Chadema msiwatumie raia wapenda amani kufanikisha malengo yenu ya kisiasa

Sasa kama mbowe alikataa kusitisha mkutano kuna uvunjifu wa amani wowote uliotokea?.kama hakuna uvunjifu wa amani uliotokea basi mbowe alikuwa yuko sahihi.
 
Wewe hukuwepo huko Mangaka kwenye tukio, sasa haya majungu ya nini? unatumika kama kondom mwishowe utaishia choo cha shimo!

Afadhali kuchakaa nguo unaweza kununua zingine kuliko kuchakaa akili utanunua wapi? Sasa wewe umechakaa akili sina cha kukusaidia zaidi ya kukuombea kwa Mungu.
 
POMPO.
Baada ya kauli hiyo ya Mbowe OCD Said alihama kutoka eneo hilo na kusogea eneo lingine na kuondoka kabisa eneo hilo kuepusha shari.
Kwa hiyo unakiri kwamba wanaoleta shari siku zote ni policeccm kwa kutotumia akili?
 
Mbona waujumi Uchumi wetu,i.e Viongozi chama tawala hawana limit ya kiasi cha Pesa wanazo jichumia kimagendo?? Mbowe yuko sahihi na ameruhusiwa kuendelea na wenye mamlaka ya kuruhusu,hao ni Umma!
 
Wanabodi.

Ninapenda sana hatua ya viongozi wa Chadema kuzunguka mikoani kuimarisha chama chao, ni hatua nzuri ambayo wananchi watapata nafasi kuijua vizuri Chadema ili kufanya maamuzi kama kujitoa ama kubaki ndani ya chama hicho.

Kila kikundi, chama au taasisi yeyote inapofanya mambo yake bila kuwepo na utaratibu, kuna hatari kubwa ya kutokea fujo.

Ni hatari kwa kiongozi wa chama kutofuata utaratibu wiki iliyopita Chadema walifanya mkutano wao kule Mtwara, Mbowe alimgomea (OCD) wa Nanyumbu, Mohamed Said, alipokuwa akihutubia eneo la Mangaka, OCD alimtaka Mbowe ashuke jukwaani kwa kuwa muda wa kuhutubia ulikuwa umemalizika saa 12 jioni.

Chadema msiwatumie raia wapenda amani kufanikisha malengo yenu ya kisiasa.

Je serikali ya ccm inafuata utaratibu wa sheria? basi mafisadi, na wabadhilifu kila mahali wangekuwa wamechukuliwa hatua, hilo vipi hulioni ? matumizi mabaya ya serikali hilo hulioni? yote hayo hayafuati utaratibu unaoutaka wewe. mikutano ya chadema ina madhumuni ya kudai haki kwa amani. naona wewe unamdu milo 3 kwa siku, ndo sababu unasema amani inataka chezewa, hiyvo mnatetea hiyo amani kwa kugandamiza democracy, kumekucha usivute shuka.
 
M a i n i
Basi huo ndio mwisho wa upeo wako. Bali mamlaka ya Tanzania ni serikali iliyopo madarakani ambayo ni:-
1. Chama tawala
2. Vyombo vya usalama
3. Vyombo vya utendaji

Pokea elimu ya bure hiyo!
 
Kwa hiyo unakiri kwamba wanaoleta shari siku zote ni policeccm kwa kutotumia akili?

Hivi kama OCD Said, angetoa amri kwa vijana wake polisi walikuwa wakilinda mkutano huo kumshusha kwa nguvu Mbowe kutoka jukwaani leo tungeongea mengine, nyie ndio mtakuwa wa kwanza kulalamika kuwa polisi wametumia nguvu nyingi kuvunja mkutano.
 
Ritz,

Wanaowatumia raia wema ni CCM watoa T-shirt na chakula ili waendelee kutawala. Siyo CDM wanaowambia wananchi ukweli!!!
 
