Chadema mnako elekea ni kuzuri

Chadema mnako elekea ni kuzuri

Bungeni na sumu mtapiga kelele sanaa kakini chadema ni kipenzi cha wananchi...propaganda zenu zoote wananchi wamezipuuza....nyie pigieni ccm debe ila wananchi wamesema sasa baasi! Nawaonea huruma mnavyotumika kama condoms kwa malipo ya shs 7, 000 ambayo ukinunua mlo wa mchana hotelini inaisha mara moja.nyie ni wachumia tumbo mlioshindwa maisha.badala muungane na vijana wenzenu kupata viongozi makini ili kila Mwananchi anufaike na rasilimali tulizonazo nyie mnawa sapoti akina kinana wezi wa tembo na kikwete . Poleni sana maana mtakufa maskini huku akina kinana wakiwacheka.msitumike kama condoms.
 
wanaoshindana na cdm ni sawa na anaeshindana na ukuta mwisho wa ck anaumia mwenyewe
 
Kuna mtu alikuwa anajaza nyomi kwenye mikutano kama mrema? Kama lipumba? Acha kuota ww. Hakuna mtanzania mjinga wa kuunga mkono magaidi

Kwa taarifa yako ww ndo mjinga na ujue na sidhani kama ulikuwa unafuatilia siasa kipindi cha mrema na lipumba.....akuba mtu ameweka rekodi kubwa ya kujaza watu kama dr slaa kwenye mikutano nasema hivyo kwa sababu kipindi cha mrema watanzania walikuwa awajaamka kama sasa hivi alikuwa anapata watu wa kawaida usicheze na yuke mzee wa chadema....mpaka ccm kuweseka siyo mchezo
 
Kuna mtu alikuwa anajaza nyomi kwenye mikutano kama mrema? Kama lipumba? Acha kuota ww. Hakuna mtanzania mjinga wa kuunga mkono magaidi

Ya Mrema na Lipumba ni enzi ya anologia! Nakukumbusha tu kuwa sasa ni digital kupitia CDM.Ndo maana mukitengeneza vitu feki wataalamu wa digital wanawaumbua kweupeeeeee munabaki misharubu imewachachamaa tu
 
mkuu sumu, hebu rekebisha pale, ni popoooooozzzzz bawaaaaa sio pipoz powa... Halafu utaanzaje na mungu wakati unatembea na sumu mfukoni unataka kwenda kulisha watu? Huyo atakuwa mungu wa kuchora chini

Na vipi kuhusu tuhuma za ugaidinaona umezisahau,mkatengeneze filamu nyingine?povu litakutoka sana mwaka huu chadema ni kama kimbunga huwezi kukizuia na makuti utapelekwa tu hata kama hutakiVIVA CHADEMA GO GO GO GO GO GO pEOPLES POWERRRRRR!
 
Kuna mtu alikuwa anajaza nyomi kwenye mikutano kama mrema? Kama lipumba? Acha kuota ww. Hakuna mtanzania mjinga wa kuunga mkono magaidi
kuna mtu aliyekuwa mwizi wa kuku pale kijijini kwetu kama wewe?.Watu wengine walishindwa kabisa kukukama na kukupeleka polsi na ilionekana kuwa wewe ulikuwa umeshindikana lakini ulipoiba tu kuku wa mzee KAZILAHABI mara moja alikukamata na kukupeleka polisi.SASA MBONA MZEE KAZILAHABI ALIWEZA KUKUTOA WEWE PALE KIJIJINI? NA IWEJE CHADEMA KISIWEZE KUKITOA CCM chama cha wezi MADARAKANI?.
 
Nyie ndio mnaojiona wenye nchi,kisa boss wenu ana hati miliki ya nchi hii? kumbukeni na kuelewa mikataba mnayosign na wachina ya miaka 30 mpaka 50 nitofauti na ule tulio sign kwa mara ya kwanza mwaka 2005 kisha tukasign tena 2010 na sasa tunaenda sign tena mkataba wa miaka5 tu kuanzia 2015 mpaka 2020 and this time around hatuwapangishi nyie tena na kama tukishauriana vizuri na wananchi tunaweza tusiwape hata notes ya miezi 3,wapangaji gani nyie mnajeuri hivyo,hamjari watu,mnaanzisha fitna na kusingizia majirani? WE DONT WANT YOU ANYMORE,BETTER TUPANGISHE WATU WENGINE, japo mna hela zakushawishi mawakili na majaji ila tutapambana huko huko mahakamani kwani haki haiombwi bali......?
 
