Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,925
- 51,007
Chadema wanasema wao wanamtetea yeyote anayeonewa.Hao watu wanajuana hadi kwenye uchaguzi wa mwaka 2025 walivalishana tisheti zilizokuwa zimeandikwa "Machinga na mama ni dam dam!"
Leo wanatimuana wanahamasisha watu waandamane... Hiyo ni vita ya kifamilia kati yao, waachwe wasuluhishane wenyewe.
Hata mama mwenyewe tunamtetea kwa kupewa mzigo wa urais ambao hakustahiliChadema wanasema wao wanamtetea yeyote anayeonewa.
Ndio maana amekaa pembeni, nchi ijiendee yenyewe..Hata mama mwenyewe tunamtetea kwa kupewa mzigo wa urais ambao hakustahili
Wamachinga na bodaboda ni mali ya CCMHao watu wanajuana hadi kwenye uchaguzi wa mwaka 2025 walivalishana tisheti zilizokuwa zimeandikwa "Machinga na mama ni dam dam!"
Leo wanatimuana wanahamasisha watu waandamane... Hiyo ni vita ya kifamilia kati yao, waachwe wasuluhishane wenyewe.
ni vizuri sana kutii sheria na maagizo ya kimamlaka bila shuruti na bila kuskiza porojo za wanasiasa waliopoteza uelekeo na itapendeza zaidi.Hao watu wanajuana hadi kwenye uchaguzi wa mwaka 2025 walivalishana tisheti zilizokuwa zimeandikwa "Machinga na mama ni dam dam!"
Leo wanatimuana wanahamasisha watu waandamane... Hiyo ni vita ya kifamilia kati yao, waachwe wasuluhishane wenyewe.
Tupo pamoja.ni vizuri sana kutii sheria na maagizo ya kimamlaka bila shuruti na bila kuskiza porojo za wanasiasa waliopoteza uelekeo na itapendeza zaidi.
Ndugu wakigombana...Bodaboda,walim, machinga na wazee, polisi,jwtz,jkt, mahakama na Bunge vyote ni Malia ya ccm... Cdm kuvitetea ni kiherehere tu.... Unateteaje kundi ambalo baadae ya siku 2 wanaunga mkonon juhudi za wapuuzi.
CCM wamezoea kufuja fedha za watanzania na kutumia madaraka ya kisiasa hovyo.Kweli kabisa acha wenye mamlaka watimize wajibu wao,ila tu tunaomba siyo uchaguzi unakaribia wanawarudisha
Hili zoezi liwe endelevu
Ova
Wamachinga waende sehemu ambazo husika zilizotengwa kwa ajli ya kufanya biashara zao.Hao watu wanajuana hadi kwenye uchaguzi wa mwaka 2025 walivalishana tisheti zilizokuwa zimeandikwa "Machinga na mama ni dam dam!"
Leo wanatimuana wanahamasisha watu waandamane... Hiyo ni vita ya kifamilia kati yao, waachwe wasuluhishane wenyewe.
Gari kubeba taka free hapo kizungumkutiWamachinga waende sehemu ambazo husika zilizotengwa kwa ajli ya kufanya biashara zao.
Majiji yanakuwa machafu kwasababu kila sehemu wanafanya biashara na kujaza matakataka njiani.
Nchi za wenzetu hakuna wamachinga na miji yao ni misafi sana.
Serikali ijenge masoko mengi kila kata ili iweze kuaccomodate wamachinga.
Serikali za kata zihamasishe wakazi wafanya usafi mazingira yanayozunguka nyumba zao na kuweka taka kwenye mapipa/bins kisha magari yawe yanakuja kuchukua free.
Hao wanajuana na kuna mmoja hapo anapatiwaga kweli baada ya kutumikaCCM wamezoea kufuja fedha za watanzania na kutumia madaraka ya kisiasa hovyo.
Wanahamisha watu kimkurupuko halafu mwaka mmoja baadae hao hao CCM wanaaachia wengine wafanye biashara maeneo walikofukuzwa wenzao awali.