavyoendelea kushindana ndivyo tunavyozidi kuumia.Tubadilike.
 
hata wasipoitwa na hao TBCCM ukweli utafahamika tu! sasa hivi tbc ni kama uhuru fm zoteniza chama tawala!
 
Hivi unayepoteza muda wako kuangalia tbc una akili.tbc angalia bunge live ili kukusaidia kujua pumba na mchele .baada ya hapo kamata remote zima.
 
hata wasipoitwa na hao TBCCM ukweli utafahamika tu! sasa hivi tbc ni kama uhuru fm zoteniza chama tawala!
Kwaiyo kikija chama tawala chengine TBC itakuwa mali ya hiko chama?Napatwa na wasi wasi huu mfumo wa kususa ni wa kujenga mazingira ya visasi ambavyo havina tija yoyote.Think
 
Mjinga kama wewe utasema haya na uwezo wa Lema ila wenye mbwa hawalali kwa uwezo mkubwa alionao Lema wa kujenga hoja na ujasiri unawatisha MaCCM .Sasa wenye mbwa wanajua ila sijui wewe uko Dunia gani .
Jibu ni kuwa yuko dunia ya mbwa.
 
Niliwahi kusema hapa tbc imepoteza sifa kama tv ya Watanzania,tbc haina mvuto,tbc vipindi vyake vingi nikuaminisha umma mafanikio yaliyopatikana huku wakisahau kwamba hakuna mafanikio yoyote pasipo changamoto!sasa tunajiuliza changamoto wanataka zirushwe na tv gani?Tbc jirekebisheni!

WHEN TRUTH IS DEVIDED,ERRORS MULTIPLY!!
 
ukweli ni kwamba tbc hakuna cha kuangalia.bora ushinde unaangalia channel za kenya kama una acces na ujionee wenzetu wanavopga hatua kwenda mbele sis tunapga hatua kurud nyuma
 
Chadema ni wendawazimu hawana maadili.
Hawana UKWELI wala UHAKIKA wa wanayoyafanya.
Wataishia itv na gazeti la nipashe.

You deserve a bhan you senior idiot .Una post 32 tena zte zimejaa nuharo wewe mburula unashusha heshima ya JF hata kama mnalipwa basi fanyeni kwa siri hapa ni eneo la great thinkers never sinkers cause ypu are sinking
 
Mkuu sio kweli.Nakutolea mfano mdogo tu hapa Lindi tupo analojia bado na wakazi wengi wanatumia antena ndogo maarufu kama chadema na wanakamata TBC tu.TBC ni mali ya watanzania wote na Chadema ni chama cha wananchi.Tuna kila sababu ya kulisemea hili.

Sifa ya mbio za ukombozi huwa ni no retreat,no surrender....Kumbuka Nyerere aliwakataa Israel kwa sababu ya kuwa na mahusiano na makaburu....waisrael walikuwa na msaada sana kwetu hasa majengo makubwa kama Bugando...
Suala la msingi ni labda CHADEMA kuanzisha TV yao...kama mtu hajawaona viongozi kwa kuwa Lindi au kwa kuona TBC tu,atakuwa na matatizo binafsi kwani walishaweka kambi kwa muda huko!
 
Nilishuhudia kwa macho yangu mtangazaji wa TBC akiruka kusoma kichwa cha habari kilichohusu CHADEMA mda wa magazeti. . . . . . .poor tbccm
 
Back
Top Bottom