Ndo umeandika nini atiiii?Yani ukiwa Masikini utaendelea kuwa masikini tu. Vijana wametumika kabla ya uchaguzi na baada ya kushinda badala ya kusherekea bado inatumika kuanzisha posti eti mbunge mmoja wa Chadema ashiriki bungeni!
Abeeee😃😃😃😃😃😃Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe, Msigwa, Lema, Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida!
Sasa wewe unafurahia kutoweka kwa wapinzani!
Subiri sheria za hovyo zitakavyopitishwa zitakuhusu na wewe.
Jitoeni sasa mnasubiri nini?Usichojua ni kwamba UONGOZI ni mchakato usio na mwisho, uhalali wa kiongozi unatokana na uwepo wa uchaguzi huru na haki, ushiriki wa watu katika mazingira ya usawa. Kwa aina ya uchaguzi huu, vyema wakajitoa kabisa nafasi hizo, CCM itimize azma yake ya kuleta maendeleo kwenye majimbo bila kikwazo.
Wangewaruhusu tu waende Bungeni au wakawe madiwani Ila wasiongee chochote, bungeni wawe wanaenda kusaini posho tu na ikiwezekana waunge mkono. 2015 uchaguzi ulikuwa hivihivi japo si kwa kiwango Kama hiki mbona hawakujitoa? Mbowe na Lema wangeshinda wangejitoa? ZZK angeshinda angejitoa? Hawa ilibidi wajitoe kutoshiriki uchaguzi Kama serikali za mitaaWadau, amani iwe kwenu.
CHADEMA na ACT Wazalendo sasa wamevurugwa. Wamechanganyikiwa na wamevurugikiwa na akili. Kuna msemo unaosema kuwa ukiwa na hasira au furaha iliyopitiliza usifanye maamuzi yoyote makubwa. Hilo CHADEMA hawajalizingatia.
Ni hivi, nimedokezwa na Wasiri wangu wa Kuaminika ndani ya CHADEMA na ACT Wazalendo kuwa pamoja na mambo mengine kwenye kikao chao cha leo pale Mtaa wa Ufipa kwenye kijibanda cha Makao Makuu ya CHADEMA wanatangaza kujiondoa kwenye nafasi zote za Udiwani na nafasi moja ya Ubunge waliyoshinda kwenye uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020. Tayari Mbunge wa Nkasi, KHENANI ameshawishiwa kujiondoa na amekubali na anachosubiri ni tamko la leo.
Hayo yatakuwa maamuzi mabaya sana kuweza kuchukuliwa na vyama vya upinzani. Kususa kwao uchaguzi wa Serikali za mitaa uliopita ndio umeleta Anguko Kuu kwenye uchaguzu Mkuu wa mwaka huu. Ni dhahiri kwamba maamuzi hayo yanaenda kuvifuta kabisa vyama hivyo kwenye ulingo wa siasa hapa nchini.
Sisi tunawachora tu kwa pembeni na tunawacheka Kwi kwi kwi kwiiiiii
Ndo akili za wana ccm hizi.ukiwa na akili huwezi pata ajira ya lumumba b7/day.Cheki zile sura zao kama wameramba ndimu, losers
Mbatia na Mrema, Cheyo, Shibuda, ni wapinzani?Wakijitoa then katika wale kumi magu atachagua wapinzani
Na akili za chadema ni kucheza pool table, na kuanza kuilaumu serikali hali ngumu, fanya kazi/jiajiri, hivi ukiwa chadema chadema lazima uwe jobless na mcheza Poole table ?Ndo akili za wana ccm hizi.ukiwa na akili huwezi pata ajira ya lumumba b7/day.
I think you have something wrong in your empty headTUTAANDAMANA KUTAFUTA MKATE WETU WA KILA SIKU
Na: MDUKUZI
Nawaza Watanzania walivyo jiamini kuhudhuria mikutano yote yaani mikutano ya chama tawala na vyama vya upinzani, Watanzania sio wanafiki, Watanzania niwakweli na wanaupendo wa dhati, na wanamuheshimu mtu, lakini wanaipenda Sana nchi yao, wanaipenda Sana Tanzania, ndio maana wameonesha ni nani anafaa kuisogeza nchi hii nani hatofaa kwa Sasa kuiongoza nchi hii.
Sasa wanajiuliza kwani ingekuaje Kaka wa Kigoma na Kaka wa Hai na wengine wangeshinda hivi wange hamasisha waandamane au kuingia Barabarani ?
Wanajiuliza je kushinda upinzani ndio demokrasia , wanajiuliza je ,kwenye kuandamana wataandamana wao na familia zao, watoto wao ,je kaka zao watakuepo (kaka wa Hai, Wakigoma na Singida, Na Babu wa Zanzibar na familia zao na waototo wao)? Je watakuwa mbele(Front) kwenye kuandamana?
Watanzania.wanajiuliza maswali mengi Sana , kwani Hawa viongozi walio wachagua wenyewe sio ndio walinadi sera zao vizuri, sera hazina matusi, sera zenye mlengo wa kuwakomboa kutoka kwenye hali walizo nazo mpaka hali nzuri zaidi na ndio maana wakaamua kuwachagua.
Wanajiuliza Watanzania wanaandamana wakitafuta suruhu ya Nini? Wana andamana Ili iweje?
Wanasema Watanzania Kwa upendo wao na kwa nia zao TAREHE 28-10-2020, walikamilisha dhamira yao na Sasa wanahitaji kufanya kazi kwa bidii na kulijenga Taifa lao na kuimarisha ustawi wa maisha yao ,hizi hadith zingine hawako tayari.
Kama nimandaamano ya kutafuta mkate wa kila siku wako tayari na wataandamana kutafuta maendeleo kwa ajili mustakabali na ustawi wa maisha yao na Taifa lao kwa ujumla.
#AmaniTunuYetu
#TuandamaneKutafutaMkateWetu.
CUF walijaribu uchaguzi uliopita matokeo yake Nchi imepiga hatua. Ndugu wakipigana chukua jembe ukalime, wakipatana chukua kapu ukavune! Waache waendelea na maamuzi ya hasira sisi tuendelee kujenga Nchi!Wadau, amani iwe kwenu.