Akihama sawa,lakini kwa vyovyote vile ataacha cdm imeeleweka znz na hivyo atatuacha na wanachama wa kutosha.mi sioni huyu jamaa kama anafaa sana kwa cdm because huyu jamaa ana uchu sana wa madaraka so asipochaguliwa atahama sio mtu mzuri kwa msimamo wa chama
Na wewe mkuu!!!!Hamtaki na nani mkuu? Mbona unatumia wingi?
Bahati mbaya Hamad RASHID HATAKIWI TENA ZANZIBAR ,ukitaka kujua kama kweli Hamad Rashid alijisahau katika uwongozi wake ndani ya maika 15 ya ubunge wa jimbo lae,nenda Wawi Pemba ukajionee mwenyewe.Wakati umefika wa CDM kutafuta namna ya kujiimarisha kule Zanzibar,kwangu mimi Hamad Rashid atakuwa ni kete nzuri sana kwa cdm katika kukijenga chama kule Zanzibar, hivyo nashauri cdm tumchukue huyu jamaa,maana sijaona dhambi kubwa aliyofanya.Critical /Great thinkers watatoa maoni ya kujenga na si matusi.
Wana jf mnasemaje?
Hatumtaki arudi kwao Pemba akacheze Msewe.
sikubaliani na wale wanaosema kuwa chadema haihitaji watu kutoka vyama vingine. nauliza;
i- muasisi wa chdm mzee mtei hakutokea ccm?
ii- dk slaa alikua mbunge wa ccm kwa muda mrefu. alipotemwa kura za maoni akakimbilia chadema.
iii- mbowe alikua ccm kabla ya kujiunga chdm.
akina zitto, mnyika..... ndiyo damu changa ambazo zimeanzia chadema.
cHAMA CHENYE MAFANIKIO HASI!!!Chadema ni failure Hamad haezi kwenda ht kwa dawa anarudi ccm chama chny mafanikio
Hatutaki mtu asiyekubalika nyumbani.Kumbuka tunajenga chama,hivyo labda akijiunga tu kwa hiari yake lakini si kuombwa kujiunga.Sijafika znz na hivyo siwezi kuzungumzia mvuto wa hamad huko,ninachoelewa ni kuwa ni kati ya wabunge wenye ushawishi na ni miongoni mwa walioshinda kwa ushindi mnono.Lakini pia ukimlinganisha na waznz wengi anaoneka kuwa walau ana hoja.
kwa kipindi hiko kulikua na mfumo wa chama kimoja huwezi laumu lakini sasa tuna vijana wengi ambao hatujui chama kimoja tumekua na mfumo wa vyama vingi kwa uhai huu wa miaka 20 wa vyama vingi huwezi sasa kutumia watu wale wale waliokaaa ccm baada ya kupigwa chini ndo wanakumbukua chadema.hapana
inaelekea hujanielewa. Slaa alipigwa chini ccm ndiyo akakimbilia chadema. Kama wewe siyo mtafiti wa mambo ya kisiasa, nyamaza. Slaa aliangushwa kwenye kura ya maoni ccm ndiyo akakimbilia chadema.