Dawa ya Mjinga
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 382
- 145
Naona umekasirika kweli mpaka akili imehama! Mkuu kwa hiyo wewe umetumwa na Mbowe au Slaa? Kwa hiyo Chadema wakichukuwa nchi Watanzania wote watakuwa na maisha mazuri watakula vya halali tupu... mkuu wangu mie siwezi kuingiza mambo ya wazazi wako kuwavunjia heshima sijafundishwa hivyo, mie nimekuachia wewe mkuu ukijisikia kuwavunjia tena heshima tena kama unavyofanya ruksa mie sina kinyongo...
JF Daima.
Jazba, munkari na hasira zote za nini? Kwani kitu gani kimeharibika? Mmefarijika na usahaulifu, Fisi Wenu ndio hodari kabisa katika kupitisha muda wa mikutano yao na hakuna, narudia, hakuna polisi yeyote ambaye anaweza kumshusha kiongozi wa Fisi Wenu. Hakika kupitisha muda hakujawahi kuwa chanzo cha uvunjifu wa amani bila polisi kuingilia. Unabisha? Wapi imetokea?
Yote tisa, kumi ni kuwa huo ulikuwa mfano wa kuigwa katika kutekeleza dhana halisi ya "ulinzi shirikishi". Angeachiwa polisi (OCD) peke yake angeharibu mambo - hakika amani ingevunjika bila sababu ya maana. Lakini kwa kushirikisha mwananchi (kwa maana hii Mbowe) yote yalienda vema. Ulinzi shirikishi si kwa kulinda mali tu bali pia amani na maisha ya watu.
"ULINZI SHIRIKISHI" hoyee!