Hata mimi nisie na chama nimegoma kabisa kujiandikisha...Wanaogoma kujiandikisha siyo CHADEMA peke yao wapo hata wanaccm wengi tu wanaojitambua ambao wamegoma kujiandikisha kwa kutokuridhishwa na kile wanachofanyiwa watanzania wenzao kwa kisingizio cha kuwadhibiti wapinzani.
CCM waliogoma kujiandikisha ni wale waliozoea mlungula......safari hii uchaguzi hauna rushwa!Wanaogoma kujiandikisha siyo CHADEMA peke yao wapo hata wanaccm wengi tu wanaojitambua ambao wamegoma kujiandikisha kwa kutokuridhishwa na kile wanachofanyiwa watanzania wenzao kwa kisingizio cha kuwadhibiti wapinzani.
We nenda kpige kura mtuacheeeeMsije kulia lia hapa Jf baada ya uchaguzi!
CHADEMA wajiandikishe kupiga kura wakampigie nani wakati CCM wameshasema watashinda kwa asilimia zote na nimarufuku kumtangaza mpinzani aliyeshinda kuwa kashinda?.Ni katika kukumbushana tu.
Nichukue fursa hii kumpongeza mbunge wa Arusha mjini mh Godbless Lema kwa kulielewa hili na kuwaandaa wapiga kura wake.
Maendeleo hayana vyama!
Hahaha rushwa ndiopumnzi ya CCM,CCM ya bila rushwa bado haizaliwa labda miaka 2000 ijayo ndo itakuwepo.CCM waliogoma kujiandikisha ni wale waliozoea mlungula......safari hii uchaguzi hauna rushwa!
Kwanini hawajiandikishiNi UKAWA katika ujumla wao!
Msije kulia lia hapa Jf baada ya uchaguzi!
Wa serikali za mitaa!Uchaguzi upi?
Msije kulia lia hapa Jf baada ya uchaguzi!
Wa serikali za mitaa!
.Siwabembelezi bali nawakumbusha bure!
Maendeleo hayana vyama!
Tena wewe machozi yako yapo jirani sana!Hiyo haki huwa hatuna anyway