Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
Kwa hiyo kwa akili zako za kuku wanavyuo wakiandamana kudai haki yao bodi ya mikopo wakishapata waandamane tena kushukuru?
We huoni nchi haitawaliki!!
CHADEMA haina uwezo wa kuongoza dola kwa vile bado hakijawa imara. By Dr Slaa, Katibu Mkuu wa CHADEMA
Kwa hiyo kwa akili zako za kuku wanavyuo wakiandamana kudai haki yao bodi ya mikopo wakishapata waandamane tena kushukuru?
Haya ni mawazo yako mkuu, nimekuwa nikuhudhuria vikao na mikutano ya chama, sijawahi msikia kiongozi yeyote wa ngazi ya juu akisema hivyo labda niambie ni nani na lini. By the way MBONA JANA HAWAKUTOKA KWA BUNGE??Ndugu yangu katika hili sidhani kama uko sahihi......CHADEMA walishatoa msimamo kuwa to them "KIKWETE is the legal president but an illegitimate one" na kwa katiba tuliyo nayo Rais akiisha kutangazwa hakuna kupinga kwenye vyombo vya sheria......hivyo wanalazimika kufanya naye kazi
Ni lipi la kustaajabisha lililofanywa na CCM hii imara kwa miaka 50+ sasa?
watu wenye akili nzuri tunahitaji zaidi amani, kwa vile una div 5 hutambui haya na umuhimu wa amani, amani si nje ya vita tu, bali pia akili
Chadema wanafahamu mengi zaidi maana wewe kwa akili ulitaka waingie porini ndiyo ingekuwa fahari yako
tuache tuishi kwa amani
Baada ya uchaguzi 2010 chama cha DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) hawakukubaliana na matokeo yaliyompa ushindi ndugu KIKWETE. Wakakataa kumtambua kama RAIS wa JMT. Hawakuishia hapo tu bali hata alipotinga bungeni wote walitoka nje ili kudhihirisha kutokumkubali JK kama kiongozi na rais wa JMT.
Wakiongozwa na kauli mbiu ya PEOPLES POWER, Chadema walijipambanua kuwa maamuzi na maswala muhimu yote yataamuliwa na wananchi wenyewe na wananchi ndo watakuwa mahakama kwa kila jambo la serikali.
Mpaka sasa naandika mada hii, sijawahi sikia CHADEMA wakiutangazia uma kuwa wamemtambua Jakaya Mrisho Kikwete kama rais ya Jamuhuri hii na wanautambua ushindi wake wa mwaka 2009/2010
Kwa msingi huu najiuliza yafuatayo/ na wanajavi mnisaidie.
Kwa misingi hii napenda kuwashauri viongozi wa chadema kuwa ni muda muafaka sasa waitishe KIKAO na waandishi wa habari na kuutangazia uma wa watanzania kuwa wanaifuta kauli yao waliyoitoa 2010 na wanamtambua JK kama RAIS halali wa JMT, na wataendelea kumtambua mpaka muda wake utapoisha. Or else waache unafiki wa maneno wakati matendo ni kinyume.Mimi ka mwanachama nasikitishwa na misimamo isiyotekelezeka ambayo hutolewa mara kwa mara na VIONGOZI. Hii ni kama kulamba matapishi yako mwenyewe
- Chadema wameenda IKULU mara mbili kutafuta eti BUSARA ya raisi katika maamuzi mabovu yaliyotolewa na bunge kuhusu muswaada wa KATIBA mpya.Je walienda kuonana na nani?? na Kama ni RAIS je ni yuleyule wasiyemtambua?
- Kama walivyotoka katika ile hotuba ya kwanza nini kiliwazuia jana kuto toka tena?? au huyu kikwete si yule wa wakati ule
- Je CHADEMA kwa matendo yao yanayopingana na kauli walizotoa hawaoni wanatuchanganya sisi wanachama?
- Je chadema wanapokuwa majukwaani na kusema RAIS inchi imemshinda huwa wanamaanisha RAIS yupi??
Ndg Chabruma unataka wanachama wa chadema watangaziwe mara ngapi? Halafu unataka watangaziwe wapi kwenye JF?Mbona Chadema walipoenda ikulu kuonana na rais kuhusu mchakato wa katiba,hakuna mwanachama hata mmoja wa chadema aliyehoji?
Mbona Chadema walipotoa press release baada ya kukutana na rais ikulu,hukuhoji kwamba wanachama wa chadema hawajatangaziwa kumtambua rais?
Chabruma,kama huna cha kuandika si unyamaze kimya?
Ndg Chabruma unataka wanachama wa chadema watangaziwe mara ngapi? Halafu unataka watangaziwe wapi kwenye JF?Mbona Chadema walipoenda ikulu kuonana na rais kuhusu mchakato wa katiba,hakuna mwanachama hata mmoja wa chadema aliyehoji?
Mbona Chadema walipotoa press release baada ya kukutana na rais ikulu,hukuhoji kwamba wanachama wa chadema hawajatangaziwa kumtambua rais?
Chabruma,kama huna cha kuandika si unyamaze kimya?
Nisingependa kuleta malumbano, wala kutetea vyama: they are just vehicles whose passengers have different characters. Lakini labda...kwamba CHADEMA inapoteza wanachama wengi kuliko CCM...........nitafanya utafiti
hata kitendo cha wewe kuandikia upuuzi humu ni matokeo ya sera nzuri za ccm. Mwenyekiti wako anatembelea KUB kwa sababu ya CCM. Wewe umeajiriwa hapo kinondoni kwa ajili ya ccm
Kwa taarifa yako hakuna kikao chochote kiwe cha ndani au cha hadhara ambacho CHADEMA wamewahi kutangaza kumkubali JK. Kimsingi wanachama tunashangaa kwa nini kila mara chama kinatoa msimamo huu na kinatekeleza mwingine?? Je kuna haja yeyote ya kuendelea kuamini misimamao ya viongozi wa chama?? Pia Chadema ni ya wanachama na si viongozi tu so kama walivyotutangazia kuwa hawamkubali raisi vivyoivyo watutangazie kuwa wameanza kumkubali na wataendelea