CHADEMA-Msaidieni huyu

CHADEMA-Msaidieni huyu

Mkuu Ritz
Makamanda hawakomi bado hawajajifunza na yaliyomkuta Mwangosi; namba ya voda hiyo andaa mchango
Chama
Gongo lamboto DSM
 
Last edited by a moderator:
nashukuru kwa taarifa nimezungumza naye kaniambia anapanda leo ndege kwenda kcmc
tutampa ushirikiano wa hali na mali makamanda wenzake

hata mimi nimemjulia hali asubuhi ya leo. Kaniambia anaendelea vema. Ila tumchangie mwenzetu jamani.
 
Nahisi kuna tatizo la mawasiliano hapa. Kamamnda NICO (mpiganaji wa kujitolea) taarifa zake za kupata ajali na kuumia zinajulikana na chama chake kipo karibu naye. Ni vizuri chama na wanachama wakamshughulikia kwa karibu na kutokutoa mianya ya kupiga propaganda kuwa ukijitolea kwenye mampambano na kupata matatizo basi chama kinakutupa. Cha msingi ni kupata mawasiiano toka vyanzo vikuu vya chama na kama msaada unahitajika basi chama ndiyo kibebe jukumu hili kwa mpangilio. Pichani ni kamanda Nicco alipotembelewa Hospitali ya Mwananchi Mwanza na Jopo la Kamanda Mawazo wakielekea vitongoji vya Magu.

View attachment 83208View attachment 83209
Mbona anafanana na kingwendu.
 
Brother pole sana Kamanda tupo nyuma yako kwa hali na mali. Ni vyema wapenda mabadiliko tukamtumia chochote tulicho nacho via M-PESA au Tigo pesa, ili kamanda Nichlous aweze kupona haraka na arejee kwenye uwanja wa mapambano kama kawaida.

MUNGU AKUPONYE KAMANDA.
 
Pole kamanda Nico, kazi yako ktk chama imeonekana. Tupen namba ya voda au airtel yake tumchangie kwa chochote.
 
Mkuu Ritz
Makamanda hawakomi bado hawajajifunza na yaliyomkuta Mwangosi; namba ya voda hiyo andaa mchango
Chama
Gongo lamboto DSM

Mkuu chama,
Yule mwanajeshi wa Chadema mpaka leo hakuna hata wakumpelekea sabuni wala dawa ya meno gerezani.

Hayu kamanda anatia hurumu sana bahati mbaya hana jina chama hakina pesa ya kuchezea atumie kauli mbiu wao wana pesa sisi tuna mungu.

John Heche anazunguka na DVD ya Mwangosi ulaya kuchangisha pesa juzi alikuwa Albania.
 
Last edited by a moderator:
Upinzani uwe majukwaani tu ......lakini hili si jukumu la chadema....labda kama ana mkataba wa kupatiwa matibabu na chama......lakini kwa hali ya kawaida ya kibinadamu ni jukumu la kila anayeguswa na hali hii bila kujali itikadi yake.....msiwagawe wananchi kwa itikadi zenu za kisiasa katika masuala ya kibinadam....
 
nashukuru kwa taarifa nimezungumza naye kaniambia anapanda leo ndege kwenda kcmc
Tutampa ushirikiano wa hali na mali makamanda wenzake

Maneno kuntu kabisa. Nami nimetoka kuongea na Alphonce Mawazo ameniambia hivyo na nimeshamtumia Sh 10,000 kwa Tigo-Pesa. Mungu atamsaidia apone na arudi katika ukombozi.
 
Mkuu chama,
Yule mwanajeshi wa Chadema mpaka leo hakuna hata wakumpelekea sabuni wala dawa ya meno gerezani.

Hayu kamanda anatia hurumu sana bahati mbaya hana jina chama hakina pesa ya kuchezea atumie kauli mbiu wao wana pesa sisi tuna mungu.

John Heche anazunguka na DVD ya Mwangosi ulaya kuchangisha pesa juzi alikuwa Albania.

Mkuu Ritz
Heche anahangaika na DVD tatizo wazungu wanapata tabu kuelewa ni sawasawa uende Longido na sinema ya kihindi; kamanda analia watu wapeleke michango; nawasiliana na Mwita Maranya; Mohamedi Mtoi na Matola wamsaidie mpigania ukombozi mwenzao!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Ni ukweli usiopingika kuwa wapo vijana wanaojitoa katika ujenzi wa CHADEMA kwa gharama zao na muda wao pasipo kutegemea kulipwa.

