CHADEMA: Mbowe atafuta wa kumrithi uenyekiti

1.m/kiti CHADEMA - DR.SLAA (kaskazini-Arusha), 2.Makamu - SYLVESTER KASULUMBAYI (kanda ya ziwa-shy), 3.Katibu Mkuu-DR.KITILA MKUMBO (kanda ya kati-singida), 4.Naibu katibu mkuu -John Mnyika(kanda ya mashariki-Dsm), 5............................................ 6...........................................
 
ni kawaida kwa CDM kuachiana nafasi,pia ndo demokrasia.Amekuta hali na mfumo wa kuachiana upo ni vizuri akiuendeleza,majembe yapo tena makali,tuna hakika mafanikio ya CDM yana nguvu kubwa kutokana na kamanda wa anga.

by sammosses
 
Kwa muda kumekuwepo na tetesi kwamba Mbowe angependa sana kuwania nafasi ya urais 2015. Kama hili ni kweli CHADEMA watakuwa na wakati mgumu kwa sababu pamoja na kwamba ametoa mchango mzuri kwenye chama chake lakini kukubalika kwa Mbowe ni tofauti sana na Dr. Slaa. Hapa Mbowe na uongozi mzima wa CHADEMA wanatakiwa wawe very realistic na wajue ni kwanini watanzania wengi wamekikubali hiki chama kwa kasi ya ajabu mara pale tu Dr Slaa alipotangazwa kuwa mgombea wa nafasi ya urais.
mkuu hizo tetesi zitakuwa za kwenye vijiwe vya kahawa na gongo
 
Kwani yeye alitafutwa na nani na kupachikwa hapo alipo????ni alitafutwa na mzee edwin mtei au?
 
Yeye alipewa na baba mkwe inabidi naye amwachie mkwe au shemeji au ndg wa karibu,si unajua tena kumaintain utamaduni wetu tulouzoea.
 
Kumekua na maoni tofauti juu ya nani anafaa kumrithi Freeman Mbowe nafasi ya uenyekiti wa chadema ili akiwezeshe chadema kwenda kwa mwendo wa kasi zaidi kutokana na ukweli kwamba kwa sasa chadema inahitaji mtu mungine atakaekuwa na mawazo mapya ya kuipeleka chadema mbele kutokana na bwana mbowe kuwa tayari ameshakitumikia sana chama kwenye nafasi ya uenyekiti hali inayomfanya anonekena mchovu huku katibu mkuu bwana slaa akionekana kana kwamba ndio mwenyekiti na katibu yeye mwenyewe kutokana na mbowe kuonekana kupwaya na kushindwa kwenda na kasi ya chama kwa sasa kimtindo.Kutokana na hali hiyo pamoja na safu nyembamba ya viongozi wa chadema wenye elimu ya angalau shahada ya kwanza,zitto na Lisu wamekua wakitajwa tajwa kwamba kutokana na viwango vta elimu zao ukilinganisha na viongozi wengi waliomo ndani ya sekretarieti ya chadema..

Je ni yupi anafaazaidi kati ya zitto na lissu kushika wadhifa wa uenyekiti wa chadema??
 
Its too late brother, watanzania wameerevuka na hawadanganyiki siku hizi! Issue here is not about ZITO or LISSU or WHOEVER you can mention, watanzania wanataka huduma bora za afya, elimu, utawala wa sheria na hasa haki sawa kwa wote! watu waliohujumu taifa kwa mikataba feki kushtakiwa bila kujali ni marafiki wa ccm, uboreshwaji wa mishahara ya watumishi wa umma , vyombo vya usalama kutimiza wajibu wao wa kulinda raia na si kutetea ccm, vyombo vya habari vya umma kutojipendekeza kwa ccm (TBC} na mengine mengi! Hizi cheap propaganda za kuwaondoa watu kwenye HOJA za msingi na kuwaleta kwenye DISCO LENU LA PROPAGANDA ZA KUISHAMBULIA NA KUIUA CHADEMA KAMA MLIVYOAHIDI HAMTOFANIKIWA! ZITO, LISSU, MBOWE, SLAA WANAWEZA KUONDOKA AU WASIWEPO, LAKINI HUO HAUTAKUWA MWISHO WA HARAKATI ZA MAGEUZI! HAO NI MADEREVA NA MAKONDAKTA TU, KAMA VILE AMBAVYO CHADEMA NI BASI WANALOFANYIA KAZI! KUNA MADEREVA WENGI TU WENGINE MTAANI, NA VILEVILE BASI LA CHADEMA LIKICHOKA YAKO MENGINE MENGI TU YANAZIDI KUTENGENEZWA!
 
Bila kuunganisha vyama hilo basi lenu kama yalivyokua mabasi ya kizamani NCCR ya Mrema na Marando,Cuf ya Maalim Seif na Lipumba haliwezi kuwafikisha popote,kwanza inabidi muhangaikie kujitakasa kwa waislam ambao hawakitazami chadema kwa jicho zuri bali kwa jicho la tahadhari na ni ngumu au haiwezekani kushinda uchaguzi kwa nchi yenye raia wengi walio kwenye dini mbili kubwa,waislam na wakristo,cuf walishindiwa hapo kwa propaganda za mahasimu wao tukawaambia wafanye jitihada kujitakasa kwa wakristo wakawa wakaidi tukawaacha yaliyowakuta ndio yatakayoendelea kuwakut chadema wakiendelea kuwa wakaidi na kutotilia umuhimu suala la kunazisha mawasiliano na waislam ili wawaeleze ukweli kwamba yanayoenezwa na wapinzani wao juu ya jinsi chadema kinavyowachulia waislam na uislam ni uongo
 
Tunamtakia kila la kheri ila tunaomba atakaechaguliwa asitoke tena kanda hiyo.
 
Mwanza tayari wameanza kuparurana sababu ya madaraka,tena nafasi ndogo tu ya umeya,sijui hii ya uenyekiti wa nchi kuna roho ya mtu itabaki
 
na hii nayo ni taarifa? try to be a critical & great thinker!
Source of your information? Diwani wa wapi?

in fact chadema hawarithishani madaraka kama magamba. Kikwete kwa Riz1, Nnauye kwa Nape, Mwinyi kwa Hussein, Makamba kwa January

Mapenzi mengine yakizidi mpaka mtu unakuwa kipofu, huoni , husikii na husemi ukweli. Nimesoma maneno yako hapo juu nikashangaa, ukisema CDM hawarithishani madaraka una maana gani, Mbowe alirithishwa na Mtei ambae ni mkwewe, huko sio kurithishana? Asilimia 78 ya wabunge wa viti maalum ni ndugu wa kina Mbowe, Slaa, Komu, Ndesamburo etc, huko sio kurithishana?. Kajipange mkuu, hili jamvi lina wenyewe
 
Asilimia 78%???? siyo kweli toa mchanganuo bana!!
 
Mbowe hana cha kupoteza wala cha kuongeza awe mwenyekiti au raisi the dude has fortune ila mchaka mchaka wake Labda lema au Mnyika ndio Labda watajaribu japo sio kumfikia big up airforce commander hiyo ndio democracy ya kweli....
 
Mwenyekiti machahari wa chama machachari na makini cha upinzani nchini kamanda wa anga bw. Freeman mbowe amesema hana tena mpango wa kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini na badala yake anaumiza kichwa nani awe mrithi wake huku akifurahia mafanikio aliyokifikishia chama hicho..

Kamanda mbowe ameyasema hayo jana baada ya kumaliza kuhutubia mkutano mkubwa wa kumnadi mgombea udiwani..

Nikimnukuu Mbowe alisema ''nawashukuru sana makamanda kwa moyo mnaotuonyesha, hakika nafarijika sana na ndio maana nimeamua kutoendelea tena kuwa mwenyekiti ili tuwanyamazishe wabaya wetu wanosema sisi ni chama cha wachaga na wakaskazini wakati ukweli ni kwamba watu wa kaskazini ni mimi na slaa tu"..

Naomba tumtakie kila la heri kamanda wetu huyu..

Nawasilisha.
hii ni mbinu ya kujadili majungu tu sasa mnataka JF kuwa kijiwe cha vihisia mbali mbali thread haina source wala uthibitisho tunaijadili vipi ? weka uthibitisho akimnadi diwani wa wapi ? na akasema yeye na slaa yupi ? acha hizi story za kikanda hazisaidii kitu ni upuuzi
 
Back
Top Bottom