hata mimi nimemjulia hali asubuhi ya leo. Kaniambia anaendelea vema. Ila tumchangie mwenzetu jamani.
thubutu, achange nani? akina lema wanakula good time sis wabangaizaji ndo tumchangie? siujinga. binafsi angepata hilo tatizo kwenye utafutaji wa maisha yake ningekuwa radhi kuchangia, tunafanya hivyo kwa wengi tu. lakini kwenda kusapoti makamanda halafu wakuache kwenye mataa theni sisi walala hoi tukuchangie? thubutu.