CHADEMA na ofisi za biashara

CHADEMA na ofisi za biashara

Mawazo yako yanafanana na avatar yako,lakini pia nimefatilia post zako nyingi humu JF is like unaumwa ukichaa vile au uliwai umwa bado ujapona vyema...na wewe upo na mke wako na watoto wako unawaambia mchango wako kwa ukombozi wa Tanzania ndio huo uharo ulioandika hapo? Hv unadhani Dr Slaa ni mwizi kama viongozi wa magamba? Jaribu kuwa na comments za mtu mzima na mwenye akili timamu,wewe ni baba wa familia ati!! unatia aibu hata kwa watoto wako,sasa kama baba ni kichwa tope hivi hao watoto watakuwaje? si watakuwa majitaka square.....!!!

nenda kapige mswaki wewe ndo uje apa great thinker.asbh yote hii unakurupuka na kuharisha apa.kwani slaa ni nani hasa.
 
nenda kapige mswaki wewe ndo uje apa great thinker.asbh yote hii unakurupuka na kuharisha apa.kwani slaa ni nani hasa.

Hapo kwenye Red Slaa ni mwanamageuzi aliyeazimia kuwakomboa watanzania kutoka katika ukoloni wa sisiemu.
 
simple logic, mpiganaji kajitolea nyumba yake itumike kama ofisi, wakti huo huo ubaraza ni mmoja na yeye anaendesha biashara yake. chumba cha ofisi yawezekana kiko ndani, ila bango lipo barazani li kila mtu alione.
 
umeshirikisha akili kweli wakati unaandika huu upuuzi wako?.

Unafikiria kwa kutumia uti wa mgongo badala ya ubongo.

Slaa ni nani by the way!!
 
Hapo kwenye Red Slaa ni mwanamageuzi aliyeazimia kuwakomboa watanzania kutoka katika ukoloni wa sisiemu.

mpiganaji hawezi kuiba mke wa mtu wakati wanawake wapo wengi mtaani. Huyo ni fisadi wa mapenzi.
 
nenda kapige mswaki wewe ndo uje apa great thinker.asbh yote hii unakurupuka na kuharisha apa.kwani slaa ni nani hasa.

ushabiki ni ugonjwa ndg yangu. Hawa mapro-CDM wanamuabudu Slaa zaidi ya mungu. Wapo tayari hata kumpinga mungu ila si Slaa.
 
sio muda wote uonekane umechangia kujaza post..................SIMPLE MINDED as olwez

acha upuuzi wewe, hauwezi kuzuia mawazo yangu. Mimi siongozwi na fikra za kitumwa kama wewe.

If you wish, call me "the man of his own Principle".
 
ushabiki ni ugonjwa ndg yangu. Hawa mapro-CDM wanamuabudu Slaa zaidi ya mungu. Wapo tayari hata kumpinga mungu ila si Slaa.

Ushabiki ni mbaya kweli hasa wa kushabikia magamba.

Ni heri wao kumpinga mungu na kumuunga mkono Slaa. Wangekuwa wanatenda kosa kubwa sana kama wangempinga Mungu.
 
Nimeshtuka sana kuona hii picha,..
sijui kama ndo kukusanya hela za kuendeshea chama au vipi.
Lakini ofisi ya chama kugeuzwa kuwa sehemu ya biashara?
sielewi ati

View attachment 39240

Cha ajabu hapo ni kipi!!!?Hiyo ndio hali halisi ya maisha ya Watanzania masikini waliowengi na uhalisia wenyewe ndio huo sio magamba wanasema uchumi Wa nchi umekua kwa asilimia kadhaa(huku wakipigiwa makofi)wakati raia wengine hawapati hata huo mlo mmoja kwa siku
 
Hao ni ccm wanatutafuta ugomviiiiiiiiiiiiiiii,wamelete matikiti yao ili tuanzishe vurugu sasa hawatuweziiiiiiiiiiii sisi ni hoja tu.
 
