CHADEMA mwendo mdundo

Kesho zamu yako dogo
Waberoya utasubiri sana kuuona mwisho wa CHADEMA lakini kamwe hautafika, vita inaendele ya ukombozi wA raslimali zetu.......hakuna zamu ya mtu kuvuliwa madaraka CHADEMA, nidhamu kwanza hiyo Ni sera yetu, hatujali wewe unawadhifa gani ama ulileta wanachama wangapi CHADEMA.
 
Tumaini

Asante kwa mchango wako, ugonjwa upi huo? Kelele zipi hasa unatushauri tuzingatie kama sauti maridhawa za kuchochea mabadiliko ndani ya CHADEMA na taifa letu kwa ujumla? Naomba uziweke kwenye mpangilio ili tuzielewe maana tuliwahi kufundishwa tukiwa watoto kuwa kelele ni sauti zisizo katika mpangilio maalum?

Iddi njema kwa watanzania wote hususan waislamu.

JJ
John,
Kelele ni sauti zisizo na mpangilio au sauti ambazo hupendi kuzisikia (kero) inategemea uko upande na unapenda kuchukua definition ipi? nakupa mfano:-

Ukiwa polisi mzuri wewe ni kelele (kero) kwa majambazi unaleta usumbufu

Ukiwa kiongozi ambaye si muadilifu (mla rushwa, asiye toa haki na fursa sawa kwa watu wake, mbabe) wanao dai mabadiliko na haki zao ni wapiga kelele (kero)

Sasa kwa chadema na wewe ...wale wote wanaondoka, wanaoondolewa kwa kukosa uhuru, haki na wenye vyeo including yourself mtasikia kelele hizo kila siku kwakuwa ni human nature kudai haki na fursa zilizo sawa na heshima mbele ya jamii

kuita wanachama sisimizi baada ya kuacha kazi kwenye chama chenu ni dalili kwamba hakuna viongozi hapo wenye vision na ambao watavumilia uhuru wa mtu ila ni kikundi cha wababe na wahuni wanaotaka dola itakuwaje tukiwapa jeshi,polisi nk...si mtaua watu wakiwa tofauti na nyinyi ..shame on you and your leaders! esp.slaa and mbowe si wavumilivu

kupuuzia madai ya ufisadi wa matumizi ya fedha ya chama na upendeleo wa kikanda bila kufanya jitahada za maalum kupata wanachama upande mwingine wa nchi (zenj) ni dalili chafu na ni kelele kwenu nyinyi mliopewa dhamana...kwa sasa

Hamuwezi kusikia, wala hamuwezi kuona(sikio la kufa haliskia dawa) kwakuwa mko ndani mnadanganyana chadema ni family club poleni..sana you have long way to go ...
 
Chadema kama chama sikuona ni kwa nini kiingie kwenye msukosuko mkubwa hasa baada ya Bw Zitto kuamua kugombea uenyekiti wa chama, nadhani hapo ndipo huu mgogoro wa chadema ulpofumuka kwenye vyombo vya habari japo nahisi kulikuwa na tension ya ndani kwa ndani.

Kuna ukweli mzito ndani ya Chadema ambao katika hu waraka wako haujaueleza na nadhani Chadema hakitasimama vizuri, mpaka muwe wazi na kutafuta njia sahii ya kutatua matatizo yenu.

Japo Zitto yupo kimya lakini mnamwangalia kwa jicho la kutomwamini kwa sababu kati yenu Zitto tayari ni adui kwa kile kitendo chake cha kuchallange the "man alone" Mbowe.

Mimi bado naona amani hakuna ndani ya chadema
 
Ngoja awaudhi wenye chama ndio atajua unachooongea..dogo bado anabebwa kwa nepi...
CHADEMA NI CHAMA cha siasa chenye wanachama na kilichasajiliwa kwa msajili, nyinyi mlionufaika na mfumo wa kifisadi lazima muone CHADEMA ni kikwazo kwenu, najua baadhi yenu mmeajiliwa na wale ambao kwao bila uwepo wa CHADEMA wangekua wameifilisi nnchi.
 
Chadema kama chama sikuona ni kwa nini kiingie kwenye msukosuko mkubwa hasa baada ya Bw Zitto kuamua kugombea uenyekiti wa chama, nadhani hapo ndipo huu mgogoro wa chadema ulpofumuka kwenye vyombo vya habari japo nahisi kulikuwa na tension ya ndani kwa ndani.

