Tangu lini kadi anayomiliki mtu ikawa imenyooka hivyo???KAMA KWELI WANA WA ARS WAMEWARUDIA MBONA MWAMWOMBA PINDA AZUIE MARUDIO YA CHAGUZI KATA TANO HADI WAMEVUNJA KATIBA???Msema kweli kipenga kipulizwe tuone nani anaangukia pua.CCM ISAHAU KULIKOMBOA HILO JIMBO HATA KWA GHARAMA YA DAMU.NI AIBU,AIBU NA AIBU ZAIDI KUFANYA USANII WA KINDONDOCHA.
![]()
Mbona hujiamini unaonekana kama unatetemeka?
Mnajitekenya na kucheka wenyewe.Hivi mmechapa kadi ngapi za Chadema mwezi huu?
CCM DRAMA>>! kwanini msianzishe pia chuo chenu cha ccm cha USANII, Mukiongezee chama mapato?
hahaha mbona hawaonyeshwi wanaorudisha..........