Povu la nini wakati kichwani ni zaidi ya kihiyoKihiyo wako ni mama yako
Wana aleji na kidhunguNyie kushindwa interview za kiingereza kosa si la Lissu!!! Wala chuki kwa anaekuzidi uwezo hakukufanyi kulingana naye!!

Unapajua nyumbani kwa Lisu kuliko Lisu mwenyewe?we kweli ni ndeziWewe ulishaiona hiyo CCTV camera au umesikia tu na kukariri!?? Je unajuaje kama wale wauaji walianza kuitoa hiyo camera then kikafuata hicho kitendo?? Msiwe washabiki wa upepo bila fact
Kihiyo ni mama yako maana alikuwa mwalimu wangu, lawama ni za mama yako, my teacher, primary school teacher! hakunifundisha maana naye alikuwa kihiyo. Mwalimu wangu kabisaPovu la nini wakati kichwani ni zaidi ya kihiyo
Toddler ni mama yako ambaye hakunifunza adabu nzuri maana alinilea yeyeI think everyone in TZ, except himself TL, is a suspect! The only intelligent solution is to keep our fingers crossed! Greetings to my beloved toddler Retired
Je, ni lazima polisi wamwambie Lissu na CHADEMA, kwa ujumla, hatua iliyofikiwa katika suala hili la kupigwa risasi 36/38/40/16/8/7?Tumesikia viongozi wa CHADEMA wakilalamika tangu kiongozi wa chama chao alipopigwa risasi hakuna mtu yeyote mpaka leo hii aliekamatwa na polisi kuhusiana na tukio hilo la shambulizi.
Hapa kidogo inatia ukakasi, polisi wanafanya kazi yao kwa weledi mkubwa hawawezi kujikamatia tu mtu yeyote, wangefanya hivyo CHADEMA mngekua wa kwanza kusema wanakamatwa watu wasio na hatia, wa pili ingekua ile taasisi ya kutetea haki za CHADEMA Tanzania inayoongozwa na mwanamke polisi waliona suala limegubikwa na siasa.
Polisi walitaka kwenda Nairobi mheshimiwa akapaza sauti polisi wa Tanzania hawana uwezo wa kwenda kumuhoji Nairobi Hospitali, leo hii ni ajabu unaposema dereva anasumbuliwa nae pia anatakiwa kuhojiwa inashangaza unapotaka wengine wakamatwe lakini dereva hutaki nae aah hapa kidogo mjitafakari na hii siasa mbaya.
Mheshimiwa unaposema Muhimbili kuna huduma mbovu na usimamizi mbovu hapa unaendelea kujaza siasa wakati tulimuona mwenyekiti wenu wa kanda ya Pwani alilazwa pale na akasifia masuala yako na bunge.
Wewe pambana nao kimya kimya kudai haki yako kwanza mlisema hamtaki kikao na viongozi wa bunge kikao kiliitishwa Karimjee na Mbatia akahudhuria kwakuwa mlikua bado mna hasira muafaka haukufikiwa leo hii nini sasa mnalia na serikali.!
Jikite kwenye hoja sio kumshambulia mleta hoja!Wewe ndo kasuku wa kihindi..maana akili zako zimeshikiliwa lumumba..umebaki kama drone inayoendeshwa kwa computer mahali flani..nina imani bila chenga kichwa chako kina chip implant sio ubongo wako huu..human being hawezi kuwa na mawazo haya ya kwako hata siku moja!
Africa highlights: Tanzania MP shooting an 'assassination bid', mercy for twin-selling motherLisu kachanganyikiwa. Alidhani kuongea Kiingereza basi vyombo vyote vya habari duniani vitamzungumzia. Anadhani yeye ni mtu mkubwa sana anayepapatikiwa na vyombo vyote vya habari kumbe ni kajitu ka kawaida tu. Sasa inabidi genge la Chadema litafute mbinu nyingine.
Utasubiri sana na watu wanasonga!Kwa ufinyu wa akili zako unatarajia matokeo uyaone Leo?kweli nyie ni ndezi wa kutupa
Utaratibu mpya!Je, ni lazima polisi wamwambie Lissu na CHADEMA, kwa ujumla, hatua iliyofikiwa katika suala hili la kupigwa risasi 36/38/40/16/8/7?
kazi yake ni siasa tu!Africa highlights: Tanzania MP shooting an 'assassination bid', mercy for twin-selling mother
Kama hili hulijui bsi jua sasa. Athari zake ni kubwa kwa taifa lililokuwa linaheshimika duniani kwa amani na demokrasia
Labda athari kwa ufipa.Africa highlights: Tanzania MP shooting an 'assassination bid', mercy for twin-selling mother
Kama hili hulijui bsi jua sasa. Athari zake ni kubwa kwa taifa lililokuwa linaheshimika duniani kwa amani na demokrasia
Umemsahau Samwel Doe? Alishughulikiwa hadi kujisaidia haja kubwa kwa sababu ya ubishi na ubabe wake. Msiwaponze watu wewe!Labda athari kwa ufipa.
Hakuna cha Doe wala nini; hapa kazi tu.Umemsahau Samwel Doe? Alishughulikiwa hadi kujisaidia haja kubwa kwa sababu ya ubishi na ubabe wake. Msiwaponze watu wewe!
Kizungu shida mtoto hawezi kuzaaToddler ni mama yako ambaye hakunifunza adabu nzuri maana alinilea yeye
Unaposema haliwezi kujikamatia tu mtu yeyote unamaanisha nini?
Yani wafanye uchunguzi halafu wajikamatie mtu yeyote? Nini maana ya uchunguzi?
There will never be a reason that can justify the wrong use of scriptures, It does not matter if the application is in my favour or not. Both misinterpretation and misapplication of scriptures are wrong regardless of whom is being favoured, hata kaa ni mimi.Yeah! always ilogical when used against you,but logical when favouring your course. That is typically like you.