Moja kati ya vijana hawa ni Nicholaus Ngowi wengi tukimfaham kama mtoto wa seremala.Huyu ni yule ambaye Lukuvi alimwita Lema alipomuuliza maswali live star tv akitokea Dodoma.

Mpambanaji huyu alijitolea mwenyewe kwa gharama zake kutoka Dodoma kwenda Muleba kusaidia campain za uchaguzi wa vijiji na vitongoji lakini kabla ya kwenda Muleba alifanya mkutano mkubwa sana wa hadhara kata ya kitangiri kwa kushirikiana na Alphonce Mawazo.

Siku moja kabla ya safari yao kwenda Muleba alipata ajali mbaya sana na kiukweli aliumia sana mguu wake wa kushoto na kulazwa hospitali ya Bugando na baadae Mwananchi hapa Mwanza.

Kiukweli nimemtembelea hospilini Mwananchi hali yake ni mbaya sana na anahitaji msaada wa haraka ili kuokoa mguu wake na maisha yake kwa ujumla.

Nilitaka nimpige picha ila alikataa. CHADEMA msaidieni kamanda huyu.namba yake ni 0713014400

copy to:
John Mnyika, Dr. W.Slaa, Tundu Lissu, Halima Mdee, Rachel Mashishanga, freeman Aikael Mbowe e.t.c.
 
Last edited by a moderator:
Huyu ni binadamu mwenzetu, upinzani uko kwenye majukwaa na vinginevyo. Hivyo Mtanzania ye yote atakaeguswa amsaidie sio lazima awe CDM. Anaweza pia kuhamia chama kingine mbona wengine wanahama na walikuwa mstari wa mbele katika vyama vyao vya awali?
Kama ww una M-pesa unaweza pia kumtumia kwenye hiyo namba yake ya Tigo atazipata tu.
 
attachment.php


Mkuu Ritz
Huyu kweli ni mgonjwa mahututi? Au ndio mambo ya zile sinema za kihindi? Jamaa anatafuta njia ya kupata riziki nadhani ipo haja ya makamanda kupita Muhimbili kuwaona wagonjwa walio kwenye hali mbaya na mahututi; yaani hawa vijana wa Chadema ni wabunifu wa kutafuta ulaji kama wakubwa zao! Halafu wanataka waachiwe kutunza hazina si watatutoa patupu! Hii kali mgonjwa mahututi anasubiri pozi za kupiga picha?

Chama
Gongo la mboto DSM

CC Mwita Maranya; Matola; Molemo Mohamedi Mtoi
 
Last edited by a moderator:
attachment.php

Ni ukweli usiopingika kuwa wapo vijana wanaojitoa katika ujenzi wa CHADEMA kwa gharama zao na muda wao pasipo kutegemea kulipwa.

Moja kati ya vijana hawa ni Nicholaus Ngowi wengi tukimfaham kama mtoto wa seremala.Huyu ni yule ambaye Lukuvi alimwita Lema alipomuuliza maswali live star tv akitokea Dodoma.

Mpambanaji huyu alijitolea mwenyewe kwa gharama zake kutoka Dodoma kwenda Muleba kusaidia campain za uchaguzi wa vijiji na vitongoji lakini kabla ya kwenda Muleba alifanya mkutano mkubwa sana wa hadhara kata ya kitangiri kwa kushirikiana na Alphonce Mawazo.

Siku moja kabla ya safari yao kwenda Muleba alipata ajali mbaya sana na kiukweli aliumia sana mguu wake wa kushoto na kulazwa hospitali ya Bugando na baadae Mwananchi hapa Mwanza.

Kiukweli nimemtembelea hospilini Mwananchi hali yake ni mbaya sana na anahitaji msaada wa haraka ili kuokoa mguu wake na maisha yake kwa ujumla.

Nilitaka nimpige picha ila alikataa. CHADEMA msaidieni kamanda huyu.namba yake ni 0713014400

pole yake. mshikaji keshatumika sasa hana thamani tena. anajitesekea zake hosipitalini. chadema bana!
 
Movement for changes inavyobadilisha maisha ya vijana wetu,labda hii kamanda Molemo,Mwita Maranya au Tumaini Makene wataiona na kuanza kuchangisha mara moja maana Chadema makao makuu hawana fungu la mkono wa pole.
 
Back
Top Bottom