Chadema msiwatumie raia wapenda amani kufanikisha malengo yenu ya kisiasa

Naona umekasirika kweli mpaka akili imehama! Mkuu kwa hiyo wewe umetumwa na Mbowe au Slaa? Kwa hiyo Chadema wakichukuwa nchi Watanzania wote watakuwa na maisha mazuri watakula vya halali tupu... mkuu wangu mie siwezi kuingiza mambo ya wazazi wako kuwavunjia heshima sijafundishwa hivyo, mie nimekuachia wewe mkuu ukijisikia kuwavunjia tena heshima tena kama unavyofanya ruksa mie sina kinyongo...

JF Daima.

Jazba, munkari na hasira zote za nini? Kwani kitu gani kimeharibika? Mmefarijika na usahaulifu, Fisi Wenu ndio hodari kabisa katika kupitisha muda wa mikutano yao na hakuna, narudia, hakuna polisi yeyote ambaye anaweza kumshusha kiongozi wa Fisi Wenu. Hakika kupitisha muda hakujawahi kuwa chanzo cha uvunjifu wa amani bila polisi kuingilia. Unabisha? Wapi imetokea?
Yote tisa, kumi ni kuwa huo ulikuwa mfano wa kuigwa katika kutekeleza dhana halisi ya "ulinzi shirikishi". Angeachiwa polisi (OCD) peke yake angeharibu mambo - hakika amani ingevunjika bila sababu ya maana. Lakini kwa kushirikisha mwananchi (kwa maana hii Mbowe) yote yalienda vema. Ulinzi shirikishi si kwa kulinda mali tu bali pia amani na maisha ya watu.
"ULINZI SHIRIKISHI" hoyee!
 
Kweli JF kiboko inaibua vipaji mchanganyiko kama huyu nae wanamuita Great Thinkers Chadema-Kata
 
Ukiona Fisi wenu anaikimbia hoja na kuleta viroja ujue maji yamezidi unga, hata afanyeje anaishia kupata uji badala ya ugali. Hivi ulinzi shirikishi si sera yenu Fisi wenu au mmebadili? Mlidhani ushirikishi lazima wa kutumia sungusungu au kuwapa polisi taarifa ili wao walale? Hata wakilala kiakili wanaamshwa. Siwezi kusubiri siku sera hii shirikishi itakapokuwa inatekelezwa upande wa elimu na tiba. Fikiria unamkuta ritz ni daktari shirikishi pale Muhimbili au mwalimu wa zamu shirikishi Tambaza wa somo la "elimu shirikishi", itakuwa shughuli!
Mtu huanzisha jambo, jambo likawa kubwa, likamshinda, likamwangusha! Amini usiamini huo ndio utekelezaji wa vitendo wa ulinzi shirikishi. Mwisho wa siku kila mmoja anakuwa salama (kwa amani na utulivu). Usisahau kibwagizo hiki muhimu cha Fisi Wenu!
 
Wanabodi.

Ninapenda sana hatua ya viongozi wa Chadema kuzunguka mikoani kuimarisha chama chao, ni hatua nzuri ambayo wananchi watapata nafasi kuijua vizuri Chadema ili kufanya maamuzi kama kujitoa ama kubaki ndani ya chama hicho.

Kila kikundi, chama au taasisi yeyote inapofanya mambo yake bila kuwepo na utaratibu, kuna hatari kubwa ya kutokea fujo.

Ni hatari kwa kiongozi wa chama kutofuata utaratibu wiki iliyopita Chadema walifanya mkutano wao kule Mtwara, Mbowe alimgomea (OCD) wa Nanyumbu, Mohamed Said, alipokuwa akihutubia eneo la Mangaka, OCD alimtaka Mbowe ashuke jukwaani kwa kuwa muda wa kuhutubia ulikuwa umemalizika saa 12 jioni.

Mbowe akaanza kusema Jamani OCD anataka niache kuhutubia, sasa nasema wewe OCD mimi ni mbunge na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, hebu sikiliza usitutishe sisi, mimi simuogopi mtu yoyote awe Rais Kikwete, au Waziri Mkuu Pinda, hao nawaheshimu nao wananiheshimu, usitake kujifunzia kazi kwangu, ngoja kwanza niwaulize wananchi, mnasemaje nifunge mkutano nisifunge? Wananchi waliitikia, usifunge.

