bluetooth23
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 348
- 326
TBC haina viwango vya kuitwa tv station na wala haina viwango vya kutazamwa na watu timamu, ile labda watoto na wale wanaochek tamthilia tu, kwanza ni ya chama halafu watangazaji hamna kitu na hata rang na habari zao ungese mtupu, mi huwa napta tu au kutazama komedi na tena nitaifuta kabisa.