Afadhali kuchakaa nguo unaweza kununua zingine kuliko kuchakaa akili utanunua wapi? Sasa wewe umechakaa akili sina cha kukusaidia zaidi ya kukuombea kwa Mungu.
Mkuu ritz, usinionee huruma mimi, wala usiniombee kwa Mungu, jionee huruma wewe mwenyewe kwanza unayetumiwa kama kondomu na mafisadi wanaohujumu nchi hii na kutuumiza watanzania wote bila huruma pamoja na wazazi wako. Najua malipo haramu unayolipwa na mashetani una warushia hata wazazi wako, lakini je, wanastahili kula makombo kwa gharama ya watanzania wenzao?
 
Ni kweli kabisa!unajua viongozi wa CDM wanajifanya wako juu ya sheria lakini cha moto waliisha kiona hata wenyewe wana kumbukumbu ya yaliyotokea Arusha kwa mbwembwe hizohizo.Sisi wananchi tunajua ni CCM pekee nchi hii inayopenda kudumisha Amani na upendo kwa watanzania.

Wewe ni MBIGA... Hivi CCM na CDM nani yuko juu ya sheria? Uhamiaji ninyi,ulinzi n usalama ninyi,Mahakama nk zote numezicmamia kichwani, nani hayajui hayo? Kama huna lakuchangia soma then sepa....
 
Mkuu ritz, usinionee huruma mimi, wala usiniombee kwa Mungu, jionee huruma wewe mwenyewe kwanza unayetumiwa kama kondomu na mafisadi wanaohujumu nchi hii na kutuumiza watanzania wote bila huruma pamoja na wazazi wako. Najua malipo haramu unayolipwa na mashetani una warushia hata wazazi wako, lakini je, wanastahili kula makombo kwa gharama ya watanzania wenzao?

Naona umekasirika kweli mpaka akili imehama! Mkuu kwa hiyo wewe umetumwa na Mbowe au Slaa? Kwa hiyo Chadema wakichukuwa nchi Watanzania wote watakuwa na maisha mazuri watakula vya halali tupu... mkuu wangu mie siwezi kuingiza mambo ya wazazi wako kuwavunjia heshima sijafundishwa hivyo, mie nimekuachia wewe mkuu ukijisikia kuwavunjia tena heshima tena kama unavyofanya ruksa mie sina kinyongo...

JF Daima.
 
Ni kweli kabisa!unajua viongozi wa CDM wanajifanya wako juu ya sheria lakini cha moto waliisha kiona hata wenyewe wana kumbukumbu ya yaliyotokea Arusha kwa mbwembwe hizohizo.Sisi wananchi tunajua ni CCM pekee nchi hii inayopenda kudumisha Amani na upendo kwa watanzania.
Umeelewa topic au ndo kudandia gari wakati hujui laelekea wapi? Tatizo lenu ni kupenda kuchangia sana wakati mada hujui!!!! Hata sielewi amani unayoiongelea nilishasema kuwa peace is not only the absence of guns and bomb blasts, its more than that!!!!
 
Naona umekasirika kweli mpaka akili imehama! Mkuu kwa hiyo wewe umetumwa na Mbowe au Slaa? Kwa hiyo Chadema wakichukuwa nchi Watanzania wote watakuwa na maisha mazuri watakula vya halali tupu... mkuu wangu mie siwezi kuingiza mambo ya wazazi wako kuwavunjia heshima sijafundishwa hivyo, mie nimekuachia wewe mkuu ukijisikia kuwavunjia tena heshima tena kama unavyofanya ruksa mie sina kinyongo...

JF Daima.
Mkuu wangu ritz, bahati mbaya sana kwako ni kuwa huna ulichowahi kufundishwa zaidi ya kujipendekeza kwa watawala na kuwakashifu watu wanaopambana udhalimu. Ni ndani ya ulimbukeni huo ndio maana una thubutu kumwaga mitusi kama hii kwa wengine!

Afadhali kuchakaa nguo unaweza kununua zingine kuliko kuchakaa akili utanunua wapi? Sasa wewe umechakaa akili sina cha kukusaidia zaidi ya kukuombea kwa Mungu.
 
kwa wenye akili kidogo mleta mada alihitaji msimame kufikiri badala ya kuwafikirisha .mimi mwisho wa kuchangia mada za Ritz ni hapa ,hana hoja wala kitu cha kusumbua akili, pia hasaidiki,
 
Back
Top Bottom