Matako wew andika wa kwakoUmeandika. upuuzi ...halo ushapewa buku 7 hata ujui unaandika nini ? u
Mkuu Pascal, kama nilivyosema option ya 3 ni nzuri ila ni risk sana, nakubaliana na wewe kuwa kama Chadema wata opt hii option Mbowe hafai kuongoza sio kwamba asiwe mkiti bali asiongoze opération, mtu sahihi wa opération hii ni Heché akisaidiwa na Lema ni wazuri kwa mobilazation, siasa za Mbowe ni za kistaarabu sana ingawa Magufuli anamtreat siyo.Mkuu Quinine, kwanza naiunga mkono hoja hii, this is the best option, kwa sababu siku zote, haki haombwi, wala hailetwi kwenye kisahani cha chai, haki inadaiwa!, Chadema watangaze maandamano ya kifo, wamthibitishie rais Magufuli na polisi wake wote na jeshi lake lote kuwa siku hiyo, wataingia mitaani kuandamani na wote wako tayari kufa, ni heri kufa ukipigania haki, kuliko mtumwa anayelishwa makombo. Kama ni kweli polisi wetu na jeshi letu limegeuka gestapo na kutumia risasi za moto kama Soweto ile tarehe 16/6/1976, au Tiananmen Squire kule Uchina, then damu hiyo ndio itapanda mbegu ya ukombozi na amini usiamini, Karma itawashughulikia wauaji hao mmoja mmoja na hakuna hata mmoja wao ataondoka kwa amani, Malipo ni hapa hapa duniani.
Tatizo la uamuzi huu, hauwezi kufanyika Chini ya Kamanda MBOWE, ili hili lifanyike, MBOWE akubali tuu kupisha, akabidhi chama kwa vichaa kama Lissu na Lema kwa lengo tuu la kusimamia Mapambano.
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Utabiri wa TB Joshua unasemaje sijawah kusikia.CCM kubaki itabaki, hata ndoto ya Lema itatimia, kwa sababu pia iliwahi kutajwa na TB Joshua, ila walioambiwa walionywa wasiseme!. CCM itabaki kwasababu Tanzania, bado hatuna chama kingine chochote credible cha kukikabidhi Ikulu yetu!.
Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?!
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.
In 2015 Election, Tanzania had A Choice To Choose From. Jee Kwa 2020, Do We Still Have A Choice?.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Na ndoto ya Lema isipotimia, Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
P.
Nadhani option ya nne ndio nzuri zaidiNitaenda moja kwa moja kwenye msingi wa hoja yangu.
Option ya kwanza: Chadema ya leo inahitaji viongozi watakaokirudisha chama kwenye misingi yake ya zamani, misingi ya ujasiri, misingi ya hoja, misingi ya uanaharakati. Kuirudisha Chadema ya kina Slaa, Chadema ya kina Heche wakisema tukawatoe viongozi mahabusu vijana wanakwenda. Leo viongozi na wanachama wanauawa, wanatekwa, wanapotezwa, sijasikia tamko lolote la nguvu la chama zaidi ya press conference. Utawala huu sio wa press conférence, ni utawala wa kutunishiana misuli ni utawala wa Ukuta.
Option ya pili: Ili kukirudisha chama kwenye mstari, tangazeni maandamano ya amani kama yale ya Ukuta kushinikiza katiba mpya ninaimani taasisi mbalimbali na watanzania wengi watawaunga mkono na chama kitarudi kwenye hadhi yake.
Option ya tatu: Kupitia kamati kuu, chama kiamue kuunga mkono maandamano ya trh 26/4 yaliyoandaliwa na wananchi, kitendo hiki kitakaishitua serikali na kuilazimisha kuwaita kwa lengo la kukaa pamoja ili kuzungumza na kumaliza tofauti zilizopo. Hii option ina risk kubwa lakini ina faida nyingi na za haraka, the more the risk the more the profit.
Option ya Nne: Najua hii itaonekana kuwa ngumu kidogo lakini nyepesi. Hakika uchaguzi ujao utakuwa ngumu kwa Chadema, chama kisipobadili mbinu za ushindi karibu wabunge wote wa Chadema hawatarudi bungeni (fact). Bunge halitakuwa na Msigwa wala Lema wala Mdee wala Mnyika, wala Bulaya. Ili kujiweka salama aidha Chama au wabunge wote waamue kumuunga mkono Magufuli kama wenzenu wanavyofanya au wabunge wakae kimya kusubiri mafao yao yawasaidie kuanza maisha mpya ya uraiani baada ya uchaguzi wa 2020.
Ili kubaki salama lazima chama kiamue kuchagua option mojawapo vinginevyo kitaendelea kupukutika na pengine kubaki jina kama vyama vingine.
Ndoto ya Lema ni story za alinacha.CCM kubaki itabaki, hata ndoto ya Lema itatimia, kwa sababu pia iliwahi kutajwa na TB Joshua, ila walioambiwa walionywa wasiseme!. CCM itabaki kwasababu Tanzania, bado hatuna chama kingine chochote credible cha kukikabidhi Ikulu yetu!.
Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?!
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.
In 2015 Election, Tanzania had A Choice To Choose From. Jee Kwa 2020, Do We Still Have A Choice?.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Na ndoto ya Lema isipotimia, Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
P.
Chama kuwa nje ya mstari sio kwamba hakipo kwa maslahi ya wananchi unaweza kuwa nje ya mstari lkn bado unakimbia uelekeo ule ule, ndiyo Chadema iko nje ya mstari pengine kwa kusukumwa lkn bado iko focused ni jukumu la wanachama wenyewe kukirudisha kwenye mstari.Bandiko linaonesha unaamini chama chako kipo nje ya msitari kimekosa mvuto
Tukiwaambia chadema hawapo kwa maslahi ya wananchi unatokwa povu
Mkuu Heche na Lema hawana ushawishi. Ingekuwa Lissu au Mnyika ingeleta mwamko mpya. Ushawishi upo kwenye hoja, mantiki, na jinsi jamii inavyokuheshimu na kukuamini. Lissu na Mnyika ndio hazina pekee iliyosalia. Akina Nyerere walifanikiwa kupitia hoja na ushawishi. Kuweza kumobilize watu ni karama.Mkuu Pascal, kama nilivyosema option ya 3 ni nzuri ila ni risk sana, nakubaliana na wewe kuwa kama Chadema wata opt hii option Mbowe hafai kuongoza sio kwamba asiwe mkiti bali asiongoze opération, mtu sahihi wa opération hii ni Heché akisaidiwa na Lema ni wazuri kwa mobilazation, siasa za Mbowe ni za kistaarabu sana ingawa Magufuli anamtreat siyo.
Nikimuangalia JJ kwenye politics, huyu ni mjamaa halisi wa Nyerere type, politics ndio full job yake kama Dr. Slaa, hii survive na heathy ya Chadema inayoonekana sasa, inatokana na ruzuku, Chadema bila wabunge, hakuna kitu, sasa kwa watu wanaotegemea politics as full time job, have no choice but to cross, hata Lema Arusha atapoteza, lakini kwa Lema, kuliko ku cross, ataamua bora afe kizungu na tai shingoni, ila he will be he has made enough kufanya biashara, vinginevyo atarudia kazi yake ile, ila this time kwa kuwatuma vijana!. JJ is too young to sink with Chadema na hayuko peke yake.Mkuu Heche na Lema hawana ushawishi. Ingekuwa Lissu au Mnyika ingeleta mwamko mpya. Ushawishi upo kwenye hoja, mantiki, na jinsi jamii inavyokuheshimu na kukuamini. Lissu na Mnyika ndio hazina pekee iliyosalia. Akina Nyerere walifanikiwa kupitia hoja na ushawishi. Kuweza kumobilize watu ni karama.
Tema mate chini...kwa sababu hakuna binadamu yoyote mwenye gurantee!, kwa maana hamjui siku wala saa!, Lema sio Mungu na wewe sio Mungu kumpangia Mungu, mambo ya Mungu, mwachie Mungu, unachoweza kufanya ni kumuombea tuu, lakini huwezi kuzuia lolote kama limepangwa!. Mungu huongea na binadamu kupitia ndoto, nyingine za kweli, nyingine za uongo.Ndoto ya Lema ni story za alinacha.
Yule nabii ni nabii wa Uongo.
Umetaja kitu realistic and wishfullthinking. Ndoto ya Lema inaangukia kwenye wishfull thinking.
Na Reality ni kua RAISI ANA VIPINDI VIWILI MFUKONI NA AKITAKA KUONGEZA MUDA KAMA CHINA, NAIONA NDOTO YAKE IKITIMIA KAMA XI JIMPING.
CCM ndiyo wapo kwenye maslahi ya wananchi? Nchi hii si ingekuwa sawa na South Korea, Uchina, Taiwan ama Singapore ambazo zilikuwa maskini sawa na Tanzania miaka ya 1960 hadi 1970??Tukiwaambia chadema hawapo kwa maslahi ya wananchi unatokwa povu
Nitaenda moja kwa moja kwenye msingi wa hoja yangu.
Option ya kwanza: Chadema ya leo inahitaji viongozi watakaokirudisha chama kwenye misingi yake ya zamani, misingi ya ujasiri, misingi ya hoja, misingi ya uanaharakati. Kuirudisha Chadema ya kina Slaa, Chadema ya kina Heche wakisema tukawatoe viongozi mahabusu vijana wanakwenda. Leo viongozi na wanachama wanauawa, wanatekwa, wanapotezwa, sijasikia tamko lolote la nguvu la chama zaidi ya press conference. Utawala huu sio wa press conférence, ni utawala wa kutunishiana misuli ni utawala wa Ukuta.
Option ya pili: Ili kukirudisha chama kwenye mstari, tangazeni maandamano ya amani kama yale ya Ukuta kushinikiza katiba mpya ninaimani taasisi mbalimbali na watanzania wengi watawaunga mkono na chama kitarudi kwenye hadhi yake.
Option ya tatu: Kupitia kamati kuu, chama kiamue kuunga mkono maandamano ya trh 26/4 yaliyoandaliwa na wananchi, kitendo hiki kitakaishitua serikali na kuilazimisha kuwaita kwa lengo la kukaa pamoja ili kuzungumza na kumaliza tofauti zilizopo. Hii option ina risk kubwa lakini ina faida nyingi na za haraka, the more the risk the more the profit.
Option ya Nne: Najua hii itaonekana kuwa ngumu kidogo lakini nyepesi. Hakika uchaguzi ujao utakuwa ngumu kwa Chadema, chama kisipobadili mbinu za ushindi karibu wabunge wote wa Chadema hawatarudi bungeni (fact). Bunge halitakuwa na Msigwa wala Lema wala Mdee wala Mnyika, wala Bulaya. Ili kujiweka salama aidha Chama au wabunge wote waamue kumuunga mkono Magufuli kama wenzenu wanavyofanya au wabunge wakae kimya kusubiri mafao yao yawasaidie kuanza maisha mpya ya uraiani baada ya uchaguzi wa 2020.
Ili kubaki salama lazima chama kiamue kuchagua option mojawapo vinginevyo kitaendelea kupukutika na pengine kubaki jina kama vyama vingine.
Mtazamo wangu kama chadema walikua na nia ya kuwasaidia wa tanzania hawana hasara, waiache tu ccm miananchi yenyewe itakapo wafika shingoni itaingia barabarani! Hamna namna!!!Nitaenda moja kwa moja kwenye msingi wa hoja yangu.
