CHADEMA kinajengwa kwa kujenga sera zake,kuelimisha watz na kuwafanya watz kuona chama ni mali yao.Chadema hakihitaji watu wanaotoka ktk vyama vyao kwa vurugu ili kujijenga.Chadema ni zaidi ya viongozi,wao wanapewa jukumu kla kuongoza wala si kwamba chama ni mali yao.Hamad Rashid hatumuhitaji ili kujijenga Zanzibar,kwa chadema ni busara kuwaacha wazanzibar kuwapa fursa ya kuelewa sera za chama na itikadi za chadema na wao kuchagua kujiunga kwa ridhaa yao na si kwa kulazimishwa na Mtu,maana akiondoka ataondoka nao.Wakati umefika wa CDM kutafuta namna ya kujiimarisha kule Zanzibar,kwangu mimi Hamad Rashid atakuwa ni kete nzuri sana kwa cdm katika kukijenga chama kule Zanzibar, hivyo nashauri cdm tumchukue huyu jamaa,maana sijaona dhambi kubwa aliyofanya.Critical /Great thinkers watatoa maoni ya kujenga na si matusi.
Wana jf mnasemaje?
Ungetudokezea walau kidogo,ya kwamba kwanini haaminiki.huyo jamaa haaminiki.. fuatilia historia yake kwa makini....
Hatutaki wabunge wa mahakama
Mimi naona huyu aende kwa akina magamba pengine anaweza kuwasaidia wao. Huku CDM ataleta giza tu.Wakati umefika wa CDM kutafuta namna ya kujiimarisha kule Zanzibar,kwangu mimi Hamad Rashid atakuwa ni kete nzuri sana kwa cdm katika kukijenga chama kule Zanzibar, hivyo nashauri cdm tumchukue huyu jamaa,maana sijaona dhambi kubwa aliyofanya.Critical /Great thinkers watatoa maoni ya kujenga na si matusi.
Wana jf mnasemaje?
Mkuu cdm imeanzishwa mwaka gani na hadi sasa imeshindwa kupenya vilivyo kule zanzibar.Wakati mwingine tuangalie hasara iliyo ndogo.
Kiutawala hatutakiwi kuipuuza Zanzibar.Kumbuka sasa cuf na ccm ni nusu kwa nusu,na unaweza kuona matatizo yaliyopo,je tukiichukua nchi 2015 kama ccm hawatatumia uhuni(God forbid),huoni ya kuwa kiutawala itakuwa ngumu sana kwa serikali ya cdm kui-manage znz? Au wewe unaonaje?Chama kimeanza 1992 kumbuka hakikusimamisha mgombea wa uraisi hadi 2005 na 2010 na 2005 chama ndo kidogo kilikua na viti vingi cha slaa,zito,ndesa,afri kabla ya 2010 kupata viti zaidi 23 kwahiyo chama kinakua.
Mimi naaimani kabisa zanzibar tutapenya kabla ya huu muda lakini pia kimahesabu zanzibar kura zinagaiwa kwa cuf na ccm nusu nusu kwa hiyo si eneo muhimu la ushindi kwetu kivile kama cuf itakufa tutaingia zenji.
Tunahitaji kuwekeza nguvu kwenye maeneo yenye kura nyingi kanda ya ziwa,dsm,kaskazini,mbeya+iringa,
Hatutaki mtu asiyekubalika nyumbani.Kumbuka tunajenga chama,hivyo labda akijiunga tu kwa hiari yake lakini si kuombwa kujiunga.Sijafika znz na hivyo siwezi kuzungumzia mvuto wa hamad huko,ninachoelewa ni kuwa ni kati ya wabunge wenye ushawishi na ni miongoni mwa walioshinda kwa ushindi mnono.Lakini pia ukimlinganisha na waznz wengi anaoneka kuwa walau ana hoja.Hamad Rashid kwa Zanzibar hana mvuto na ndio maana anaogopa hata kukanyaga, nawashauru CHADEMA kama munataka mtu mwenye mvuto na Wazanzibari ni vyema mukamchukua na Amani Karume CCM hawamtaki tena na ndio maana wameamua kumchania picha zake.
Kiutawala hatutakiwi kuipuuza Zanzibar.Kumbuka sasa cuf na ccm ni nusu kwa nusu,na unaweza kuona matatizo yaliyopo,je tukiichukua nchi 2015 kama ccm hawatatumia uhuni(God forbid),huoni ya kuwa kiutawala itakuwa ngumu sana kwa serikali ya cdm kui-manage znz? Au wewe unaonaje?
Huoni kwamba akihama atatuacha na wanachama kwani tayari umakini wa cdm utakuwa tayari umeonekana zanzibar kwa kiwango kikubwa.Tumikia kafiri upate mradi wako.mi sioni huyu jamaa kama anafaa sana kwa cdm because huyu jamaa ana uchu sana wa madaraka so asipochaguliwa atahama sio mtu mzuri kwa msimamo wa chama