Truths
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,494
- 1,505
Wale wote ambao ni Maadui za Bwana Mkubwa lazima awafyeke.Nikweli 2020 wabunge wengi wa Chadema wanaweza wasirudi kama hali itaendelea kuwa hivi,pia nina wasiwasi na voters turn out itakuwa ndogo sana cos waTZ wengi wamekata tamaa,wamechoka,hawajui kesho yao,ajira hakuna,biashara ngumu.So upinzani lazima watafute mbinu mbadala ya kubaki salama.Wakitegemea hizi siasa za kiharakati kama alizowakataza mzee Lowassa watapotea zaid
Ila wale walamba kiatu. Watarudi for the sake of democracy blanket.
Kuhusu iDadi ya Voterz, Usitegemee idadi kamili na halisi ya voters iwekwe kwenye karatasi. Tume wataweka watu milioni 35 wamepiga kura. Hata kama idadi ni laki moja. TVs lazima zitangaze idadi hiyo ambayo dola imeagiza.