CHADEMA mnakosea kulea Ufisadi wa Heche

UMELIPWA SH. NGAPI KUJA KUANDIKA HUU UPUUZI,.?

kama huja lipwa basi elewa kuwa wewe ni mjinga sana.
 
Ha
Unakataa nini na kufanya nini??
Hayakuhusu. Issue za nyumba ya jirani zinakuhusi nini kama si umama na umbeya. Tangu lini mbogamboga mmekuwa na uchungu na mafanikio ya CDM.

Badala ya kusikitika na kulalamika hela kuliwa, furahi kwamba tumetiwa hasara. Sisi ndio tumeipenda hiyo hasara na tutamuongezea na hela zingine ale, anenepe na nyie mkonde kwa gubu lenu! Swain!!
 
Achana na tone tone.

Kuna pesa kapewa na wafanyabiashara kwa ajili ya chama.

Kazipiga.
Weka miamala ilivyoingizwa ,kama mfanyabiashara alimpa pesa si kuna transaction? Mbona tiketi ya ndege iliwekwa? Wekeni na hiyo miamala/risiti.
 
Daah
 
Heche yupo sana ,kama mlianza na bongo movie za salum mwalimu kumuondoa ili ije KUKIKI kwa Heche ,ngoma imebuma rudisheni milioni 2 mlizokula kwa ABDUL.
Mtaendelea kubakia hivyo hivyo moaka mnazeeka.
 
Weka miamala ilivyoingizwa ,kama mfanyabiashara alimpa pesa si kuna transaction? Mbona tiketi ya ndege iliwekwa? Wekeni na hiyo miamala/risiti.
Weka miamala ya trillion 1.2 alizochukua Magufuli.
 
watu wengi hawajui kua chadema ni ndogo mno,

kujua vitu kama ufisadi au mipango ya kigaidi ni rahisi mno.

wawe wangwana tu,
na huyo fisadi aondolewe tu ili kuepuka maswali mengi zaidi baadae 🐒
 
🤣🤣🤣🤣
Vipi wamewaharibia dili?
 
Mkuu jamaa kapiga mkubali tu au huko kwenu hamna watu inabidi mlee wapigaji kwa lazima.

Jamaa kala hela za Chama.

Simple as that.

Makam mwenyekiti wa kikundi kala ela za mbegu za kikundi❗️

lkn wanakikundi bado wana imani naye wanasema wapo tayali kumuongezea mipesa mingi na kuwataka Watanzania wamwamini tu !!!

Nzi kafia kwenye kidonda👈
 
Weka miamala ya trillion 1.2 alizochukua Magufuli.
Aiseee kwa akili hizi ndiyo maana mnatumika sana na kina ABDUL maana wameaona ni MAZERO BRAINs.

Issue ya 1.5T si alishasema CAG? Na Juzi kwenye mahojiano yake kwenye M&S Podcast alisema Magufuli alimfukuza baada ya kuibua ufisadi wa 1.5T ,nenda kwenye ripoti ya CAG iliyoenda Bungeni ukaangalie.
 
Kamuondoe wewe na mamako
 
Wamepigwa wafuasi wa Chadema pesa zao za tone tone!!! Wamekaaa kimyaaa
Umemsikiliza JJ Mnyika kuhusu fedha za Tone tone na makusanyo ya michango kwenye mikutano? Yeye mnyika ambaye ndiyo fedha anatia saini zitoke anasema hakuna fedha iliyopotea...Na kama kuna wizi upotevu tutakuja kuona kwenye ripoti ya CAG 2026/2027.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…