CHADEMA mtafakari kauli zenu

CHADEMA mtafakari kauli zenu

Tumesikia viongozi wa CHADEMA wakilalamika tangu kiongozi wa chama chao alipopigwa risasi hakuna mtu yeyote mpaka leo hii aliekamatwa na polisi kuhusiana na tukio hilo la shambulizi.

Hapa kidogo inatia ukakasi, polisi wanafanya kazi yao kwa weledi mkubwa hawawezi kujikamatia tu mtu yeyote, wangefanya hivyo CHADEMA mngekua wa kwanza kusema wanakamatwa watu wasio na hatia, wa pili ingekua ile taasisi ya kutetea haki za CHADEMA Tanzania inayoongozwa na mwanamke
polisi waliona suala limegubikwa na siasa.

Polisi walitaka kwenda Nairobi mheshimiwa akapaza sauti polisi wa Tanzania hawana uwezo wa kwenda kumuhoji Nairobi Hospitali,
leo hii ni ajabu unaposema dereva anasumbuliwa
nae pia anatakiwa kuhojiwa inashangaza unapotaka wengine wakamatwe lakini dereva hutaki nae aah hapa kidogo mjitafakari na hii siasa mbaya.

Nheshimiwa unaposema Muhimbili kuna huduma mbovu na usimamizi mbovu hapa unaendelea kujaza siasa wakati tulimuona mwenyekiti wenu wa kanda ya Pwani alilazwa pale na akasifia
masuala yako na bunge.

Wewe pambana nao kimya kimya kudai haki yako kwanza mlisema hamtaki kikao na viongozi wa bunge kikao kiliitishwa Karimjee na Mbatia akahudhuria kwa kua mlikua bado mna hasira muafaka haukufikiwa leo hii nini sasa mnalia na serikali.!
Tundu lissu kakata tamaa, mbaya zaidi ujuaji wa kina Mbowe ndo ulioharibu utaratibu wote wa mwanzo wa Namna wabunge huhudumiwa na serikali, wakomae nae tu, unakumbukuka kina Lema walisema watauza figo hata ikibidi?
Nakubaliana na wewe chadema wawe na umakini na kauri zao, Kila kitu ni recorded
 
Wewe ni mpuuzi na limbukeni tu.


Unaona sasa!

Mbona unakua responsively millitant namna hii?Kwasababu Im currently located in the US au ni nini hasa?

Yaani location ya mtu inakufanya unakua na low self esteem namna hiyo mpaka unaanza kumshambulia eti "Limbukeni"?Really?

Una matatizo aisee!

Tunamuongelea Tundu Lissu,then ukawa mganga kuagua kua nipo TZ,nikakwambia nipo US,ghafla una catch feelings unaanza ku-attack "Limbukeni".Aisee

 
Kwanini camera ya CCTV iliondolewa pale jirani na tukio lilipotokea? Wauaji wanajulikana, tusipotezeane muda. Mkono wa chuma haujawahi kuleta utangamano kwenye nchi yoyote katika dunia hii.
Ndege ikianguka na kiboksi cheusi nacho kinapoteza kumbukumbu?! Fikiri kw kutumia akili.
 
Kati ya mistake mliyofanya CCM katika historia ya nchi hii ni kujaribu kumuua Tundu Lissu kwasababu tu amewashinda kwenye hoja.

Hili doa litamganda Pombe milele, halifutiki.
 
Unaposema haliwezi kujikamatia tu mtu yeyote unamaanisha nini?

Yani wafanye uchunguzi halafu wajikamatie mtu yeyote? Nini maana ya uchunguzi?
Shahidi wa kwanza ni dereva yuko wapi si mliamua kukimbiza ushahidi nje mtafuteni kwanza yeye aongee na wanahabari wenu hao aseme yalikuwaje
 
Kwanini camera ya CCTV iliondolewa pale jirani na tukio lilipotokea? Wauaji wanajulikana, tusipotezeane muda. Mkono wa chuma haujawahi kuleta utangamano kwenye nchi yoyote katika dunia hii.
Hiyo kamera ilikuwa ya nani? Je ilikuwa nyumbani kwa lisu? Na una uhakika gani kama ilikuwa camera au dome camera.
 
Kwanza nikutakie heri ya mwaka mpya mdogo wangu tindo,hivi bado unaliamini hili genge la wapenda pesa hapa hakuna propaganda ila kuna kukumbushana tu!

Ooh kumbe hatujapeana heri ya mwqka boss. Heri na kwako. Sio kwamba nawaamini tu cha cdm, bali kwangu ndio chama makini ukiachia mapungufu ya hapa na pale ya viongozi wake kama wanadamu. Ni hivi hapa ulkuwa unajaribu kutetea uovu kwa kufunika na lawama ulizowatupia cdm.
 
LISSU hajafa plani zenyu zimebuma na hamkuwa na plan b
Sasa subirini kibano demokrasi naona imewashinda
Mnategemea
Marisasi yooote mliyommiminia mungu kasema LISSU HAFIIIII NG'OOOOOOO
Shwainn
shirikisha ubongo ndugu ...serikali haija mpa mafunzo mtu miaka jinsi ya kushika bunduki na kutumia halafu huyo mtu akaenda kutumia risasi zaidi 30 kwa mtu aliye mbele ya macho yake amka ndugu kesi hii ipo wazi sana ndio maana chadema walikimbiza ushahidi wote nchi jirani. Subiri huyo mgonjwa apate akili zake timamu za kulitafakari hili jambo lote ndio atajua kikulacho kinguoni mwake.
 
Tumesikia viongozi wa CHADEMA wakilalamika tangu kiongozi wa chama chao alipopigwa risasi hakuna mtu yeyote mpaka leo hii aliekamatwa na polisi kuhusiana na tukio hilo la shambulizi.

Hapa kidogo inatia ukakasi, polisi wanafanya kazi yao kwa weledi mkubwa hawawezi kujikamatia tu mtu yeyote, wangefanya hivyo CHADEMA mngekua wa kwanza kusema wanakamatwa watu wasio na hatia, wa pili ingekua ile taasisi ya kutetea haki za CHADEMA Tanzania inayoongozwa na mwanamke polisi waliona suala limegubikwa na siasa.

Polisi walitaka kwenda Nairobi mheshimiwa akapaza sauti polisi wa Tanzania hawana uwezo wa kwenda kumuhoji Nairobi Hospitali, leo hii ni ajabu unaposema dereva anasumbuliwa nae pia anatakiwa kuhojiwa inashangaza unapotaka wengine wakamatwe lakini dereva hutaki nae aah hapa kidogo mjitafakari na hii siasa mbaya.

Mheshimiwa unaposema Muhimbili kuna huduma mbovu na usimamizi mbovu hapa unaendelea kujaza siasa wakati tulimuona mwenyekiti wenu wa kanda ya Pwani alilazwa pale na akasifia masuala yako na bunge.

Wewe pambana nao kimya kimya kudai haki yako kwanza mlisema hamtaki kikao na viongozi wa bunge kikao kiliitishwa Karimjee na Mbatia akahudhuria kwakuwa mlikua bado mna hasira muafaka haukufikiwa leo hii nini sasa mnalia na serikali.!

Nikushauri kitu hakuna wa kudanganya kama mtoto mdogo nijibu hili swali,,
Polisi wanaolinda nyumba za viongozi pale dodoma wakati wa tukio walikuwa wapi ?

Na je mlienda kuwauliza wakati tukio linafanyika walikuwa wapi ili tuanzie hapo

Kuhusu muhimbili kule angeenda Ndiyo mngezima Mziki kabisaa saivi angekuwa kashasahaulika•
 
Back
Top Bottom