Chadema msiwatumie raia wapenda amani kufanikisha malengo yenu ya kisiasa

ritz acha ujinga, ccm ndio walioanza na kulea tabia ya kuvunja sheria. Kama ccm wangekuwa watii wa sheria mbowe asingekuwa jasiri wa kumvimbia ocd.
Kwenye kampeni wa jk 2010 arusha. Jk alifika saa 12 jioni na kumaliza saa 1 usiku. Cdm walipolalamika tendwa akawatetea ccm kipuuzi. Mnatumia dola kulea upuzi halafu cdm wakiidharau mnalalamika.

kwa mantiki hiyo hata cdm hawafai kwa7bu wanashindana na jk ktk makosa,,,,,,sivyo??
 
Ibrah
Kulikuwa na umuhimu gani Mbowe kutaja vyeo vyote, kuwa ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni? Kwani OCD hajui kuwa Mbowe ni Mbunge wa Hai na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni au alikuwa akimtangazia nani vyeo vyake hivyo?

Kwani wewe tatizo lako ni kuzidisha muda au Mbowe kutaja vyeo vyake? Hueleweki bwana mdogo.
 
Mkuu umeona usifufue uzi wa kujadili kuhusu sera ya kilimo kwanza au ripoti ya CAG au bajeti zilizopita ili tujue jinsi ya kusonga mbele ila mnafufua nyuzi za kupambana na upinzani so funny hii nchi
 
Back
Top Bottom