kwa sasa kweli mabadiliko yanakaribia tanzania kupitia kwa chadema,nimesema hayo baada ya kufanya simple analysis.kwa propaganda ambazo chadema wemetupiwa mwaka huu ni wazi kwamba ingekuwa enzi zile usingepata hata mtu mmoja kwenye mikutano ya chadema,lakini hali imekuwa ni tofauti pamoja na kuambiwa kwamba ni magaidi,wadini,wakabila na hata tbc kutorusha habari zao,lakini ukweli unabaki kuwa chadema wanapata sana sapoti kwa watanzania kuanzia watoto hadi wazee na watu wanajaa sana kwenye mikutano yao,ndo maana nikadiriki kusema kuwa chadema mnako elekea ni kuzuri
mawazo mazuri tupo pamoja kamanda chadema inonga mbele acha magamba yaweweseke.
 
Sifa kubwa ya mfuasi wa CHADEMA ni;

1. Kuvaa magwanda ya mgambo.

2. Kukunja uso huku unapiga kelele "popoooooooz bawaaaaa", hakuna kulala mpaka kieleweke, tulianza na Mungu na tunamaliza na Mungu.

Katika msafara wa mamba hata kenge hawakosekani. Vivyo hivyo katika magreat thinker, wavivu wa kufikiri kama wewe lazima mtajipenyeza tu eti kisa ujira.
 
Na kwa jinsi hawa vijana walivyofanywa misukule, siwezi kushangaa kama wataacha wosia wazikwe na magwanda yao.

Wewe mbana pua vp? Hebu imba wimbo wa iyena iyena magamba nambari.
 
Sifa kubwa ya mfuasi wa CHADEMA ni;

1. Kuvaa magwanda ya mgambo.

2. Kukunja uso huku unapiga kelele "popoooooooz bawaaaaa", hakuna kulala mpaka kieleweke, tulianza na Mungu na tunamaliza na Mungu.

Mbunge wenu juzi kasema muache kujubua ngozi(vua gamba + kujichubu) bali nendeni akawape mbegu wewe, nape nk.
 
Sifa kubwa ya mfuasi wa CHADEMA ni;

1. Kuvaa magwanda ya mgambo.

2. Kukunja uso huku unapiga kelele "popoooooooz bawaaaaa", hakuna kulala mpaka kieleweke, tulianza na Mungu na tunamaliza na Mungu.

Unasumbuliwa na kitu inaitwa AUTISM na kama hujui maana yake muombe Kiranga akusaidie kukuambia kutoka English kuja kiswahili.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kazi iendelee, hata wakikejeli kwa sababu ya vijisent walivyopewa na magamba, wananchi watazila hela na watatoa kura kwa wanaowajua wao.
 
Kuna mtu alikuwa anajaza nyomi kwenye mikutano kama mrema? Kama lipumba? Acha kuota ww. Hakuna mtanzania mjinga wa kuunga mkono magaidi

Huwez linganisha Mrema na Chadema.
Kipindi kile bado ccm walikuwa wamesimama na miguu miwili tena chini ya Uangalizi wa Mwalimu.
Sasa hvi chadema wamewakalia kooni ccm kwa kila hali.
 
Kuna mtu alikuwa anajaza nyomi kwenye mikutano kama mrema? Kama lipumba? Acha kuota ww. Hakuna mtanzania mjinga wa kuunga mkono magaidi

Mkuu majibu utayapata kuanzia chaguzi hizi ndogo, hapo ndo utajua moto wa sasa wa CHADEMA si wa kawaida na wala hauwezi kulinganishwa na wowote uliotangulia . Ujue enzi za mrema mbinu nyingi za wizi wa kura zilikuwa bado kujulikana , lakini sasa mhuuuuuuuuuu........... sijui. Ninachojua na ninachoamini ni kuwa huyu ndiye Rais wa mwisho CCM .BAADA YA HAPO HAKUNA CHAMA KITAKACHOTAWALA CHENYEWE
 
Back
Top Bottom