CHADEMA: Mbowe atafuta wa kumrithi uenyekiti

Mtei alishasema hawez mpa mtu chama CHAKE m2 acyemjua hapo ni wakat zito alpogombea uwenyekiti akimaansha m/kiti lazma awe wa kaskazn(mchaga)...alaf mbowe nd anaongea upuuz huo khaaa atawadanganya nyie mazuzu tu...mtakuja kuniambia m/kit atakaemwachia lazma awe mchaga....over kidumu
Hivi Bob Makani alikuwa ni mchaga ee! Usidandie dandie ishu ambazo huzijui....

Zitto ni mtu wa maana kuliko huyo dingi, halafu umesahau na yeye huyo dingi ana maradhi yanamsumbua sana, hata yeye hana siku. Akiishi miaka miwili mbele itakuwa ni ajabu kubwa.

Ndugu acha mambo ya kipuuzi wewe! Kwani una uwezo wa ki-Mungu wa kufanya mtu azaliwe na kufa? Acha upuuzi huo bwana!

Asiumize kichwa amuachie Pro.SAFARI atimize ndoto yake, na atawasaidia pia kupunguza muonekano wa Ukristo ndani ya CDMA.

Mbona hajakamatwa na kushitakiwa, polisi wanamuogopa? au kwakuwa Zombe alikuwa mahabusu kwa muda mrefu alishindwa kumshughulikia? au alikuwa sehemu ya madili ya mheshimiwa akawa anayafumbia macho?
Sio kama Zombe alishindwa kumshughulikia hapana, Zombe, wakati anakwenda mahabusu alimpa nyaraka zote za ushahidi Mpendazoe, hili apeleke kwa DPP, wakamatwe wote walio kwenye mtandao wa wizi wa magari.
Bahati mbaya ule ushahidi Mpendazoe akauchana akifikilia Zombe hawezi kutoka mahubusu atafungwa maisha. Ndio maana Lema mpaka leo hawezi kwenda Mahakamani kumshtaki Zombe anajua hatakuja kuumbuka

kweli adui yako muombee njaa, magamba mnatamani mbowe apumzikee? kumbukeni wananchi ndo wenye maamuzi ya chama! zaidi ni lkwamba igunga ccm mmeshaipoteza!

Mh Mbowe hawezi kuumiza kichwa yeye kumtafuta wa kumrithi kwani yeye ndio anapiga kura nationalwide..........??? Katiba ya CDM na mambo mengine yatazingatiwa..........sanduku la kura ndilo litakaloamua.........!! Kura ni siri lakini; Ntampigia kura yangu........Zitto !

Zitto ni mtu wa maana kuliko huyo dingi, halafu umesahau na yeye huyo dingi ana maradhi yanamsumbua sana, hata yeye hana siku. Akiishi miaka miwili mbele itakuwa ni ajabu kubwa.
Hivi aliye India anaumwa wapi tena?! Hivi mkuu wa kaya anaishije au anabadilisha kisusio kila wakati. Alivyo kiwembe si wote na Nape ni wagonjwa tuu

Mtei alishasema hawez mpa mtu chama CHAKE m2 acyemjua hapo ni wakat zito alpogombea uwenyekiti akimaansha m/kiti lazma awe wa kaskazn(mchaga)...alaf mbowe nd anaongea upuuz huo khaaa atawadanganya nyie mazuzu tu...mtakuja kuniambia m/kit atakaemwachia lazma awe mchaga....over kidumu

Bob Nyanga alikuwa mwenyekiti,na yeye ni mchaga?

Mwenyekiti machahari wa chama machachari na makini cha upinzani nchini kamanda wa anga bw. Freeman mbowe amesema hana tena mpango wa kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini na badala yake anaumiza kichwa nani awe mrithi wake huku akifurahia mafanikio aliyokifikishia chama hicho..

Kamanda mbowe ameyasema hayo jana baada ya kumaliza kuhutubia mkutano mkubwa wa kumnadi mgombea udiwani..

Nikimnukuu Mbowe alisema ''nawashukuru sana makamanda kwa moyo mnaotuonyesha, hakika nafarijika sana na ndio maana nimeamua kutoendelea tena kuwa mwenyekiti ili tuwanyamazishe wabaya wetu wanosema sisi ni chama cha wachaga na wakaskazini wakati ukweli ni kwamba watu wa kaskazini ni mimi na slaa tu"..

Naomba tumtakie kila la heri kamanda wetu huyu..

Nawasilisha.

Good idea kamanda...nadhani ni maamuzi ya busara katika kukiimarisha chama chetu...But tamko hili la Kamanda Mbowe lisije likawa ni chanzo cha kukigawa chama chetu...

Mwenyekiti machahari wa chama machachari na makini cha upinzani nchini kamanda wa anga bw. Freeman mbowe amesema hana tena mpango wa kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini na badala yake anaumiza kichwa nani awe mrithi wake huku akifurahia mafanikio aliyokifikishia chama hicho..

Kamanda mbowe ameyasema hayo jana baada ya kumaliza kuhutubia mkutano mkubwa wa kumnadi mgombea udiwani..

Nikimnukuu Mbowe alisema ''nawashukuru sana makamanda kwa moyo mnaotuonyesha, hakika nafarijika sana na ndio maana nimeamua kutoendelea tena kuwa mwenyekiti ili tuwanyamazishe wabaya wetu wanosema sisi ni chama cha wachaga na wakaskazini wakati ukweli ni kwamba watu wa kaskazini ni mimi na slaa tu"..

Naomba tumtakie kila la heri kamanda wetu huyu..

Nawasilisha.

Sitaki kuamini kwamba chama hiki hakina mechanism ya kupata viongozi wake mpaka wawe annointed na mtu. Hii ndiyo dynasty ambayo tunasema haifai kwa vyama vinavyojifanya kuhubiri demokrasia kumbe ni unafiki mtupu. It confirms our fears!

Hongera sana baba Mbowe huo ni uamuzi wa busara sana na itawanyamazisha madomo hao magamba wanafip

Mwenyekiti machahari wa chama machachari na makini cha upinzani nchini kamanda wa anga bw. Freeman mbowe amesema hana tena mpango wa kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini na badala yake anaumiza kichwa nani awe mrithi wake huku akifurahia mafanikio aliyokifikishia chama hicho..

Kamanda mbowe ameyasema hayo jana baada ya kumaliza kuhutubia mkutano mkubwa wa kumnadi mgombea udiwani..

Nikimnukuu Mbowe alisema ''nawashukuru sana makamanda kwa moyo mnaotuonyesha, hakika nafarijika sana na ndio maana nimeamua kutoendelea tena kuwa mwenyekiti ili tuwanyamazishe wabaya wetu wanosema sisi ni chama cha wachaga na wakaskazini wakati ukweli ni kwamba watu wa kaskazini ni mimi na slaa tu"..

Naomba tumtakie kila la heri kamanda wetu huyu..

Nawasilisha.

Anapima upepo tu asikie tutasema nini,hana jeuri ya kuachia ngazi kirahisi namna hiyo,japo nasikia nasikia anataka kugombea urais ili apambane na mchovu Lowassa kwa kuwa anajua atamshinda kirahisi

Bob Nyanga alikuwa mwenyekiti,na yeye ni mchaga?

Hii ya uchagga na ukristo hata mimi naipinga,ni siasa za maji taka za makada wa ccm kuwapakazia wapinzani wao ili kuwachanganya wananchi,kwa kuongezea sio tu kwamba Bob Makani mwenyekiti alimtangulia Free hakua mchagga,bali hakua pia mkristo,Bob Makani ni muislam.

Bado Mbowe anafaa kuendelea kuwa mwenyekiti.Kama kweli anataka kupumzika basi ni muhimu sasa kuwa na kiongozi kijana.Na miongoni mwa vijana walioko chadema hamna anayemzidi sifa mbunge wa Ubungo.Ametulia,ana hoja,busara,sio mkurupukaji,sio mbinafsi na anaijua vema cdm.Siamini kwenye ukabila bali naamini kwenye vigezo.Kama kweli kamanda Mbowe anataka kupumzika nakushauri JJ uchukue fomu wakath ukifika.

Mwenyekiti machahari wa chama machachari na makini cha upinzani nchini kamanda wa anga bw. Freeman mbowe amesema hana tena mpango wa kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini na badala yake anaumiza kichwa nani awe mrithi wake huku akifurahia mafanikio aliyokifikishia chama hicho..

Kamanda mbowe ameyasema hayo jana baada ya kumaliza kuhutubia mkutano mkubwa wa kumnadi mgombea udiwani..

Nikimnukuu Mbowe alisema ''nawashukuru sana makamanda kwa moyo mnaotuonyesha, hakika nafarijika sana na ndio maana nimeamua kutoendelea tena kuwa mwenyekiti ili tuwanyamazishe wabaya wetu wanosema sisi ni chama cha wachaga na wakaskazini wakati ukweli ni kwamba watu wa kaskazini ni mimi na slaa tu"..

Naomba tumtakie kila la heri kamanda wetu huyu..

Nawasilisha.

Napata taabu kidogo manake heading yako "Mbowe atafuta wa kumrithi uenyekiti" plus what has been stipulated inhere zaidi ni juu ya nukuu yako kutoka kwa Mbowe zinakinzana....

Moja labda unaweza fahamu Katiba ya CDM ili utusaidie kwa nini yeye atafute wa kumrithi is that provided under CDM's Constitution? That the Chairman is the one with discretionary power?

If that so na hata kama sivyo; hiyo kauli ya Mbowe kama kweli kasema hivyo kutakuwa hakuna Demokrasia hapo as the part's name suggest. Manake kama kweli atamtafuta its very obvious kwamba he'll be the Judge of his own cause of which its agaist natural laws........

Manake huwezi kumtafuta wa kukurithi ukaenda kumpata Uganda au China ni lazime atoke within your territory sasa hapa Mhe. Mwenyekiti na Kiongozi wa Kambi rasmi Bungeni atazame hili au vinginevyo wewe uliyepost hili utuambie kuna matatizo ya kiuchapaji au uwakilishaji.

Duh! on my dead aachie ulaji ..atafanya kazi gani tena na elimu yake ya kuunga unga?

Mtamuondoa kwa bulldoza hapo nawambia yangu macho..lol

Kwahiyo anatafuta mtu wa kumrithi anachagua yeye? kama ni hivyo basi chama ni chake

Back
Top Bottom