CHADEMA mnawalea sana wanachama wenu wanaokengeuka, igeni CCM

Usisahau hawa wapo kazini wakati huu kukidhoofisha CHADEMA.
Hakuna sababu ya kuwa na pupa kwa kuchochewa na hawa mamluki na kuanzisha zogo wakati huu.
Ni kuwa na mkakati unao eleweka wa kuwashughulikia hawa kwa wakati mwafaka.
 
Hawa akina John Mrema sijui mtoto wa Mbowe, wote hawajawahi kupost shughuli yoyote ya chama, ila wamesubiri habari negative, tena inayoratibiwa na ccm na wao ndio wanajifanya kuivalia njuga! Safari hii wanaccm waliokuwa ndani ya cdm watafahamika.
Lusungo Ngongo TrueVoter Retired
Mpaka sasa hakuna hoja ya maana iliyotolewa juu ya unyama alofanyiwa huyo binti mbele ya Heche mnataka tufurahi? Toa kwanza kibanzi kilichoko jichoni mwako kabla ya kujadili cha nduguyo
 
Moja ya mambo ambayo ccm waga haivumilii ni kuona mwanachama anakengeuka na kwenda kinyume na makubaliano ya chama, ni mwanachama kuondoka mwenyewe kwenye chama au kufukuzwa uanachama.

Makala kwa kujua weakness ya CHADEMA na kutokana na boko lake la ebola, sasa wanataka kutumia baadhi ya makada wa chadema kuibua attention hovu dhidi ya Heche na Lissu katika mikutano yao ya no reforms no election.

Mimi nawashauri tena, igeni ccm fukuzeni wote wanaotaka kukwamisha chama, anza na hawa kabisa,

Yericko Nyerere
John Mrema
Mchome

Hawa watu hawana impact yeyote kwenye siasa za Tanzania.

Soma: Pre GE2025 - John Mrema alaani vikali kiongozi wa Chadema taifa kupigwa na mlinzi wa Heche
Wewe ni wa hovyo sana! Kenge wewe!
 
CHADEMA haiwezi kuwafukuza hao ulowataja.

Ukiwafukuza unawapa political mileage kuwaongezea umaarufu!! Unawaacha wajifie taratibu!!!

Au watangaze wenyewe kuhamia kuleee,kuwafukuza ni KOSA la kiufundi.

😅😅😅🤣🤣😅😅
 
Chadomo kimegeuka chama cha kidikteta hata nchi hawajapewa. Wakipewa nchi itakuaje. Wakosoaji wote wanaitwa mamluki, wamehongwa n.k.
Msajili akitazame kwa jicho la tatu hiki chama kimegeuka kikundi katili cha mungiki. Mtu kalazwa hospital zaidi ya wiki, kapigwa hadharani lakini hata pole hamna. Wanahubiri demokrasia huku wameficha mapanga.
Bora ungenyamaza tu mbele ya watu wenye akili timamu. Hivi kuna chama dictator kuliko hicho kilichowanyanyasa wananchi wake tangu uhuru. Ebu fikiria Tume ya jaji Warioba imetumia biliini ngapi kukusanya na kuchakata maoni ya wananchi. Na je baada ya mchakato huo wananchi wamezingatiwa maoni yao.

Kila wananchi wakijifaragua hata kutoa ushuzi ili gesi ipungue tumboni madikiteta wanatoa amri kuwa vyombo vya usalama kaaeni mguu sawa kuna watu wanataka kuchafua hali ya hewa 😄😄
 
Ungekuwa unanyanyaswa ungeachwa uropoke nchi nzima? Nenda nchi za jirani zetu tu hapo uanze kuropoka kama utaachwa. Wewe unakula makande yako kwa amani, unajuia inavyolindwa? Au unajua maana yake? Unajua kwanini Kanisani tunaambiwa "Enendeni kwa Amani"? Waropokaji wameku brainwash.
 
Chadomo kimegeuka chama cha kidikteta hata nchi hawajapewa. Wakipewa nchi itakuaje. Wakosoaji wote wanaitwa mamluki, wamehongwa n.k.
Msajili akitazame kwa jicho la tatu hiki chama kimegeuka kikundi katili cha mungiki. Mtu kalazwa hospital zaidi ya wiki, kapigwa hadharani lakini hata pole hamna. Wanahubiri demokrasia huku wameficha mapanga.
Jengeni hoja ,acheni tafuta kichaka cha msajili, mpaka mda huu ccm ilitakiwa kuwa imefutwa , sema msajili sijui msajili yupo yupo tu
 
Ungekuwa unanyanyaswa ungeachwa uropoke nchi nzima? Nenda nchi za jirani zetu tu hapo uanze kuropoka kama utaachwa. Wewe unakula makande yako kwa amani, unajuia inavyolindwa? Au unajua maana yake? Unajua kwanini Kanisani tunaambiwa "Enendeni kwa Amani"? Waropokaji wameku brainwash.
Unatujazia uharo wako
 
Mpaka sasa hakuna hoja ya maana iliyotolewa juu ya unyama alofanyiwa huyo binti mbele ya Heche mnataka tufurahi? Toa kwanza kibanzi kilichoko jichoni mwako kabla ya kujadili cha nduguyo
Nasema hivi, onyesheni sehemu mmepost kuhamasisha operesheni za chama kama tonetone, ili tuone mko na chama, hivyo mna uhalali wa kuhoji hii sinema ya ccm.
 
