CHADEMA mtafakari kauli zenu

CHADEMA mtafakari kauli zenu

Ooh kumbe hatujapeana heri ya mwqka boss. Heri na kwako. Sio kwamba nawaamini tu cha cdm, bali kwangu ndio chama makini ukiachia mapungufu ya hapa na pale ya viongozi wake kama wanadamu. Ni hivi hapa ulkuwa unajaribu kutetea uovu kwa kufunika na lawama ulizowatupia cdm.
Najaribu kuwakumbusha wanalia na jambo lile lile kila siku lakini ushirikiano hamtaki jumuiya ya kimataifa pia inawapuuza!
 
Nikushauri kitu hakuna wa kudanganya kama mtoto mdogo nijibu hili swali,,
Polisi wanaolinda nyumba za viongozi pale dodoma wakati wa tukio walikuwa wapi ?

Na je mlienda kuwauliza wakati tukio linafanyika walikuwa wapi ili tuanzie hapo

Kuhusu muhimbili kule angeenda Ndiyo mngezima Mziki kabisaa saivi angekuwa kashasahaulika•
Mzuri aliejua wanafuatiliwa ndio wakutoa ushirikiano na majibu ya maswali yako!
 
Kati ya mistake mliyofanya CCM katika historia ya nchi hii ni kujaribu kumuua Tundu Lissu kwasababu tu amewashinda kwenye hoja.

Hili doa litamganda Pombe milele, halifutiki.
Tundu lissu katengeneza drama ya kudanganya jumuiya ya kimataifa kuwa nchi inaongozwa na dikteta matokeo yake picha imebuma na amepuuzwa!
 
Tundu lissu katengeneza drama ya kudanganya jumuiya ya kimataifa kuwa nchi inaongozwa na dikteta matokeo yake picha imebuma na amepuuzwa!

Mauaji mliyopanga dhidi ya Lissu yamebuma.

Jamii ya kimataifa inamtazama mwenyekiti wa CCM kama muuaji.
 
Eti "weledi Mkubwa"!!!!

Hawa Hawa Policcm??
 
Tatizo ndugu Lissu anafanya siasa kwa kila jambo, alijamba polisi hawana mamlaka ya kumhoji akiwa Nairobi, leo tena anaanza kulalamika. Nyie watu manataka nini?
 
Tatizo ndugu Lissu anafanya siasa kwa kila jambo, alijamba polisi hawana mamlaka ya kumhoji akiwa Nairobi, leo tena anaanza kulalamika. Nyie watu manataka nini?
Hawaeleweki kiukweli!
 
Lisu kachanganyikiwa. Alidhani kuongea Kiingereza basi vyombo vyote vya habari duniani vitamzungumzia. Anadhani yeye ni mtu mkubwa sana anayepapatikiwa na vyombo vyote vya habari kumbe ni kajitu ka kawaida tu. Sasa inabidi genge la Chadema litafute mbinu nyingine.
Iko siku mama yako atakuja kuingia kwenye 18..utajuta ..furahia mkuu wakati mambo yako yapo vzr..along the way utakuja kujichanganya tu!karma haijawahi kuacha kutoa majibu chanya..usisahau tu kuleta mrejesho!
 
Mwambieni sterling wa shambulio dhidi ya Lissu akatubu maana dunia nzima ishamjua
 
Iko siku mama yako atakuja kuingia kwenye 18..utajuta ..furahia mkuu wakati mambo yako yapo vzr..along the way utakuja kujichanganya tu!karma haijawahi kuacha kutoa majibu chanya..usisahau tu kuleta mrejesho!
Mama yako ameshaingia kwenye hizo 18?
 
Shahidi wa kwanza ni dereva yuko wapi si mliamua kukimbiza ushahidi nje mtafuteni kwanza yeye aongee na wanahabari wenu hao aseme yalikuwaje
Tulimkimbiza nje? Mimi na nani? Hivi unajua nyie vijana ni wajinga sana.

Shahidi wa kwanza ni dereva kwa minajili ipi? Au umesikia wajinga wenzako wakisema hivyo na wewe unabeba tu bila kuchanganua?

Ingekuwa vipi kama dereva na lissu wangekufa? Wauwaji wasingepatikana kwakuwa watu wa kutoa ushahidi wamekufa?

Hivi wewe hicho kichwa chako kipo sawa?
 
shirikisha ubongo ndugu ...serikali haija mpa mafunzo mtu miaka jinsi ya kushika bunduki na kutumia halafu huyo mtu akaenda kutumia risasi zaidi 30 kwa mtu aliye mbele ya macho yake amka ndugu kesi hii ipo wazi sana ndio maana chadema walikimbiza ushahidi wote nchi jirani. Subiri huyo mgonjwa apate akili zake timamu za kulitafakari hili jambo lote ndio atajua kikulacho kinguoni mwake.
Naona unakomaa kuwa mjinga zaidi na kudidimiza fikra halisi ulizopewa na mwenyezimungu kusikojulikana!..Kitu kimoja tu utambue kuwa hata kama wewe sio muumini..siku yako ya kufa haiwezi kulazimishwa na binadamu..ukiona umekufa ujue siku ilishafika!ushawahi kusikia ndege imeanguka na kupona mtu moja tu!..
 
me nilidhani ktk hili jambo lissu angeonesha ukomavu mkubwa sana kisiasa, na ktk hili niliamini lissu angekuja kuwa mwanasiasa bora sana kuwahi kutokea ktk taifa hili.
Badala yake amekuwa akiangalia hali yake kiafya, akiona imekuwa vizuri kidogo anaanza kutoa kauli za kupambana na serikali/jeshi la polisi.
Hajitofautishi na wenzake ambao kwa sasa wanaonekana kuwa wa ajabu ajabu tu hata mbele ya jamii.
 
Back
Top Bottom