Hawa Jamaa Sasa wamekosa sera, wanaanza kujaribu kubadilisha mwelekeo wa siasa kwakusema CDM Haitofika 2015,
Kumbukeni kuwa watanzania wa Sasa sio wajinga, maana tuliona miaka ya nyuma watu wengi walikuwa wakifuata mkumbo kwasababu ya elimu duni, ila Sasa watu wameelimika sana wakiamua kusema Hapana wanamaanisha kweli, Jiulizeni wana CCM yakuwa mna ushawishi kiasigani kwa wananchi, nyakati hizi za science na technology? Zama za ukweli na uwazi? Kila mtu anaona kuwa hapa anatendewa hali na anapodhulumiwa anajua ni nani kamdhulumu? Mambomengi yana wakandamiza wapigakura kwamfano, hakuna Ajira zakutosha, uchumi wa nchi unayumba kila kukicha, Miundombinu mibovu, MAFISADI WANAZIDI KUKUMBATIWA, MAAIKINI WANAZIDI KUWA MASIKINI, Namambo mengine mengi ambayo ata tukitumia mwezi hayataisha kwakuyataja...Sasa Wewe mtoa mada unadhani kuiuwa cdm ni jambo lelemama? Watu tutakufa ila chama hakitakufa milele, sahau juga kwa CDM maana kilasiku tunakuwa, na wananchi wamechoka kudanganywa na t-shirt, Kanga, Kofia, na pesa, Sasa wakotayari kufa masikini ili kusaidia vizazi vijavyo, IYO 2015 usikimbie Imus maana ninajua ndio mwisho wenu CCM!