Chadema mnako elekea ni kuzuri

Chadema mnako elekea ni kuzuri

Sifa kubwa ya mfuasi wa CHADEMA ni;1. Kuvaa magwanda ya mgambo.2. Kukunja uso huku unapiga kelele "popoooooooz bawaaaaa", hakuna kulala mpaka kieleweke, tulianza na Mungu na tunamaliza na Mungu.
Na za mwana CCM hizi hapa....ajabu hakuna hata mwanchama mmoja anaye weza kuzitimiza!1.Binadamu wote ni Sawa2.Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake3.Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru
 
Back
Top Bottom