Nimeshtuka sana kuona hii picha,..
sijui kama ndo kukusanya hela za kuendeshea chama au vipi.
Lakini ofisi ya chama kugeuzwa kuwa sehemu ya biashara?
sielewi ati

View attachment 39240

Unashangaa hii hebu tembelea ofisi za CCM,nyingi huwa kunakuwa na biashara ya kuuza kahawa (UKUDA) vitumbua na ule mchezo unaoongoza kwa uongo (BAO) ,mara ooh nimekula nyumba,nimepata mtaji,nimetakata nk.
 
kwani ofisi za CCM zikoje? Mbona huku kwetu ofisi ya CCM wamepangisha kwa wafanyabiashara maduka pamoja na baa. huyo mama haapo amesaidiwa tu halipi kodi.
 
Nchi hii bana full usanii tu, hakuna cha CCM wala CDM, wote wachumia tumbo tu.
Hiyo picha ya ofisi binafsi haija nishangaza sana, lakini unaijua makao makuu ya CDM?
Inatia aibu kiukweli, wanapata ruzuku mamilioni yote yanaishia kwa kundi la wafanyabiashara kwa kigezo cha kuendesha shughuli za chama, shughuli za chama hata ofisi ya maana wanashindwa kujenga.
Wapo bize kulipana mishahara mikubwa tena yenye kila harufu ya ufisadi, eti mshahara kidogo kisha marupu rupu kibao ilimradi tu kukwepa kulipia kodi(rabish) kweli nyani haoni kundule.Leo hii mapato ya Slaa ni ufisadi mwingine na kwa wenye akili timamu ni kufidia ubunge alio uachia ilikugombea uraisi
Ni rahisi sana kuiona CDM mkombozi ikiwa nje ya madaraka kwa sababu CCM imepoteza dira kabisa, nikama nchi imewashinda, na mkombozi unayeweza "kumdhania" kwa sasa ni CDM, lakini CDM pia kuna tatizo pale, tatizo ambalo hatuwezi kuliona kwakuwa CCM imetukinai,imepoteza matumaini yetu.
Mleta mada Pengine marehemu Chacha Wangwe ndio hichi alikuwa anapigania, ruzuku zipelekwe mikoani na kisha wilayani kujenga chama(ikiwemo ofisi), akaishia kujenga bifu zito na "wenye chama"
Kimsingi kama unaupeo wa kufikiri hatua kadhaa mbele utaona tofauti kati ya CCM na CDM ni kuwa kimoja kipo madarakani(kwenye neema) na kingine kinapigania kuingia kwenye neema.
Siamini tena ukombozi wa kweli kupitia hivi vyama vyetu, labda bila kujali nani kashinda tukiwa na uwiano unaoendana wa wabunge wa upinzani na wamadarakani na wagombea binafsi na bunge likipewa meno walau tunaweza fika tuendako
LAKINI KWA SASA WOTE NI FULL USANII TU

Chadema siku hivi wana mradi wa kuuza matikiti maji?
 
simple logic, mpiganaji kajitolea nyumba yake itumike kama ofisi, wakti huo huo ubaraza ni mmoja na yeye anaendesha biashara yake. chumba cha ofisi yawezekana kiko ndani, ila bango lipo barazani li kila mtu alione.

Mbona Mbowe, ajajitolea pale Billicanas kuwapa ofisi CDM au yeye sio mpiganaji?

Makao makuu ya CDM pale Kinondoni mtaa wa ufipa utadhani ofisi za Saccos za Tandale
 
ushabiki ni ugonjwa ndg yangu. Hawa mapro-CDM wanamuabudu Slaa zaidi ya mungu. Wapo tayari hata kumpinga mungu ila si Slaa.

Ipo siku tutakuta midume inatoka kuhemewa mgongoni pale Abla appartments,maana na uhakika hakuna kitu pro CDM watakataa akisema yule babu mzinzi.
 
Ushabiki ni mbaya kweli hasa wa kushabikia magamba.

Ni heri wao kumpinga mungu na kumuunga mkono Slaa. Wangekuwa wanatenda kosa kubwa sana kama wangempinga Mungu.

Mwita msamehe bure itakua hajui tofauti ya mungu Na Mungu....lol! Tuko pamoja kama wanamuunga mkno Dr. Slaa na kumpinga mungu imekaa vizuri sanaaa.
 
Wanakusanya mshahara wa Slaa.

Fuatilia matukio makubwa mkuu daima mwanzo wake ni kitu kidogo kabisa. Arab spring kule Tunisia ilianza na muuza matunda. Muda utakujibu vizuri subiri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom