Jana walifafanuliwa hivyo hivyo ila kwa kutumia hisabati za asilimia ambazo kidogo ni more complicated kuzielewa kwa mtu aliyekimbia hisabati.Matokeo ya uchaguzi Mkuu 2010 yalikua ni haya Kwa kifupi ili twende sawa
CCM Kura5,276,827=61.7%
CHADEMA kura 2,271,941=26.34%
CUF kura 69,5667 =8.06%
UDP kura 13,176
NCCR kura 26,388=0.31%
Hapo nimeweka hivyo vyama vya upinzani vinne na matokeo yake Kwa sababu ndo vyama viliunda UKAWA na kusimamisha mgombea mmoja wa urais 2015 then tuone walipiga hatua kweli au walipotoshwa na wanazidi kupotoshwa twende sawa
Chukua kura za CCM 5,276,827 kisha toa kura za hvyo vyama vinne (CDM,CUF,NCCR,UDP) jumla ni kura 3,007,172 itakua HV
5,276,827-3,007,172=2,269,655 Kwa hyo hii ndo tofauti ya kura kati ya CCM na UKAWA Kwa upande wa uchaguzi Mkuu 2010
Mwaka 2015 Matokeo yakawa hivi
CCM kura 8,882,935
UKAWA kura 6,072,848
Ambapo ukitoa unapata tofauti ya kura
2,810,087 ambapo gap LA uwingi wa kura linaongezeka Kwa kura 540432 Kwa hyo UKAWA 2015 Walipoteza kura 540432 ambazo walizipata 2010 AF bado wanarubuniwa kwamba tulipiga Hatua
Chukua na hii Lowasa chini ya UKAWA 2015(CDM,CUF,NCCR,UDP) Alipata kura 6,072,848 dhidi ya kura 8,882,935 za Magufuli wa CCM tofauti ya kura 2,810,087 wakati Dr Slaa wa CDM pekee 2010 alipata kura 2,271,941 dhidi ya kikwete wa CCM kura 5,276,827 tofauti ya kura 3,005,186 ambapo ukichukua tofauti ya hizi kura kati ya Gap LA kura kati ya Slaa wa CDM pekee 2010 na Lowassa wa UKAWA 2015 unaelewa KBS kwamba huu mchezo Hauhitaji hasira
HUU NI UKWELI MCHUNGU ILA NDO HVYO NAMBA HAZIDANGANYI CDM MJIULIZE UPYA NI KWELI MLICHEZA GAME YA FAIDA AU MNADANGANYWAGA NA WACHACHE NDANI YA CHAMA CHENU
Dr akili umeeleweka mkuuJana walifafanuliwa hivyo hivyo ila kwa kutumia hisabati za asilimia ambazo kidogo ni more complicated kuzielewa kwa mtu aliyekimbia hisabati.
Ufafanuzi wako ni mzuri sana na rahisi sana kuelewa. Kama bado watakuwa hawajaelewa basi wakapime Zika. Shida wasomi wote walioko Ukawa ni wasomi wa sanaa tu, kule hakuna hata msomi mmoja wa sayansi na hisabati. Mashinji aliyesomea usingizi ndiye anayeonekana kasoma sayansi.
Wewe huna akili UDP tangia lini ilikuwa ukawa wewe no mnafiki na umekurupuka fanya utafiti mwingine utapewa cheo cha haraka harakaMatokeo ya uchaguzi Mkuu 2010 yalikua ni haya Kwa kifupi ili twende sawa
CCM Kura5,276,827=61.7%
CHADEMA kura 2,271,941=26.34%
CUF kura 69,5667 =8.06%
UDP kura 13,176
NCCR kura 26,388=0.31%
Hapo nimeweka hivyo vyama vya upinzani vinne na matokeo yake Kwa sababu ndo vyama viliunda UKAWA na kusimamisha mgombea mmoja wa urais 2015 then tuone walipiga hatua kweli au walipotoshwa na wanazidi kupotoshwa twende sawa
Chukua kura za CCM 5,276,827 kisha toa kura za hvyo vyama vinne (CDM,CUF,NCCR,UDP) jumla ni kura 3,007,172 itakua HV
5,276,827-3,007,172=2,269,655 Kwa hyo hii ndo tofauti ya kura kati ya CCM na UKAWA Kwa upande wa uchaguzi Mkuu 2010
Mwaka 2015 Matokeo yakawa hivi
CCM kura 8,882,935
UKAWA kura 6,072,848
Ambapo ukitoa unapata tofauti ya kura
2,810,087 ambapo gap LA uwingi wa kura linaongezeka Kwa kura 540432 Kwa hyo UKAWA 2015 Walipoteza kura 540432 ambazo walizipata 2010 AF bado wanarubuniwa kwamba tulipiga Hatua
Chukua na hii Lowasa chini ya UKAWA 2015(CDM,CUF,NCCR,UDP) Alipata kura 6,072,848 dhidi ya kura 8,882,935 za Magufuli wa CCM tofauti ya kura 2,810,087 wakati Dr Slaa wa CDM pekee 2010 alipata kura 2,271,941 dhidi ya kikwete wa CCM kura 5,276,827 tofauti ya kura 3,005,186 ambapo ukichukua tofauti ya hizi kura kati ya Gap LA kura kati ya Slaa wa CDM pekee 2010 na Lowassa wa UKAWA 2015 unaelewa KBS kwamba huu mchezo Hauhitaji hasira
HUU NI UKWELI MCHUNGU ILA NDO HVYO NAMBA HAZIDANGANYI CDM MJIULIZE UPYA NI KWELI MLICHEZA GAME YA FAIDA AU MNADANGANYWAGA NA WACHACHE NDANI YA CHAMA CHENU
Inakera sana mnafanyia kazi namba za Nec wakati mkijua wazi mlifanya uchakachuzi waziwazi ssa mnataka na sisi tubishane na nyie abt numbers ambazo kiukweli ni za kupikwa???Wameingia mitini, njooni mbishie hizi namba tuone
Na wewe akili 0 hapo kuna namba gani? Kama Ukawa ilikuwa na wabunge 70+ na sasa ina wabunge 150+ huoni hill ongzeko au mnatafuta uku wa Wilaya kwa nguvu kama polepoleWameingia mitini, njooni mbishie hizi namba tuone