Abdallah kimwaga
Member
- Dec 16, 2012
- 49
- 8
TBC inaheshimika sana duniani, haipo tayari kumualika mtu kama Mh. Lema ambaye anaonekana wazi kabisa kwamba uwezo wake wa kufikiri ni mdogo na malezi yake ya utotoni hayakuwa mazuri.
tukiwapanga wewe na lema.kisha tukaambiwa tuchague mwenye busara na shupavu, lema atakuongoza!