Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,382
- 1,891
Iko wapi?That's the zillion dollar question.Hiyo kamera ilikuwa ya nani? Je ilikuwa nyumbani kwa lisu? Na una uhakika gani kama ilikuwa camera au dome camera.
Iko wapi?That's the zillion dollar question.Hiyo kamera ilikuwa ya nani? Je ilikuwa nyumbani kwa lisu? Na una uhakika gani kama ilikuwa camera au dome camera.
Ngoja kihiyo wangu Retired akujibuJibu maswali yafuatayo,kwanini askari police wanaolinda na bunduki smg kwenye zile block zote Siku hiyo wote hawakuwepo?na kwanini baada ya tukio CCTV Camera kwenye block zote ziling'olewa?na kwanini askari walifika kwenye eneo LA tukio Masaa matatu baada ya tukio ilhali walipata taarifa dk chache baada ya tukio,na kwanini hawakumuohoji wala kuonyesha kumuhitaji dereva wa Lisu Masaa yote aliyokuwepo Hospital Dodoma mpaka alpoenda Nairobi?Na je Mbona hawakuomba kibali kwa serikali ya Kenya ili wakamuhoji Lisu na dereva wake kama sheria ya kimataifa inavyowataka?
Kihiyo wako ni mama yakoNgoja kihiyo wangu Retired akujibu
Kama umeoa unategemea majirani wakuamulie jua wewe ni nung’aembe tu! Polisi wetu wanatosha afterall who is TLKukata mzizi wa fitna ni uchunguzi huru ambao serikali inauogopa kama ukoma,trying to deceive people with hoax blah blah won't work this time around. Kwa maoni yangu kama ni inside job serikali ingeshawaleta wachunguzi huru ili wahusika waumbuke. The guilty are always afraid so the saying goes.
Na wewe piaKihiyo wako ni mama yako
Tatizo lililopo,they are among the suspects.Kama umeoa unategemea majirani wakuamulie jua wewe ni nung’aembe tu! Polisi wetu wanatosha afterall who is TL
I think everyone in TZ, except himself TL, is a suspect! The only intelligent solution is to keep our fingers crossed! Greetings to my beloved toddler RetiredTatizo lililopo,they are among the suspects.
Nyie kushindwa interview za kiingereza kosa si la Lissu!!! Wala chuki kwa anaekuzidi uwezo hakukufanyi kulingana naye!!Lisu kachanganyikiwa. Alidhani kuongea Kiingereza basi vyombo vyote vya habari duniani vitamzungumzia. Anadhani yeye ni mtu mkubwa sana anayepapatikiwa na vyombo vyote vya habari kumbe ni kajitu ka kawaida tu. Sasa inabidi genge la Chadema litafute mbinu nyingine.
Duh, unasujudu Kiingereza kiasi hicho?Nyie kushindwa interview za kiingereza kosa si la Lissu!!! Wala chuki kwa anaekuzidi uwezo hakukufanyi kulingana naye!!
Yeah! always ilogical when used against you,but logical when favouring your course. That is typically like you.An extremely poor interpretation as well a weird application of the intended scripture. They are both out of context and totally unbiblical.
Kwa kuzingatia mahali popote penye ulinzi ukitokea uhalifu wa kwanza kukamatwa na kuhojiwa ni walinzi,rejea baada ya yule major general kushambuliwa kwa risasi nyumbani kwake wa kwanza kukamatwa alikua mlinzi wake na yule teller aliyemuudumia Bank,kwahiyo hawa wanaoitetea serikali kuhusika kwake wanajua sema wanajitoa ufahamuHoja hapa siyo kuwajua washambuliaji jibu hoja kuhusu CCTV camera zilipelekwa wapi baada ya tukio? na je walinzi wa maeneo hayo walienda wapi siku ya tukio?. Kama hawakuwepo bila kuambiwa kwanini waendelee kuwa uraiani hao polisi / walinzi ? Kwanini isionekane kwamba wao ndiyo waliokula njama?
Kwa ufinyu wa akili zako unatarajia matokeo uyaone Leo?kweli nyie ni ndezi wa kutupaMwisho wa siku imeleta tija gani!
Yani hata vitu unavyovijibu wala huviju,huu ubongo nadhani wa panzi una nafuuKama zilikuwepo ulisikia na kama ziliondolewa ulisikia zinabaki siasa tu!
Huyu jamaa nadhani akili hata Lumumba hazipo hili empty boxWewe ndo kasuku wa kihindi..maana akili zako zimeshikiliwa lumumba..umebaki kama drone inayoendeshwa kwa computer mahali flani..nina imani bila chenga kichwa chako kina chip implant sio ubongo wako huu..human being hawezi kuwa na mawazo haya ya kwako hata siku moja!
Wewe ulishaiona hiyo CCTV camera au umesikia tu na kukariri!?? Je unajuaje kama wale wauaji walianza kuitoa hiyo camera then kikafuata hicho kitendo?? Msiwe washabiki wa upepo bila factKwanini camera ya CCTV iliondolewa pale jirani na tukio lilipotokea? Wauaji wanajulikana, tusipotezeane muda. Mkono wa chuma haujawahi kuleta utangamano kwenye nchi yoyote katika dunia hii.
Hili hawawezi kukubali kwasababu wataumbuka wanajua walichokifanyaKukata mzizi wa fitna ni uchunguzi huru ambao serikali inauogopa kama ukoma,trying to deceive people with hoax blah blah won't work this time around. Kwa maoni yangu kama ni inside job serikali ingeshawaleta wachunguzi huru ili wahusika waumbuke. The guilty are always afraid so the saying goes.
Sasa umejipambanua kwa uwazi,na empty box lako kichwani mwakoHa ha ha, wacha atunguliwe tena ili atokee kwenye hizo luninga. Huu ni upepo tu utapita.
Unajisumbua tu.Sasa umejipambanua kwa uwazi,na empty box lako kichwani mwako