Kuna ukweli mzito ndani ya Chadema ambao katika hu waraka wako haujaueleza na nadhani Chadema hakitasimama vizuri, mpaka muwe wazi na kutafuta njia sahii ya kutatua matatizo yenu.

Japo Zitto yupo kimya lakini mnamwangalia kwa jicho la kutomwamini kwa sababu kati yenu Zitto tayari ni adui kwa kile kitendo chake cha kuchallange the "man alone" Mbowe.

Mimi bado naona amani hakuna ndani ya chadema
hakuna jamii isio na mgogoro, labda kama jamii hiyo ni mfu. hivyo CHADEMA kama taasisi yenye watu hatutegemei ikakosa migogoro kwa maana yakutoafikiana katika mambo ya msingi......tofauti ya CHADEMA na vyama vingine ni mfumo wake wakupeana adhabu pale mtu anapovuruga ustawi wa chama.....hicho ndicho mawakala waufisadi wanachoeneza kuwa CHADEMA hakukaliki, aaah kisa Kafulila kavuliwa cheo na aliempa.....sasa mlitaka avuliwe madaraka na mwenyekiti wa shina wa CHADEMA.
 
CHADEMA NI CHAMA cha siasa chenye wanachama na kilichasajiliwa kwa msajili, nyinyi mlionufaika na mfumo wa kifisadi lazima muone CHADEMA ni kikwazo kwenu, najua baadhi yenu mmeajiliwa na wale ambao kwao bila uwepo wa CHADEMA wangekua wameifilisi nnchi.
Kama wewe ulivyoajiriwa na chadema na wenye chama chao..shame on you tunajua vilevile unapata pombe za bure pale club billicanas ..unajieleza tu mwenyewe..unafikiri kwakuwa wewe ni mwaajiri wa mbowe na kila mtu ni hivyo pole sana mko wengi..nyinyi..hakuna vision blind followers..lol
 
John,
Sasa kwa chadema na wewe ...wale wote wanaondoka, wanaoondolewa kwa kukosa uhuru, haki na wenye vyeo including yourself mtasikia kelele hizo kila siku kwakuwa ni human nature kudai haki na fursa zilizo sawa na heshima mbele ya jamii

kuita wanachama sisimizi baada ya kuacha kazi kwenye chama chenu ni dalili kwamba hakuna viongozi hapo wenye vision na ambao watavumilia uhuru wa mtu ila ni kikundi cha wababe na wahuni wanaotaka dola itakuwaje tukiwapa jeshi,polisi nk...si mtaua watu wakiwa tofauti na nyinyi ..shame on you and your leaders! esp.slaa and mbowe si wavumilivu

kupuuzia madai ya ufisadi wa matumizi ya fedha ya chama na upendeleo wa kikanda bila kufanya jitahada za maalum kupata wanachama upande mwingine wa nchi (zenj) ni dalili chafu na ni kelele kwenu nyinyi mliopewa dhamana...kwa sasa

...

Tumaini

Asante kwa maoni yako, hakuna aliyeitwa sisimizi kwa baada ya kuacha kazi kwenye chama. Kauli ya sisimizi ilitolewa na Dr Slaa tarehe 9 Novemba, kabla ya waliotenguliwa uteuzi kutenguliwa tarehe 10 Novemba. Na aliitoa katibu mkuu wakati akijibu swali la mwandishi kwanini Mbowe ameitisha mkutano Dodoma kufuza watajwa. Katibu Mkuu Dr Slaa akatumia mfano wa sisimizi kuelezea piramidi la mamlaka ya kiutawala: Alisema kwamba Kafulila na Danda kwa nafasi zao za uofisa wa chama kama viongozi wote wa CHADEMA tungekuwa wanyama basi ni kama sisimizi, hailazimiki Mbowe kuitisha kikao cha Dodoma kuwaondoa makao makuu ya chama, mamlaka yako mikononi mwake kama mwajiri!.

Kutumia mifano ni sehemu ya kufikisha ujumbe, ni kama Mwinyi alivyowahi kusema kuwa akijilinganisha na Nyerere yeye ni kama kichunguu na Nyerere ni mlima kilimanjaro. Lakini ni vyema umma ukaelewa kwamba Mzee Slaa ni mtu mnyenyekevu sana anayeshimu watu wa rika zote na hali zote pale makao makuu ya chama, naamini yuko hivyo jimboni kwake ndio maana watu wa hali zote wanaendelea kumchagua kipindi hata kipindi. Sasa naona kulikuwa na jitihada za hali ya juu za kuipindisha hiyo kauli na kuitafsiri kwa makusudio ya kila anayetafsiri.

Umetaja suala la kuondoka; kama ni nadharia ya uhasibu, ningesema CHADEMA is a going concern, itaendelea kuwepo. Alikuwepo Mzee Mtei na wenzake, wakatoka kwenye uongozi na sisi tutatoka siku moja lakini kwa pamoja tuilinde hii taasisi iendelee kuwepo vizazi hata vizazi.

JJ
 
Kama wewe ulivyoajiriwa na chadema na wenye chama chao..shame on you tunajua vilevile unapata pombe za bure pale club billicanas ..unajieleza tu mwenyewe..unafikiri kwakuwa wewe ni mwaajiri wa mbowe na kila mtu ni hivyo pole sana mko wengi..nyinyi..hakuna vision blind followers..lol
UMEISHIWA HOJA UNAANZA MATUSI, muungwana vitendo, maana mfumo wa kifisadi umewalea kufikia sasa mpo tayari kuutetea kwa jasho la damu, ila hata kama sio 2010, ipo siku tutakamata madaraka, nyinyi nyote mlionufaika na mfume fisadi mtalala lupango, amini nawaambia.
 
Chadema kama chama sikuona ni kwa nini kiingie kwenye msukosuko mkubwa hasa baada ya Bw Zitto kuamua kugombea uenyekiti wa chama, nadhani hapo ndipo huu mgogoro wa chadema ulpofumuka kwenye vyombo vya habari japo nahisi kulikuwa na tension ya ndani kwa ndani.

Kuna ukweli mzito ndani ya Chadema ambao katika hu waraka wako haujaueleza na nadhani Chadema hakitasimama vizuri, mpaka muwe wazi na kutafuta njia sahii ya kutatua matatizo yenu.

Japo Zitto yupo kimya lakini mnamwangalia kwa jicho la kutomwamini kwa sababu kati yenu Zitto tayari ni adui kwa kile kitendo chake cha kuchallange the "man alone" Mbowe.

Mimi bado naona amani hakuna ndani ya chadema

Asante. Hayo ni maoni yako, wakati wote tunaendelea kujifunza kutoka kwa michango ya aina zote na kutafakari mustakabali mwema wa chama. CHADEMA ni zaidi ya Mbowe na Zitto; ni wanachama na wote wanaoitazama kuwa tumaini jipya la watanzania

JJ
 
Tumaini

Asante kwa maoni yako, hakuna aliyeitwa sisimizi kwa baada ya kuacha kazi kwenye chama. Kauli ya sisimizi ilitolewa na Dr Slaa tarehe 9 Novemba, kabla ya waliotenguliwa uteuzi kutenguliwa tarehe 10 Novemba. Na aliitoa katibu mkuu wakati akijibu swali la mwandishi kwanini Mbowe ameitisha mkutano Dodoma kufuza watajwa. Katibu Mkuu Dr Slaa akatumia mfano wa sisimizi kuelezea piramidi la mamlaka ya kiutawala: Alisema kwamba Kafulila na Danda kwa nafasi zao za uofisa wa chama kama viongozi wote wa CHADEMA tungekuwa wanyama basi ni kama sisimizi, hailazimiki Mbowe kuitisha kikao cha Dodoma kuwaondoa makao makuu ya chama, mamlaka yako mikononi mwake kama mwajiri!. Kutumia mifano ni sehemu ya kufikisha ujumbe, ni kama Mwinyi alivyowahi kusema kuwa akijilinganisha na Nyerere yeye ni kama kichunguu na Nyerere ni mlima kilimanjaro. Lakini ni vyema umma ukaelewa kwamba Mzee Slaa ni mtu mnyenyekevu sana anayeshimu watu wa rika zote na hali zote pale makao makuu ya chama, naamini yuko hivyo jimboni kwake ndio maana watu wa hali zote wanaendelea kumchagua kipindi hata kipindi. Sasa naona kulikuwa na jitihada za hali ya juu za kuipindisha hiyo kauli na kuitafsiri kwa makusudio ya kila anayetafsiri. Umetaja suala la kuondoka; kama ni nadharia ya uhasibu, ningesema CHADEMA is a going concern, itaendelea kuwepo. Alikuwepo Mzee Mtei na wenzake, wakatoka kwenye uongozi na sisi tutatoka siku moja lakini kwa pamoja tuilinde hii taasisi iendelee kuwepo vizazi hata vizazi.

JJ
We dogo,
Usithubutu kusema mzee mtei ameondoka maana unafurahisha baraza..lol mzee ndio kichwa cha chadema na bado anaendesha hiyo taasisi yenu (call family club) kwa remote control...

In BTWN hujaniambia concern yangu kuhusu uwezo wenu kichama wa kupata viongozi kupata viongozi kutoka zanzibar kama sehemu ya nchi..au ndio sera yenu majimbo (a.k.a ukabila)

Slaa na wengi wa viongozi wa chadema ni wababe kwa wanachama wao na hawatoi fursa na haki sawa leo wakiwa taasisi ndogo tu wenye kujulikana na kukubalika katika wilaya chache..je siku mnapewa dola (jeshi,polisi) si mtaanza kuita watu viroboto..huyu slaa wenu ni sawa na sumaye...tabia zake za dharau kwa wananchi na wanachama

sikio la kufa halisikii dawa..tutaendelea kupiga kelele..
 
Asante. Hayo ni maoni yako, wakati wote tunaendelea kujifunza kutoka kwa michango ya aina zote na kutafakari mustakabali mwema wa chama. CHADEMA ni zaidi ya Mbowe na Zitto; ni wanachama na wote wanaoitazama kuwa tumaini jipya la watanzania

JJ
chadema ni tumaini lilokufa..ni tumaini hapa JF tu kwenye grassroot mko mbali sana ..sikio la kufa halisikii dawa.
 
Asante. CHADEMA ni zaidi ya Mbowe na Zitto; ni wanachama na wote wanaoitazama kuwa tumaini jipya la watanzania

JJ
nitumani la wakati huu uliopo na wakati ujao, CHADEMA daima, ni aibu kijana kuunga mkono CCM, hawa wamefilisi nnchi yetu, wameleta umasikini,wameshindwa kuondoa maradhi na umasikini nnchini, vijana unganeni chini ya CHADEMA kuwang'oa hawa wakoloni weusi.
 
chadema ni tumaini lilokufa..ni tumaini hapa JF tu kwenye grassroot mko mbali sana ..sikio la kufa halisikii dawa.
Kama ni tumaini lililokufa ni kitu gani kimekuweka hapa kupiga maiti ya mfu? Waache basi wafu wazikane.
 
UMEISHIWA HOJA UNAANZA MATUSI, muungwana vitendo, maana mfumo wa kifisadi umewalea kufikia sasa mpo tayari kuutetea kwa jasho la damu, ila hata kama sio 2010, ipo siku tutakamata madaraka, nyinyi nyote mlionufaika na mfume fisadi mtalala lupango, amini nawaambia.
hakuna aliyekutana, nimekujibu kwamba wewe ukifikiri kwamba watu wanaopinga chadema wametumwa na sisi tutafikiri kuwa wanaotetea chadema wametumwa..ili uache hiyo hoja yako ya kitoto uliyoitoa hapo mwanzo..

Kushika dola kwa chadema kwa aina ya viongozi mlio nao sasa unafurahisha baraza..ndio maana nimekwambia kama wewe ni mwana chadema angalia root of the problem siyo unataka dola halafu unaita wanaokupinga sisimizi..ukipewa dola si utaua watu..una-scare public (citizens freedom) kama taasisi ukipewa dola si itakuwa balaa?

Mimi ndugu ije chadema, CCM or CUF i don't care niko huru, na nina uwezo nina kula na kuishi from halal income since I was born (get your record right) wewe unayekula kwa kutumia migongo ya wanasiasa in the name of upinzani utaishia kupiga kelele...
 
Kama ni tumaini lililokufa ni kitu gani kimekuweka hapa kupiga maiti ya mfu? Waache basi wafu wazikane.
Kilichoniweka hapa ni freedom of speech, na kukuelimisha wewe na wengine wasio na maarifa.
 
chadema ni tumaini lilokufa..ni tumaini hapa JF tu kwenye grassroot mko mbali sana ..sikio la kufa halisikii dawa.
mmepata kuonja utamu wa matunda ya UFISADI TZ, ndo maana unajenga chuki na chama hiki, kwa taarifa yako CHADEMA inajipanga vyema, huku ikiendelea na kazi yakupanga upya safu makini ya Watendaji pale makao makuu, kung'oa mizizi ya upupu ni kazi tuliyompa Dr . Slaa maana yeye ndio tuliempa jukumu la kuwaajili na kuwafukuza kazi ikibidi kwa niaba yetu.
 
Back
Top Bottom