Frelimo na Kanu ziko wapi? Tafakari
Hatakama unoauhakika wa CCM kushinda, mbona hutoi hizo sababu za msingi zilizowazi za kusapoti huo utabiri wako? vinginevyo itakuwa ni hisia zako na maono yako tuu!
Jiepushe na visasi kaka tatizo la Tanzania ni zaidi ya wizi wa mali za umma!! Lazima kuwa na checks and balances ambazo chanzo chake ni Katiba, nadhani umeona Kenya kwenye ruling ya rufaa ya RO/CORD the supreme court iliamua mchakato wa ununuzi wa vifaa vyote vya kupigia kura zile mashine za kisasa zote nk uchunguzwe, kama uesikia DPP kamwagiza Mwenyekiti wa Ethical and Anti corruption commission afanye uchunguzi, kuona kama kulikuwa na rushwa maana hakukuwa na transparency na kuna Mama mmoja Alisha jiuzuru kwa ajili ya interference toka kwenye Executive kwenye mchakato mzima wa manunuzi! Bila hayo kwa Katiba tarajiwa ambayo tayari ninaiangalia kwa "MIWANI YANGU YA MBAO" tayari CHAMA DOLA wamesha influence destiny ya Katiba hiyo sioni jinsi gani tutaweza kwenda mbele!!Mleta mada ni gamba na mnachojidanganya hatuwezi kuwazuia ila hamtaamini 2015 tutakapokuwa maggoni na wezi wa mali za umma watakapokuwa wananyea ndoo!
Ingawa ni ukweli ulio wazi kwamba Chama cha CHADEMA hakiwezi kushinda Uchaguzi wa Uraisi na Ubunge 2015, lakini ni jambo lililo wazi pia CHADEMA wamefungua njia ya mabadilko nchini mwetu!
Serikali ijayo ya CCM, haiwezi kuwa ya kisanii ukiilinganisha na ya sasa hivi, na nathubutu kusema pia Serikali zilizopita, na sio kwa sababu haiwezekani, bali ni kwa sababu CCM hawana jinsi bali kubadilika kwani kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo watu wanvyozidi kuhoji Uhalali wao wa kuongoza, hivyo basi naweza kusema 2015 ndiyo karata ya mwisho kwa CCM, na kama wasipobadilika basi 2020 au 2025 CHADEMA kama wataendelea na kasi hii hii walionayo sasa hivi ni lazima watashinda Uchaguzi wa Uraisi na Ubunge!
Jiepushe na visasi kaka tatizo la Tanzania ni zaidi ya wizi wa mali za umma!! Lazima kuwa na checks and balances ambazo chanzo chake ni Katiba, nadhani umeona Kenya kwenye ruling ya rufaa ya RO/CORD the supreme court iliamua mchakato wa ununuzi wa vifaa vyote vya kupigia kura zile mashine za kisasa zote nk uchunguzwe, kama uesikia DPP kamwagiza Mwenyekiti wa Ethical and Anti corruption commission afanye uchunguzi, kuona kama kulikuwa na rushwa maana hakukuwa na transparency na kuna Mama mmoja Alisha jiuzuru kwa ajili ya interference toka kwenye Executive kwenye mchakato mzima wa manunuzi! Bila hayo kwa Katiba tarajiwa ambayo tayari ninaiangalia kwa "MIWANI YANGU YA MBAO" tayari CHAMA DOLA wamesha influence destiny ya Katiba hiyo sioni jinsi gani tutaweza kwenda mbele!!
JF Senior Expert Member
Array![]()
Join Date : 11th December 2010
Location : Lushoto - Kwemakame.
Posts : 1,900
Rep Power : 24446
Likes Received2768
Likes Given330
Live Updates: Mkutano wa CHADEMA uwanja wa ujenzi- Dodoma![]()
Mkutano wa hadhara wa Chadema upo uwanja wa wajenzi karibu na sheli (Kituo cha Mafuta) mita chache karibu na kituo cha mabasi.
Kama kawaida, nyomi ipo ya kutosha.
• Maandamano makubwa sana ya magari yametusua katikati ya mji wa Dodoma, maeneo ya bunge, Makao Makuu ya CCM kueleke uwanjani. Hamasa ni kubwa sana!Last edited by Mohamedi Mtoi; Today at 16:19.
Unajua watu wengi wanasukumwa na ushabiki na Jazba na wanasahau hali halisi ya mambo, ukweli ni kwamba kuingia kwenye Uchaguzi na kuishinda CCM kwa mfumo huu jinsi ulivyo ni ndoto, anayepuuzia nguvu ambazo Raisi wa TZ anazo ktk kila nyanja anajidanganya, hata hiyo Katiba mpya pia tunategemea huruma yake, yeye ndio akubali akikataa hakuna cha Katiba wala nini!
Ingawa ni ukweli ulio wazi kwamba Chama cha CHADEMA hakiwezi kushinda Uchaguzi wa Uraisi na Ubunge 2015, lakini ni jambo lililo wazi pia CHADEMA wamefungua njia ya mabadilko nchini mwetu!
Serikali ijayo ya CCM, haiwezi kuwa ya kisanii ukiilinganisha na ya sasa hivi, na nathubutu kusema pia Serikali zilizopita, na sio kwa sababu haiwezekani, bali ni kwa sababu CCM hawana jinsi bali kubadilika kwani kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo watu wanvyozidi kuhoji Uhalali wao wa kuongoza, hivyo basi naweza kusema 2015 ndiyo karata ya mwisho kwa CCM, na kama wasipobadilika basi 2020 au 2025 CHADEMA kama wataendelea na kasi hii hii walionayo sasa hivi ni lazima watashinda Uchaguzi wa Uraisi na Ubunge!
nchi gani?.labda ya kilimanjaro
Sio kweli, ungesema kwamba wananchi wanaanza kuchoka ningekubaliana na wewe, na ndio maana ni lazima CCM wabadilike, lkn kusema kwamba wameshaichoka ni kujidanganya, tunaona chaguzi nyingi ndogo zinafanyika kila siku,
kama unavyosema ni kweli basi tungeona huko kuchokwa kwa CCM kwenye hizi CHAGUZI.
Kwangu mimi maadamu CCM bado inashinda hizi Chaguzi ndogo tena wakati mwingine kwa kura nyingi tu hakuna ushahidi zaidi ya huo, kwamba CCM bado ina wapenzi tena wengi tu, lkn wanakwenda wakipungua, na 2015 ni karibu mno kwa Upinzani kuweza kuziba hilo pengo, na ndio maana nasema kama wakiendelea na kasi hii basi kuanzia 2020 au 2025 ndio wanaweza kushinda!
Kwani wapi niliposema kwamba hizi ni hisia au maono ya mtu mwingine?
Nimeandika kulingana na jinsi nionavyo na jinsi ninavyouelewa mfumo wetu wa Uongozi, ambao Raisi wetu ana nguvu za kupitiliza, anaweza kufanya chochote kile na muda wowote ule bila kuulizwa, anateua kila mtu hapa Tanzania, anauwezo kumfukuza Kiongozi yoyote yule nchini, hata hiyo KATIBA mpya anaweza akaikataa na hakuna kitu tunachoweza kufanya, sasa kuingia kwenye ushindani (uchaguzi) na mfumo kama huo kushinda inahitaji miujiza!
Uko sawa kabisa, na ndio maana nasema 2015 ni mapema mno kufanya yote hayo kama mpaka sasa hivi hatujaanza bado, ila hayo yote yanaweza kufanyika kujiandaa kwa 2020 au 2025
Tutakaa na kuzogoa hapa mpaka giza linaingia. Kama wote tunataka kuona kweli tunaikomboa Tanzania mwaka 2015 basi ningetaka kuona tunakaa na kuungana vyama vyote vinavyoitwa vya upizani na kuhakisha kuwa iwavyo na iwe lengo litimie la kuing'oa chama tawala madarakani. ubinafsi na uroho wa kuingia ikulu utatufanya ndoto tunayoota isitimie ya kuiona Tanzania huru na yenye haki.
Bila kuungana hata2030 bado ni ndoto ya kufikirika.
mawazo mgando, hakuna anayeitaka CCM now...tutaizika 2015 na hakuna wa kutukatisha tamaa.
Hamchoki na hizi keywords zenu: Kilimanjaro, wachaga, magaidi, wakristo, kaskazini, bangi, wahuni...etc
hata yesu pamoja na kuwa ni mwana wa mungu lakini alikufa ili aukomboe ulimwengu. hadi kufikia oct 2015 watakaokuwa hawana meno kwa sababu ya kupigania haki ni zaidi ya 1 million