Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kutangaza kujitoa kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani walizoshinda

Yani ukiwa Masikini utaendelea kuwa masikini tu. Vijana wametumika kabla ya uchaguzi na baada ya kushinda badala ya kusherekea bado inatumika kuanzisha posti eti mbunge mmoja wa Chadema ashiriki bungeni!
 
Ndo umeandika nini atiiii?
 
Point of correction sio nafasi za ubunge na udiwani walizoshinda , bali nafasi ambazo Jiwe mhutu aliiagiza tume iwape hatuvitaki kwa kweli bakini bunge zima kijani kibichi kitupu .
 
Anyway Kawe Alumni vipi haonekani au ndio kazi nzuri ya serikali ya awamu ya tano kuzima internet imemfurahisha yeye na mapimbi menzie ya kijani kibichi hayaonekani humu , waimba mapambio ya kusifu na kuabudu .
 
Marehemu Masaburi alikuwa anazungumzia watu kama wewe aliposema "kuna wanaotumia makalio" kufikiri. Alikuwa sahihi. Nyang'au CCM wamepata walichokitaka. Yatakayotokea sote tutashuhudia-mazuri kwa mabaya. Muda ni mwalimu mzuri atatufundisha wote. Ni imani yangu utaendelea kufurahia kila kitu.
 
🧐Wapinzani wanaangamia kwa kukosa maarifa, sasa ngoja niwaoneshe Bao linavopigwa.
Jiwe ni mtu wa subira sana na mtaalam wa kusoma nyakati, na kila kitu kashaweka mezani nyie susien , halaf nchi si ndo itakua under full control ya CCM (Bunge,Rais,Mahakama) vyote👍🤔
Nyie nnafikiri kipi hakiwezekani hapo, Bajet CC,Mipango CC,Rais CC,Mahakama na sheria(haki) CC,Jeshi CC. yaan kuna uwezekano wa lolote kufanyika kwasababu huu ni Ufalme bana,
yan hata wakisema Nyerere alilazimishwa mfumo wa vyama vingi sasa tuutoe ni ghalama, Imepita bila kupingwa, CCM,ambo yote.

Hasira za mkizi furaha kwa Mvuvi.
 
Usichojua ni kwamba UONGOZI ni mchakato usio na mwisho, uhalali wa kiongozi unatokana na uwepo wa uchaguzi huru na haki, ushiriki wa watu katika mazingira ya usawa. Kwa aina ya uchaguzi huu, vyema wakajitoa kabisa nafasi hizo, CCM itimize azma yake ya kuleta maendeleo kwenye majimbo bila kikwazo.
Jitoeni sasa mnasubiri nini?
Hamtabadilisha chochote bali maisha yataendelea tu.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

CHADEMA na ACT Wazalendo sasa wamevurugwa. Wamechanganyikiwa na wamevurugikiwa na akili. Kuna msemo unaosema kuwa ukiwa na hasira au furaha iliyopitiliza usifanye maamuzi yoyote makubwa. Hilo CHADEMA hawajalizingatia.

Ni hivi, nimedokezwa na Wasiri wangu wa Kuaminika ndani ya CHADEMA na ACT Wazalendo kuwa pamoja na mambo mengine kwenye kikao chao cha leo pale Mtaa wa Ufipa kwenye kijibanda cha Makao Makuu ya CHADEMA wanatangaza kujiondoa kwenye nafasi zote za Udiwani na nafasi moja ya Ubunge waliyoshinda kwenye uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020. Tayari Mbunge wa Nkasi, KHENANI ameshawishiwa kujiondoa na amekubali na anachosubiri ni tamko la leo.

Hayo yatakuwa maamuzi mabaya sana kuweza kuchukuliwa na vyama vya upinzani. Kususa kwao uchaguzi wa Serikali za mitaa uliopita ndio umeleta Anguko Kuu kwenye uchaguzu Mkuu wa mwaka huu. Ni dhahiri kwamba maamuzi hayo yanaenda kuvifuta kabisa vyama hivyo kwenye ulingo wa siasa hapa nchini.

Sisi tunawachora tu kwa pembeni na tunawacheka Kwi kwi kwi kwiiiiii
Wangewaruhusu tu waende Bungeni au wakawe madiwani Ila wasiongee chochote, bungeni wawe wanaenda kusaini posho tu na ikiwezekana waunge mkono. 2015 uchaguzi ulikuwa hivihivi japo si kwa kiwango Kama hiki mbona hawakujitoa? Mbowe na Lema wangeshinda wangejitoa? ZZK angeshinda angejitoa? Hawa ilibidi wajitoe kutoshiriki uchaguzi Kama serikali za mitaa
 
TUTAANDAMANA KUTAFUTA MKATE WETU WA KILA SIKU

Na: MDUKUZI

Nawaza Watanzania walivyo jiamini kuhudhuria mikutano yote yaani mikutano ya chama tawala na vyama vya upinzani, Watanzania sio wanafiki, Watanzania niwakweli na wanaupendo wa dhati, na wanamuheshimu mtu, lakini wanaipenda Sana nchi yao, wanaipenda Sana Tanzania, ndio maana wameonesha ni nani anafaa kuisogeza nchi hii nani hatofaa kwa Sasa kuiongoza nchi hii.

Sasa wanajiuliza kwani ingekuaje Kaka wa Kigoma na Kaka wa Hai na wengine wangeshinda hivi wange hamasisha waandamane au kuingia Barabarani ?

Wanajiuliza je kushinda upinzani ndio demokrasia , wanajiuliza je ,kwenye kuandamana wataandamana wao na familia zao, watoto wao ,je kaka zao watakuepo (kaka wa Hai, Wakigoma na Singida, Na Babu wa Zanzibar na familia zao na waototo wao)? Je watakuwa mbele(Front) kwenye kuandamana?

Watanzania.wanajiuliza maswali mengi Sana , kwani Hawa viongozi walio wachagua wenyewe sio ndio walinadi sera zao vizuri, sera hazina matusi, sera zenye mlengo wa kuwakomboa kutoka kwenye hali walizo nazo mpaka hali nzuri zaidi na ndio maana wakaamua kuwachagua.

Wanajiuliza Watanzania wanaandamana wakitafuta suruhu ya Nini? Wana andamana Ili iweje?

Wanasema Watanzania Kwa upendo wao na kwa nia zao TAREHE 28-10-2020, walikamilisha dhamira yao na Sasa wanahitaji kufanya kazi kwa bidii na kulijenga Taifa lao na kuimarisha ustawi wa maisha yao ,hizi hadith zingine hawako tayari.

Kama nimandaamano ya kutafuta mkate wa kila siku wako tayari na wataandamana kutafuta maendeleo kwa ajili mustakabali na ustawi wa maisha yao na Taifa lao kwa ujumla.

#AmaniTunuYetu
#TuandamaneKutafutaMkateWetu.
 
Attachments

  • FB_IMG_1603605647914.jpg
    FB_IMG_1603605647914.jpg
    47.1 KB · Views: 1

I think you have something wrong in your empty head
 
Nimefurahi Sana kuona CCM imeshinda kote chadema wasiwadanganye wenzao au kwakuwa wao hawana mbunge 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wadau, amani iwe kwenu.

CHADEMA na ACT Wazalendo sasa wamevurugwa. Wamechanganyikiwa na wamevurugikiwa na akili. Kuna msemo unaosema kuwa ukiwa na hasira au furaha iliyopitiliza usifanye maamuzi yoyote makubwa. Hilo CHADEMA hawajalizingatia.

Ni hivi, nimedokezwa na Wasiri wangu wa Kuaminika ndani ya CHADEMA na ACT Wazalendo kuwa pamoja na mambo mengine kwenye kikao chao cha leo pale Mtaa wa Ufipa kwenye kijibanda cha Makao Makuu ya CHADEMA wanatangaza kujiondoa kwenye nafasi zote za Udiwani na nafasi moja ya Ubunge waliyoshinda kwenye uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020. Tayari Mbunge wa Nkasi, KHENANI ameshawishiwa kujiondoa na amekubali na anachosubiri ni tamko la leo.

Hayo yatakuwa maamuzi mabaya sana kuweza kuchukuliwa na vyama vya upinzani. Kususa kwao uchaguzi wa Serikali za mitaa uliopita ndio umeleta Anguko Kuu kwenye uchaguzu Mkuu wa mwaka huu. Ni dhahiri kwamba maamuzi hayo yanaenda kuvifuta kabisa vyama hivyo kwenye ulingo wa siasa hapa nchini.

Sisi tunawachora tu kwa pembeni na tunawacheka Kwi kwi kwi kwiiiiii
CUF walijaribu uchaguzi uliopita matokeo yake Nchi imepiga hatua. Ndugu wakipigana chukua jembe ukalime, wakipatana chukua kapu ukavune! Waache waendelea na maamuzi ya hasira sisi tuendelee kujenga Nchi!
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom