Wakat wa kampen ya uchaguz, si chadema wala ccm, wote walitumia kila njia kuonyesha mabavu, walitumia helikopta kuomba kura, na iman sio lazima mpaka chadema iwe madarakan ndo ichukue hatua, if they real care(chadema) they should show us right now kabla tujawapa utawala by 2015, and if they can do nothing, then hatutawaelewa na wote wataingia ktk kund moja la kutafuta utawala bila kujal maslah ya wananch wao..AM DONE.
Mbona kwenye janga la umeme wakiitisha maandamano hamtaki? Sasa hapa mnawahitaji wa nini? Swala la Janga linashughulikiwa na serikali na wala sio chama chochote kile. Uliona nchi gani chama cha upinzani kinashughulikia majanga?
Itatuchukua miaka mingine 50 kuleta mapadiliko Tanzania kama huo ndo mtazamo wako.

Umesahau Ndesamburo alipotaka kuweka lami Moshi aliambiwa ni kazi ya serikali! shida ipo kwa Gamba's wanaogopa CDM kitajipatia umaarufu kupitia matatizo ya wananchi wanayoweza kuyatatua, ila mkono wa heri huo lazima upo..Wakat wa kampen ya uchaguz, si chadema wala ccm, wote walitumia kila njia kuonyesha mabavu, walitumia helikopta kuomba kura, na iman sio lazima mpaka chadema iwe madarakan ndo ichukue hatua, if they real care(chadema) they should show us right now kabla tujawapa utawala by 2015, and if they can do nothing, then hatutawaelewa na wote wataingia ktk kund moja la kutafuta utawala bila kujal maslah ya wananch wao..AM DONE.
Bado wafanye jambo lakuonyesha msaada wao kwetu..siwaoni kimyaaa kabisaa.