Nimesharekebisha mkuu bungeni.
Hawa CHADEMA ni watu wa ajabu sana, wanawakaririsha wafuasi wao maneno bila hata ya kuelewa maana yake. Sasa sijui huyo Mungu anayewatuma
wakafanye ugaidi, kuteka wananchi na kuwawekea watu sumu ni Mungu gani!
Mungu wao atakuwa ni wa kuchora chini.
Sumu anajuwa ubaya wa ccm? soma hapa chini.
wakafanye ugaidi, kuteka wananchi
1. Gaid namba moja ni Ramadhani Ighondu aliyemtesa ulimboka yupo pale magogo analelewa na Mtukufu Kikwete bosi wa ccm
2. Gaid wa pili ni Kamuhanda aliamteketeza Daud mwangosi kulee Nyororo Iringa, kwa amri yake mwangosi aliteketezwa
3. Gaid namba tatu na mpanga ugaid ni Mwigulu Nchemba - ccm, Igunga, Usa river nk
4. Gaid namba nne ni ni ni ni .......ccm kupnga na kutesa wapinzani wao
Wanaowekea sumu wenzao ni ccm
1. Horace kolimba alipata kichapo cha sumu dodoma na kuishia
2. Mwakyembe mpaka leo inajuwa kilichomtokea
3. Profesa mwandonsya kamtafute umuulize vipi afya yake kwanini mgogoro
4.
5.
Kama hamfahamu historia ya chama chenu cha ccm basi mkaage kimya maana katika kutoa kwenu kommenti mnasababisha tukiweke wazi katika ubaya na matendo yake.