Mbowe alichotaka wananchi wamshambule OCD ili fujo itokee watu wapigwe mabomu kisha aseme kuwa polisi wanaonea wananchi, wametumia nguvu nyingi, OCD alikuwa na uwezo wa kuwaamrisha vijana wake kumshusha kwa nguvu.

Chadema msiwatumie raia wapenda amani kufanikisha malengo yenu ya kisiasa.

Yote uliyoandika mbona tunayasikia kwako, huu ni unaa wa hali ya juu, majungu hayatakusaidia okoa chama chako cha magamba.
 
Kwa kawaida mikutano yote ya hadhara hutakiwa kumalizika saa 12 jioni, na si zaidi ya hapo, kuzingatia mambo mengi ikiwa ni pamoja na kwa kutoa nafasi kwa watu wanaotoka mbali kurejea makwao mapema, sababu nyingine ikiwa ni urahisi wa kudhibiti endapo itatokea vurugu kwani ni vigumu kuzuia au kupambana na watu wanaoleta fujo nyakati za usiku...sasa Mbowe anataka kuhutubia mpaka usiku fujo zitokee malengo yake yafanikiwe.
 
Wanabodi.

Ninapenda sana hatua ya viongozi wa Chadema kuzunguka mikoani kuimarisha chama chao, ni hatua nzuri ambayo wananchi watapata nafasi kuijua vizuri Chadema ili kufanya maamuzi kama kujitoa ama kubaki ndani ya chama hicho.

Kila kikundi, chama au taasisi yeyote inapofanya mambo yake bila kuwepo na utaratibu, kuna hatari kubwa ya kutokea fujo.

Ni hatari kwa kiongozi wa chama kutofuata utaratibu wiki iliyopita Chadema walifanya mkutano wao kule Mtwara, Mbowe alimgomea (OCD) wa Nanyumbu, Mohamed Said, alipokuwa akihutubia eneo la Mangaka, OCD alimtaka Mbowe ashuke jukwaani kwa kuwa muda wa kuhutubia ulikuwa umemalizika saa 12 jioni.

Mbowe akaanza kusema Jamani OCD anataka niache kuhutubia, sasa nasema wewe OCD mimi ni mbunge na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, hebu sikiliza usitutishe sisi, mimi simuogopi mtu yoyote awe Rais Kikwete, au Waziri Mkuu Pinda, hao nawaheshimu nao wananiheshimu, usitake kujifunzia kazi kwangu, ngoja kwanza niwaulize wananchi, mnasemaje nifunge mkutano nisifunge? Wananchi waliitikia, usifunge.

Mbowe alichotaka wananchi wamshambule OCD ili fujo itokee watu wapigwe mabomu kisha aseme kuwa polisi wanaonea wananchi, wametumia nguvu nyingi, OCD alikuwa na uwezo wa kuwaamrisha vijana wake kumshusha kwa nguvu.

Chadema msiwatumie raia wapenda amani kufanikisha malengo yenu ya kisiasa.
Amani ya kifisadi ndo amani?kwa taarifa yako Tz hakuna amani ila kuna utulivu,watu wamechoka kuliko unavyofikiria wewe,hao polisi wenyewe wangekuwa wanafuata sheria wangekuwa wanaua watu kila kukicha?au mnaona uvumilivu wa watz ni ujinga?mnachukulia mambo kirahisi2 sana mnachukulia poa kwa sababu una uhakika wa kwenda choo.Acha ujinga wewe na magamba wenzako angalieni cha kupost
 
na nyie magamba nani awakemee?mbona hao polisi hawafkagi katika mikutano ya magamba?

Chadema jaribuni kuheshimu na kutii sheria za nchi, na msichezee vyombo vya dola kwa kisingizio cha nguvu ya umma.
 
