CHADEMA mtafakari kauli zenu

CHADEMA mtafakari kauli zenu

Lisu kachanganyikiwa. Alidhani kuongea Kiingereza basi vyombo vyote vya habari duniani vitamzungumzia. Anadhani yeye ni mtu mkubwa sana anayepapatikiwa na vyombo vyote vya habari kumbe ni kajitu ka kawaida tu. Sasa inabidi genge la Chadema litafute mbinu nyingine.
Mbona BBC na CNN wameripoti au kwakua Kidhungu mlipishana nacho njiani
 
Yule wa nape aliyeonekana kwenye tukio ati nae hawamjui
 
Tulimkimbiza nje? Mimi na nani? Hivi unajua nyie vijana ni wajinga sana.

Shahidi wa kwanza ni dereva kwa minajili ipi? Au umesikia wajinga wenzako wakisema hivyo na wewe unabeba tu bila kuchanganua?

Ingekuwa vipi kama dereva na lissu wangekufa? Wauwaji wasingepatikana kwakuwa watu wa kutoa ushahidi wamekufa?

Hivi wewe hicho kichwa chako kipo sawa?
Endelea kulala siku ukiamka ndio utaujua ukweli.
 
Yani kama kuna mtu anabisha kuwa sirikali haijahusikaa kwenye hili suala bhasi utakua na mtindio wa Ubongooo....!! Kumkosa mtu risasi zote zile sio kwamba eti yule mdunguaji hakuwa na mafunzo ilaa ni mpango wa Mungu tu Lissu asifee... Na yulee jama sijui ka atakua hai maana atakua amebeba siri nzito sanaa aisee... Mwisho wa siku tumuombee tu lissu aponee maana haya mengine ni Ubatilu mtupu..
 
mkuu usiwe kama kasuku wa kihindi anaekariri maneno!
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini mkono wa Serikali katika suala hili la TL na kama vyombo vya Serikali vilihusika why risasi 30 na isiwe moja! Hii ni inside job ndo maana CDM wanamficha
Jibu maswali yafuatayo,kwanini askari police wanaolinda na bunduki smg kwenye zile block zote Siku hiyo wote hawakuwepo?na kwanini baada ya tukio CCTV Camera kwenye block zote ziling'olewa?na kwanini askari walifika kwenye eneo LA tukio Masaa matatu baada ya tukio ilhali walipata taarifa dk chache baada ya tukio,na kwanini hawakumuohoji wala kuonyesha kumuhitaji dereva wa Lisu Masaa yote aliyokuwepo Hospital Dodoma mpaka alpoenda Nairobi?Na je Mbona hawakuomba kibali kwa serikali ya Kenya ili wakamuhoji Lisu na dereva wake kama sheria ya kimataifa inavyowataka?
 
Yaani hujaona tu mtu aliyehusika na shambulio hilo la kisiasa dhidi ya Lissu??

Mbunge Tundu Lissu ameminiwa risasi zaidi ya 30 kwenye makazi ya viongozi wa kitaifa zaidi ya miezi 4 iliyopita.

Hadi Leo hii hajakamatwa hata mshukiwa mmoja!

Kwenye hayo makazi, kuna kawaida ya kuwa na walinzi.

Siku hiyo ya kupigwa risasi Tundu Lissu, walinzi "waliondolewa" pale getini!

Kamera za CCTV zilizoko kwenye makazi hayo ya wakubwa zilinyofolewa!

[HASHTAG]#Pombe[/HASHTAG] Atubu
Dreva wa Lissu anawafahamu mrudisheni awataje ili polisi waendelee na upelelezi
 
Jibu maswali yafuatayo,kwanini askari police wanaolinda na bunduki smg kwenye zile block zote Siku hiyo wote hawakuwepo?na kwanini baada ya tukio CCTV Camera kwenye block zote ziling'olewa?na kwanini askari walifika kwenye eneo LA tukio Masaa matatu baada ya tukio ilhali walipata taarifa dk chache baada ya tukio,na kwanini hawakumuohoji wala kuonyesha kumuhitaji dereva wa Lisu Masaa yote aliyokuwepo Hospital Dodoma mpaka alpoenda Nairobi?Na je Mbona hawakuomba kibali kwa serikali ya Kenya ili wakamuhoji Lisu na dereva wake kama sheria ya kimataifa inavyowataka?
Waachie kazi wapelelezi ndiyo wanajua kazi ya uchunguzi wewe fanyakazi inayokuhusu!!
 
Mkuu unahangaika nini na hao watoto wa Hajiri mjakazi wa Sara!hata uwape nini hawataridhika,wanachohitaji ni agano na Mungu sasa hiyo siyo kazi yetu,kama agano limefanyika kwa Isaka sisi tufanyeje sasa.
An extremely poor interpretation as well a weird application of the intended scripture. They are both out of context and totally unbiblical.
 
Tundu lissu kakata tamaa, mbaya zaidi ujuaji wa kina Mbowe ndo ulioharibu utaratibu wote wa mwanzo wa Namna wabunge huhudumiwa na serikali, wakomae nae tu, unakumbukuka kina Lema walisema watauza figo hata ikibidi?
Nakubaliana na wewe chadema wawe na umakini na kauri zao, Kila kitu ni recorded
HV zile Noah zilishakuja?
 
Shahidi wa kwanza ni dereva yuko wapi si mliamua kukimbiza ushahidi nje mtafuteni kwanza yeye aongee na wanahabari wenu hao aseme yalikuwaje
Yani utaalamu wenu woote wa upelelezi kimataifa na uwezo wenu woote wa kufikiri,umeishia kwa dereva wa Lisu?Kweli Albadir haijawahi kumuacha MTU salama
 
Back
Top Bottom