CHADEMA-Msaidieni huyu

CHADEMA-Msaidieni huyu

hata mimi nimemjulia hali asubuhi ya leo. Kaniambia anaendelea vema. Ila tumchangie mwenzetu jamani.

thubutu, achange nani? akina lema wanakula good time sis wabangaizaji ndo tumchangie? siujinga. binafsi angepata hilo tatizo kwenye utafutaji wa maisha yake ningekuwa radhi kuchangia, tunafanya hivyo kwa wengi tu. lakini kwenda kusapoti makamanda halafu wakuache kwenye mataa theni sisi walala hoi tukuchangie? thubutu.
 
pole sana niko.mungu akupe nguvu urudi mtaani kuendeleza harakati.
 
Huyu Alphonce Mawazo aliyefanya naye mkutano mkubwa kabla hajapata ajari kwa sasa yuko wapi?.....................Hata wale aliokwenda kuwasaidia kupata kula wako wapi?.............CDM office kuu siyo wajinga kukaa kimya, chama kumsaidia ni kufungua mlango (precedence)kwa watu wengine kuomba msaada pindi wakipata matatizo katika misukosuko ya chama ambayo haina impact kwa chama..............inashangaza kuona kama hajui/hakujua kama chama kina watu makini.
 
attachment.php


Mkuu Ritz
Huyu kweli ni mgonjwa mahututi? Au ndio mambo ya zile sinema za kihindi? Jamaa anatafuta njia ya kupata riziki nadhani ipo haja ya makamanda kupita Muhimbili kuwaona wagonjwa walio kwenye hali mbaya na mahututi; yaani hawa vijana wa Chadema ni wabunifu wa kutafuta ulaji kama wakubwa zao! Halafu wanataka waachiwe kutunza hazina si watatutoa patupu! Hii kali mgonjwa mahututi anasubiri pozi za kupiga picha?

Chama
Gongo la mboto DSM

CC Mwita Maranya; Matola; Molemo Mohamedi Mtoi

Mkuu chama,
Napata tabu kuamini mtu huwezi kuwa kwenye maumivu makali ukawa unacheka huku unaweka pozi.

Kama kweli anaumwa na chama kinawajali watu wake watoa fungu kwenye M4C wampeleke India.

Itabidi afuate kauli mbiu ya Lema pesa ni matokeo kwanza ukombozi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz,labda kamanda hili tatizo sio la kanda yake si unajua wamejigawa kwenye mapande.

Mkuu Mingoi,
Maneno yako yanaweza kuwa ya kweli kamanda angetoka kanda kaskazini siku nyingi angepata huduma ya matibabu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mingoi,
Maneno yako yanaweza kuwa ya kweli kamanda angetoka kanda kaskazini siku nyingi angepata huduma ya matibabu.

Cdm sio magamba ataudumiwa na atapona ataendelea na mapambano.wewe endelea kugombania kuchinja kwa ajili ya utumbo na vinyama mnavyopewa machinjioni.
 
Last edited by a moderator:
mi nashauri uwe mwito wa watanzania wote, sio chadema tu. kuna wanaharakati wasio chadema lakini wanatamani kuona mabadiliko ya kiutawala, wasihusike? mi naona kama unapenyeza suala kuwa CHADEMA haisaidii watu!.
 
Wahusika ni nani? Wahusika ni pamoja na mimi na wewe. Toa ulichonacho tumsaidie kamanda
 
Kama unafurahia yaliyomkuta Mwangosi,nawewe subiri ya kwako,umenusurika kunyongwa china na biashara zako haram,kumbuka hiyo ilikuwa beep tu,utakapopigiwa tena china mwisho wako utakuwa hukohuko china.
 
Mkuu chama,
Napata tabu kuamini mtu huwezi kuwa kwenye maumivu makali ukawa unacheka huku unaweka pozi.

Kama kweli anaumwa na chama kinawajali watu wake watoa fungu kwenye M4C wampeleke India.

Itabidi afuate kauli mbiu ya Lema pesa ni matokeo kwanza ukombozi.

Mkuu Ritz
Jamaa kitakachomsaidia jina lake Ngowi kama angekuwa ni Mohamedi Mtoi shughuli yake ingekuwa kubwa sana

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz
Heche anahangaika na DVD tatizo wazungu wanapata tabu kuelewa ni sawasawa uende Longido na sinema ya kihindi; kamanda analia watu wapeleke michango; nawasiliana na Mwita Maranya; Mohamedi Mtoi na Matola wamsaidie mpigania ukombozi mwenzao!

Chama
Gongo la mboto DSM
Mimi si sehemu ya siasa za ujasiriamali, msaada siku zote unaombwa na muhusika kama ana shida hiyo kweli, mtu aliyekataa kupigwa picha inaonekana hataki kugeuzwa mtaji. watu siku hizi wanatafuna mpaka pesa zarambirambi. sipo kwenye hili.
 
Mimi si sehemu ya siasa za ujasiriamali, msaada siku zote unaombwa na muhusika kama ana shida hiyo kweli, mtu aliyekataa kupigwa picha inaonekana hataki kugeuzwa mtaji. watu siku hizi wanatafuna mpaka pesa zarambirambi. sipo kwenye hili.

Mkuu Matola
Jamaa umeona mgonjwa mahututi amepiga pozi kuwataarifu makamanda mumtumie kidogodogo sasa tatizo lipo wapi kamanda fungua mfuko kamanda apone

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom