Wana jamvi, naomba mnisaidie tofauti ya CCM na makaburu walau kwa mambo yafuatayo;
1. Ni jambo gani baya sana mkoloni mweupe alitufanyia watanganyika ambalo CCM hajatufanyia?
2. Ni mambo gani mazuri CCM inafanya ambayo mkoloni alishindwa kutufanyia mpaka ikatubidi kumfukuza?
Binafsi maswali haya...
Leo Bungeni ni Mkwilima wake ndio ameutangazia umma kuwa Watanzania hasa Watanganyika kuwa wana stress na msongo wa mawazo.
Kwamba wameshadata.
Utaaje kudata kudata wakati wewe huwezi kupata milo hata miwili?
Rais na familia yake na hata wakwe zake wanafaidi keki ya taifa? Hii nchi ni mali ya...
Tafiteni historian mzuri, actually awe historian wa chama. Aweke rekodi madhubuti ya madhura mnayopitia.
Kwa.mfsno, mna.list ya watu waliouawa na ccm / serikali wakipigania uhuru wa TANGANYIKA?
2. Matendo ya ukatili mliopitia
3. Historia ya chaguzi mlizopitia
4. Kufungwa jela mlikopitia
5. Etc...
Ni kujitoa ufahamu na kukosa akili viongozi wa CCM, watawala, BAKWATA na machawa wao wengine wengi kupayukapayuka kwamba vijana wanaharibu wanaharibu nchi na kufuata mkumbo tu kwa kurubuniwa katika harakati zao za kudai haki, kupinga dhuluma na kutaka uwajibikaji.
Wanaoharibu nchi hii ni CCM na...
Na hiyo ikimaanisha kwamba, ni wazi CCM ndio chama cha siasa cha mwanzo na mwisho kuitawala Tanzania. Hakuna uwezekano, wala hakuna dalili za kuwepo kwa chama kingine cha siasa cha kuitawala Tanzania au kuongoza serikali ya wananchi wa Tanzania badala ya CCM. Ama kwa hakika CCM ni mpango wa...
Kama ndio tumefikia hapa naanza kuelewa kwa nini wameamua kumkomesha gwajima kwa waumini wake.
Sasa tunaona kwa polepole kuanza kuteswa ambao hata sio wahusika.
Ili taifa linapita wakati mgumu.
Kuna jambo mmoja watu wengi hawajamuelewa Rais wetu au mfumo mzima wa CCM. Hawataki kuonekana kuwa wafanyalo linatokana na Wazo la wapinzani hata kama wazo hilo lina manufaa kwa taifa 💯 %.
Hivyo pamoja na Nape kufanya kosa hili kubwa sana la kimaadili ya uongozi maana kauli yake sio kwamba tuu...
Siyo kwamba Wakenya ni tofauti Sana na wananchi wa nchi nyingine Afrika bali angalau wao Kila wakati wanaweka rekodi kuelekea jamii huru na yenye watu wenye utimamu wa akili.
Hebu jiulize:
Vyuo Vikuu vya Kenya vimezalisha kizazi cha Gen Z kilicho makini na chenye kupigania usawa kwenye nchi...
Hawa watakuwa moto wa kuotea mbali, sababu wahafidhina na walafi wa resources watakuwa wamehodhi kila njia ya utajiri na mafanikio kwa kurithisha vizazi vyao!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.