Option ya kwanza: Chadema ya leo inahitaji viongozi watakaokirudisha chama kwenye misingi yake ya zamani, misingi ya ujasiri, misingi ya hoja, misingi ya uanaharakati. Kuirudisha Chadema ya kina Slaa, Chadema ya kina Heche wakisema tukawatoe viongozi mahabusu vijana wanakwenda. Leo viongozi na wanachama wanauawa, wanatekwa, wanapotezwa, sijasikia tamko lolote la nguvu la chama zaidi ya press conference. Utawala huu sio wa press conférence, ni utawala wa kutunishiana misuli ni utawala wa Ukuta.
Option ya pili: Ili kukirudisha chama kwenye mstari, tangazeni maandamano ya amani kama yale ya Ukuta kushinikiza katiba mpya ninaimani taasisi mbalimbali na watanzania wengi watawaunga mkono na chama kitarudi kwenye hadhi yake.
Option ya tatu: Kupitia kamati kuu, chama kiamue kuunga mkono maandamano ya trh 26/4 yaliyoandaliwa na wananchi, kitendo hiki kitakaishitua serikali na kuilazimisha kuwaita kwa lengo la kukaa pamoja ili kuzungumza na kumaliza tofauti zilizopo. Hii option ina risk kubwa lakini ina faida nyingi na za haraka, the more the risk the more the profit.
Option ya Nne: Najua hii itaonekana kuwa ngumu kidogo lakini nyepesi. Hakika uchaguzi ujao utakuwa ngumu kwa Chadema, chama kisipobadili mbinu za ushindi karibu wabunge wote wa Chadema hawatarudi bungeni (fact). Bunge halitakuwa na Msigwa wala Lema wala Mdee wala Mnyika, wala Bulaya. Ili kujiweka salama aidha Chama au wabunge wote waamue kumuunga mkono Magufuli kama wenzenu wanavyofanya au wabunge wakae kimya kusubiri mafao yao yawasaidie kuanza maisha mpya ya uraiani baada ya uchaguzi wa 2020.
Ili kubaki salama lazima chama kiamue kuchagua option mojawapo vinginevyo kitaendelea kupukutika na pengine kubaki jina kama vyama vingine.
Wasirudi tu wapoteze majimbo yote bunge zima liwe ccm liwe ni ndiooooooooooooooo mwanzo mwisho kwani hasara ya nani bwana!Mkuu Quinine, kwanza naiunga mkono hoja hii, this is the best option, kwa sababu siku zote, haki haombwi, wala hailetwi kwenye kisahani cha chai, haki inadaiwa!, Chadema watangaze maandamano ya kifo, wamthibitishie rais Magufuli na polisi wake wote na jeshi lake lote kuwa siku hiyo, wataingia mitaani kuandamani na wote wako tayari kufa, ni heri kufa ukipigania haki, kuliko mtumwa anayelishwa makombo. Kama ni kweli polisi wetu na jeshi letu limegeuka gestapo na kutumia risasi za moto kama Soweto ile tarehe 16/6/1976, au Tiananmen Squire kule Uchina, then damu hiyo ndio itapanda mbegu ya ukombozi na amini usiamini, Karma itawashughulikia wauaji hao mmoja mmoja na hakuna hata mmoja wao ataondoka kwa amani, Malipo ni hapa hapa duniani.
Tatizo la uamuzi huu, hauwezi kufanyika Chini ya Kamanda MBOWE, ili hili lifanyike, MBOWE akubali tuu kupisha, akabidhi chama kwa vichaa kama Lissu na Lema kwa lengo tuu la kusimamia Mapambano.
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Hiki ndicho kitu kinachokwenda kutokea 2020, Chadema inakwenda kupoteza majimbo yote hadi MBOWE mwenyewe hatorudi, hivyo mbunge au diwani yoyote wa Chadema, anayetaka kurudi Bungeni au kitini, ni ama aamue kupumzika siasa, ama ajiunge CCM!.
Hili nimelisema vizuri hapa.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
P.