Moja ya mambo ambayo ccm waga haivumilii ni kuona mwanachama anakengeuka na kwenda kinyume na makubaliano ya chama, ni mwanachama kuondoka mwenyewe kwenye chama au kufukuzwa uanachama.

Makala kwa kujua weakness ya CHADEMA na kutokana na boko lake la ebola, sasa wanataka kutumia baadhi ya makada wa chadema kuibua attention hovu dhidi ya Heche na Lissu katika mikutano yao ya no reforms no election.

Mimi nawashauri tena, igeni ccm fukuzeni wote wanaotaka kukwamisha chama, anza na hawa kabisa,

Yericko Nyerere
John Mrema
Mchome

Hawa watu hawana impact yeyote kwenye siasa za Tanzania.

Soma: Pre GE2025 - John Mrema alaani vikali kiongozi wa Chadema taifa kupigwa na mlinzi wa Heche
Uongozi wa sasa wa CDM wakutane kwanza na waongee viongozi waliopita, watafute common grounds, wawape nafasi kadhaa kwenye uongozi, kuongea na kupigania CDM, walipata nusu ya kura za wanaCDM wawape nafasi responsible kujibu umma, kuliko kuwaweka pembeni.

Kufukuza wanachama wengi waandamizi ni kukuza na kuongeza migogoro ndani ya chama na kupunguza nguvu ya CDM. Handle with care. Inatakiwa iwe broad church inayoponya majeraha.
 
Msemaji wa sasa wa CHADEMA ni Nani? Ninapata mashaka kama yupo competent.
Anajificha ficha sana,
Ile nafasi ilimfaa mtu anaitwa Gervas alikuwa sehemu ya timu ya ushindi ya Lissu.
Anaitwa Brenda Rupia ameanza kazi vizuri sana .
 
Uongozi wa sasa wa CDM wakutane kwanza na waongee viongozi waliopita, watafute common grounds, wawape nafasi kadhaa kwenye uongozi, kuongea na kupigania CDM, walipata nusu ya kura za wanaCDM wawape nafasi responsible kujibu umma, kuliko kuwaweka pembeni.

Kufukuza wanachama wengi waandamizi ni kukuza na kuongeza migogoro ndani ya chama na kupunguza nguvu ya CDM. Handle with care. Inatakiwa iwe broad church inayoponya majeraha.
Hamna mwanachama mwandamizi hapo.
 
Hamna mwanachama mwandamizi hapo.
James Mbowe, John Mrema ni wapiga debe wa utawala uliopita. Walikuwa karibu sana na uongozi uliopita wanawasilisha fikra, maoni, mitazamo ya uongozi uliopita.
 
Kama viongozi wa zamani watasapoti shuhuli za chama mapaka wapewe nafasi za uongozi basi hawafai,Bora watengwe hivyo hivyo.
Uongozi wa sasa wa CDM wakutane kwanza na waongee viongozi waliopita, watafute common grounds, wawape nafasi kadhaa kwenye uongozi, kuongea na kupigania CDM, walipata nusu ya kura za wanaCDM wawape nafasi responsible kujibu umma, kuliko kuwaweka pembeni.

Kufukuza wanachama wengi waandamizi ni kukuza na kuongeza migogoro ndani ya chama na kupunguza nguvu ya CDM. Handle with care. Inatakiwa iwe broad church inayoponya majeraha.
 
Kama viongozi wa zamani watasapoti shuhuli za chama mapaka wapewe nafasi za uongozi basi hawafai,Bora watengwe hivyo hivyo.
Wewe ukichukua uongozi wa Taasisi huwezi kusikiliza maoni ya watangulizi wako,kuwavuta karibu, wazalendo waliopita kwa utulivu kuliko kwenye media,matukio.

Ukiwa na akili pia unawapa wizara ngumu wapambane nazo, waeleze umma watu wao umuhimu wa kuwa pamoja. Mfano ni ANC na inkatha freedom party., Zanzibar, Kenya,.
 
Mkuu hapo ni mifano miwili tofauti kabisa,Hao watu wapo ndani ya Chama,Hawajatengwa sema vile wameona Mabadiliko ya uongozi yapo nje ya maslahi yao ndio mana wanakipa chama Kashkash zakipuuzi,Hao wala sio wakubembelezwa au kurambwa rambwa nikwakupuuzwa tu.
 
Back
Top Bottom