Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kutangaza kujitoa kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani walizoshinda

Wewe uliambiwa huyo Aida ndiyo aliwazidi hao wapinzani mbinu..?
Mkakati kwa uchaguzi huu ulishaandaliwa mapema kwa sisiem kutangazwa iwe iwavyo..

Mmesahau ile kauli ya bwana mkubwa kwa wakurugenzi alipiwaambia haiwezekani awape nyumba, gari, mshahara halafu watangaze mpinzani kashinda...ike kauli we uliielewaje.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania tumekataa upinzani. Mjipange upya 2025
 
Tatizo Nini Hadi Mara hi mnakuwa na chuki na mbunge wenu? CCM hatuhitaki upendo na wabunge wa Chadema ndo maana tunashangilia mlivyotembezewa kichapo ila tunashangaa baada ya kipigo toka CCM Sasa mnaanza kutembezeana kichapo wenyewe kwa wenyewe.
Wataanza kutwangana wenyewe kwa wenyewe
 
Tatizo Nini Hadi Mara hi mnakuwa na chuki na mbunge wenu? CCM hatuhitaki upendo na wabunge wa Chadema ndo maana tunashangilia mlivyotembezewa kichapo ila tunashangaa baada ya kipigo toka CCM Sasa mnaanza kutembezeana kichapo wenyewe kwa wenyewe.
Hujishangai wewe unayempa ushauri mbunge wa CDM
 
Kujitoa haitosaidia kitu. Tuna uzoefu wa CUF kususia chaguzi na kuwaachia CCM. Tulifaidika na nini kama Upinzani na Nchi kwa ujumla?

Hawa wabunge waende bungeni. Nafasi za viti maalumu zikajazwe pia. Tukiwaachia CCM Bunge peke yao harafu hao wabunge wakahamia JF na Twitter sidhani kama itakuwa ni uamuzi wenye busara

I also think move nyingine ni viongozi kukaa membeni na kuachia madaraka kwa damu mpya. Lipumba, Maalim Seif, Mbowe etc imetosha sasa.
 
Uamuzi wa kususa ulimgharimu Maalim Seif kususia umakamo wa kwanza wa Rais.
alikuwa keshaingiza mguu mmoja kwenye serikali ya muungano wakitaifa ya Zanzibar.
 
“Kama Kuna Mtanzania anaamini Matokeo ya Uchaguzi yaliyotangazwa ni sahihi basi atangulie Mirembe akapimwe akili. “Mh. Mbowe.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

CHADEMA na ACT Wazalendo sasa wamevurugwa. Wamechanganyikiwa na wamevurugikiwa na akili. Kuna msemo unaosema kuwa ukiwa na hasira au furaha iliyopitiliza usifanye maamuzi yoyote makubwa. Hilo CHADEMA hawajalizingatia...
Uhanithi wenu unaeleweka. Kwani siasa ni kuisindikiza CCM na ujinga na upumbavu wake?
 
kama wangesusa kabla ya uchaguzi wangeonekana wanaakili.
lakini ngoma imeshakwisha ndo wanasusa.
 
Viongozi hao wana ubinafsi sana. Wao wanamafao yao, kiinua mgongo na pensheni ya ubunge, lakini hawa walio chaguliwa sasa na wao hiyo ilikuwa ndo pakupatia mtaji wao na kusomeshea watoto wao.
 
Naona hawajajifunza yaliyowakuta kwenye serikali za mitaa...wanachi wanakuchagua alafu Kamanda Mbowe anakutia ujinga na unamtii...afadhali wale walioshtuka dakika za mwisho za bunge lililopita na kuhamia CCM!
 
Back
Top Bottom