Amani ya kifisadi ndo amani?kwa taarifa yako Tz hakuna amani ila kuna utulivu,watu wamechoka kuliko unavyofikiria wewe,hao polisi wenyewe wangekuwa wanafuata sheria wangekuwa wanaua watu kila kukicha?au mnaona uvumilivu wa watz ni ujinga?mnachukulia mambo kirahisi2 sana mnachukulia poa kwa sababu una uhakika wa kwenda choo.Acha ujinga wewe na magamba wenzako angalieni cha kupost

Mkuu ukiwa kiongozi yeyote au raia wanapaswa kuzingatia taratibu na kuheshimu sheria za nchi bila kujali muhusika anacheo gani mbele ya jamii iliyomzunguka.
 
cdm hata wakitawala cjuwi watafanya kazi na nani maana hawa polisi wamewa2ukana mn6
Kwa akili yako ya kijinga unafikiri hao polisi wanafurahia utawala uliopo au ni huo utii na sheria zilizopo ndo zinawabana,laiti ungejua wanatamani leo kesho magamba ipigwe chini
 
Hivi kama OCD Said, angetoa amri kwa... polisi ...kumshusha kwa nguvu Mbowe ...mtakuwa wa kwanza kulalamika kuwa polisi wametumia...

Ritz acha ujinga, CCM ndio walioanza na kulea tabia ya kuvunja sheria. Kama CCM wangekuwa watii wa sheria Mbowe asingekuwa jasiri wa kumvimbia OCD.
Kwenye kampeni wa JK 2010 Arusha. JK alifika saa 12 jioni na kumaliza saa 1 usiku. CDM walipolalamika Tendwa akawatetea CCM kipuuzi. Mnatumia Dola kulea upuzi halafu CDM wakiidharau mnalalamika.
 
Hivi nyie CHADEMA mnajifanya mko makini kwa lipi? mbona hata hiki kidogo mmeshindwa? Umeshindwa kidogo utaweza kikubwa? no way CHADEMA haifai itatupeleka pabaya.
 
Ibrah
Kulikuwa na umuhimu gani Mbowe kutaja vyeo vyote, kuwa ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni? Kwani OCD hajui kuwa Mbowe ni Mbunge wa Hai na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni au alikuwa akimtangazia nani vyeo vyake hivyo?
 
TOWNSEND.
Ebu tujiulize Mbowe anasema hamuogopi Kikwete, sawa hamuogopi kwa lipi? Kwani kuna mtu alimwambia kuwa anamuogopa Kikwete, au Waziri Mkuu Mizengo Pinda?

Kama hakuna kwa nini basi Mbowe afikie hatua ya kutamka hadharani kuwa hawagopi viongozi hao wa taifa? Kuna nini.

Kwani wewe viongozi wako uanawaogopa au ua waheshimu?Suala la busara ni HESHIMA na siyo KOGOPA
 
Hivi nyie CHADEMA mnajifanya mko makini kwa lipi? mbona hata hiki kidogo mmeshindwa? Umeshindwa kidogo utaweza kikubwa? no way CHADEMA haifai itatupeleka pabaya.

Mkuu wangu mpenda amani Annael.

Kama unakumbuka mwaka 2005 Augustine Mrema alishushwa jukwaani kwa nguvu na kunyang'anjwa kipaza sauti na OCD wa Moshi kipindi hicho Mwakyoma, kwenye soko la Himo...baadae Mrema aliomba radhi kwa kufanya mkutano wakati muda umeisha na kusisitiza wampigie kura hawezi kurudia tena.
 
Last edited by a moderator:
Kwani wewe viongozi wako uanawaogopa au ua waheshimu?Suala la busara ni HESHIMA na siyo KOGOPA

Mukama.
Kwani kuna mtu alimwambia Mbowe kuwa anamuogopa Kikwete, au Waziri Mkuu Pinda?
 
Last edited by a moderator:
Mbowe ndio Mwenyekiti wa Chadema kamtolea kauli ya vitisho OCD, sijui ulitaka nimzungumzie nani? sasa sijui wapi nimekichafua chama..

Mie ni Mtanzania mpenda amani napambana na wote wanaotaka kuleta machafuko nchini.

Kaka unapambana na nini katika tz?
 
kwa akili yako ya kijinga unafikiri hao polisi wanafurahia utawala uliopo au ni huo utii na sheria zilizopo ndo zinawabana,laiti ungejua wanatamani leo kesho magamba ipigwe chini

punguza ukali wa maneno mkuu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom