Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,236
- 14,872
- Thread starter
- #21
Mkuu kwa taarifa yako watanzania hawako tayari tena kuongozwa na hilo likitu linaloitwa ccm! At any cost 2015 ccm must go! Tunachohitaji na viongozi waliojitoa mhanga kama akina Lissu watuongoze kwenye haya mapambano!
Sio kweli, ungesema kwamba wananchi wanaanza kuchoka ningekubaliana na wewe, na ndio maana ni lazima CCM wabadilike, lkn kusema kwamba wameshaichoka ni kujidanganya, tunaona chaguzi nyingi ndogo zinafanyika kila siku,
kama unavyosema ni kweli basi tungeona huko kuchokwa kwa CCM kwenye hizi CHAGUZI.
Kwangu mimi maadamu CCM bado inashinda hizi Chaguzi ndogo tena wakati mwingine kwa kura nyingi tu hakuna ushahidi zaidi ya huo, kwamba CCM bado ina wapenzi tena wengi tu, lkn wanakwenda wakipungua, na 2015 ni karibu mno kwa Upinzani kuweza kuziba hilo pengo, na ndio maana nasema kama wakiendelea na kasi hii basi kuanzia 2020 au 2025 ndio wanaweza kushinda!