Heading kubwa kumbe hakuna lolote ndani!! Jino kwa jino ndiyo nini kwa vikadi hata kumi havifiki!
siunajua,,mzee wa rula,awa jamaa wamesha poteza dira wana yumba yumba,walianza dr slaa kkashukua mke wa mtu,wakaja na singo ya ukatoliki,wakatoa rimx ya ukanda,wakapiga live band ya kadi2 aikuwatoa sasa wa mefyatua singo ya kukopi na kupest,haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,,,,,,watanzania sasa hivi hawa nunui project za magamba,,,,,,,,,,,singo za chadema,,,,,,,,,wanazi kubali,,,,,,,ndio ule msemo wa wa shwaili unasema siku ya kufa nyani miti yote huteleza,,,,,,,,aaaaaaaaaaa singo zote izi nyie magamba azija wa toa,,,,,,,,,subirini kufa 2015,haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,