CHADEMA na ofisi za biashara

Hakuna dhambi mbaya duniani kama kukata tamaa! Akina Mandela, Quatara, Sata wangekata tamaa, wasingefikia mafanikio waliyoyapata! Amka ndugu yangu. Leo unazungumzia ruzuku "kubwa" wanayoipata cdm huku ukitaka kuwatenga waliopigana hadi ikapatikana!? Tafakari mafanikio ya cdm halafu uwaweke mbele walioyafanikisha utajikuta umeachana na propaganda za kijinga zinazoenezwa na ccm! Sio kazi rahisi kwa chama kutoka wabunge 5 hadi 23 majimboni!

lakini hata kama wamefanikiwa, siyo wajilipe watakavyo. wamefika hapo ni kwa sapoti ya wazalendo. kama taarifa hizi ni za kweli, itatuumiza wengi hasa kwa Mbowe kujilipa eti deni alilokikopa CDM. Kwa upande wa dk. Slaa, siyo shida sana, kwani ni mshahara wa kazi nzuri anayoifanya.

Hivi tunaweza kufanya CHECK AND BALANCE ya vyama vyetu? Au huwa hawaweki wazi taarifa za mapato na matumizi ya chama?
 
Personally nashangaa sana watu makini kama Zitto, Mnyika, Mdee, Lema etc wanakubalije Chama kuwa na low Office kiasi kile pale kinondoni. Hivi na Office zao za Mbunge ziko kama ile ya pale Kinondoni!? Kwa miaka ile chama inaanza kweli tunaelewa lakini sio kwa sasa. Kama HQ iko vile unategemea huko mikoani na vijijini itakuwaje?

CDM Hakika you need to change. Vinginevyo mnatutia hofu pindi mkiichukua Nchi hata vilivyomo hamtoweza kuviboresha sembuse kuanzisha vipya.
 
propaganda hizi zilishagonga mwamba we bado unaendeleza, wasiliana na wenzako wanaandaa zingine hizi za kwako hata usalama wa taifa wameshindwa ku-spin tena. ur outdated
Mkuu ukweli huwa hauwagi outdated, labda kama haujui au unajifanya hujui
 
Kweli inashangaza. Pamoja na viofisi vya ovyo, popular support kwa CDM inazidi kuongezeka. Where did you (anti CDM) guys go wrong!
 
attachment.php

ofisi yenyewe ni ipi naona bango tu na kule ndani ni studio au macho yangu
 
acha upuuzi wewe, hauwezi kuzuia mawazo yangu. Mimi siongozwi na fikra za kitumwa kama wewe.

If you wish, call me "the man of his own Principle".
SIMPLE MINDED as olwez...............kwahiyo ulichokipost wewe pale ndo ulifikiria hadi mwisho,huh,kuna haja ya kupima IQ za wana JF,usidhani kila mtu ni pro CDM humu ila kwenye fact ni fact tu
 
SIMPLE MINDED as olwez...............kwahiyo ulichokipost wewe pale ndo ulifikiria hadi mwisho,huh,kuna haja ya kupima IQ za wana JF,usidhani kila mtu ni pro CDM humu ila kwenye fact ni fact tu

nawewe hapa umejitahidi kufikiria hadi mwisho wa upeo wako.

Your IQ is below the normal range. Take care.
 
Personally nashangaa sana watu makini kama Zitto, Mnyika, Mdee, Lema etc wanakubalije Chama kuwa na low Office kiasi kile pale kinondoni. Hivi na Office zao za Mbunge ziko kama ile ya pale Kinondoni!? Kwa miaka ile chama inaanza kweli tunaelewa lakini sio kwa sasa. Kama HQ iko vile unategemea huko mikoani na vijijini itakuwaje?

CDM Hakika you need to change. Vinginevyo mnatutia hofu pindi mkiichukua Nchi hata vilivyomo hamtoweza kuviboresha sembuse kuanzisha vipya.

Sidhani kama makao makuu ya chama
yako vile kama "pagale" kuna mbunge wa chadema atakua na
ofisi nzuri,achilia mbali kuwa na ofisi
 
Uhitaji kuhofu mwanzo mgumu............tutafika tu,maana CDM hakina source nyingine zaidi ya wananchi wapenda mabadiliko kama wewe...

Thobodo vp hamumfuati tena kumpigia magoti awape hela za kuendeleza ofisi km hizi ?
 
Back
Top Bottom