Chadema mna document historia mnayopitià katikà utawala wa CCM

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,578
Reaction score
103,351
Tafiteni historian mzuri, actually awe historian wa chama. Aweke rekodi madhubuti ya madhura mnayopitia.
Kwa.mfsno, mna.list ya watu waliouawa na ccm / serikali wakipigania uhuru wa TANGANYIKA?
2. Matendo ya ukatili mliopitia
3. Historia ya chaguzi mlizopitia
4. Kufungwa jela mlikopitia
5. Etc etc etc
 
 
Mimi wangenifanya mwanahistoria wao basi uadi 2030 ningepambana tupate movie moja kali sana ya kimataifa yenye hadhi ya Netflix ningeeleza kila kitu humo kwa mtindo wa movie na ningehakikisha wanakuwa na documentary moja ya hadhi ya bbc toka mwanzo wa chama hadi sasa kwa kuhoji watu mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…