Mkuu kwani ni kosaMkuu, kila mpinzani analenga kuwa mtawala. Mnapaswa kupambana mtawale. Si kuwaunga mkono watawala.
No, wapinzani waungane wenyewe dhidi ya vyama tawala ili nao wawe watawala.
Mwaka 2016,wakati wa uchaguzi wa kule nchini Ghana, nyinyi CHADEMA mlikuwa mkimuunga aliyekuwa mgombea wa Upinzani, Rais wa sasa wa Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo aliyekuwa akichuana na Rais wa wakati huo, Mhe. John Dramani Mahama. Kwakuwa wote mlikuwa wapinzani, uungaji wenu mkono ulikuwa unaeleweka.
Mwaka huu, katika uchaguzi wa Kenya, CHADEMA mmemuunga mkono waziwazi Rais wa sasa wa Kenya na mgombea wa Jubilee Mhe. Uhuru Jomo Kenyatta. Ndiyo kusema, mmeunga mkono chama tawala ili kiendelee kutawala kule nchini Kenya. Mpinzani kuunga mkono chama tawala, ambacho nchini mwake anapambana kukiondoa madarakani, ni jambo la kustaajabisha.
Mwanachama wenu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Ndugu Edward Ngoyai Lowassa amejitokeza mubashara jukwaa la Jubilee kukipigania chama tawala Kenya ili kiendelee kutawala. Kama Rais Uhuru Kenyatta atashinda tena, naye atapanda jukwaa la CHADEMA mwaka 2020 kuwanadi? Imekuwaje hadi nyinyi wapinzani muunge mkono chama tawala?
Tuamini kuwa hata Tanzania nyinyi CHADEMA mnazuga tu kupambana na chama tawala CCM huku mkiwa mnapenda CCM iendelee kuongoza? Kwakweli, CHADEMA hamueleweki kirahisi katika hili!
Nina wasiwasi kuna mahali umejichabganya!Mkuu, Jubilee ndiyo CCM ya Kenya.
Kwa akili ya kawaida tu, mnategemea wakati wa kampeni za 2020 Kenyatta akiwa rais wa Kenya aje kwenye kampeni za upinzani Tanzania na apande jukwaa moja na Lowassa?.
Tatizo letu watanzania tunapenda sana kuongea mpaka tunajikuta tunawawekea maneno mdomoni watu wengine. Na hilo ni kosa kisheria...sasa labda ulitaka wasiunge mkono mgombea yeyote mwenye uwezekano wa kuwa Raisi.
..Uhuru hawezi kuja Tz na kupanda majukwaani kuwa support CDM, unless unataka kusema ana busara sawa na yule Waziri wa serikali ya JK aliyempanda jukwaani kumsupport Raila Odinga.
..Pia msaada hata wa ushauri kuhusu mbinu na mikakati ya uchaguzi unatosha.
NB.
..Tumefika hapa kutokana na urafiki wa Raila Odinga na bwana mmoja huku Tz.
Cc Nyani Ngabu
Mtabwabwaja lakini ukweli mnaufahamu. Wananchi wa Kenya wameonesha pasipo shaka kwamba udikteta hauna nafasi katika siasa zao na kama kuna kiongozi alijinadi hivyo imekula kwake. Demokrasia imeshinda na mtake msitake utawala wa mabavu umekataliwa na Wakenya, period.Analosema au alofanya EL ndo jambo la CDM cause ni mali yake, alisha uziwa na mbowe. Akiwa Kenya alishatangaza atagombea urais kupitia ' chama chake CDM'
Wewe Mngoni naona unatafuta matusi ya bure hapa. Kwani wewe hujui kwanini wanampigia kampeni Uhuru? Hata wewe ukitaka kuitwa msaliti kosoa makamanda wao. Tatizo siyo kuunga mkono Uhuru wao wanafikiri wanamkomoa Odinga kwa urafiki wake na JPM. Na kuhusu 2020 Uhuru hata wasaidia kukampeni maana anajua hawawezi kushinda.Mkuu, unatamani niwe CHADEMA? Kweli una Magonjwa Mtambuka
Lugha hasi ya magufuli wanaita "cloud cuckoo land" ndiyo nchi wanayoishi hawa wajemeni
Aisee nimecheka sana baada ya kuona mtu kaanzisha uzi akisema kwamba ushindi wa Uhuru ni ushindi wa CHADEMA.
Hawa watu naona wanaishi kwenye ulimwengu wao peke yao.
Sawa,nipo tayari mtani. Na mtani Nyani Ngabu awepo.Wewe Mngoni naona unatafuta matusi ya bure hapa. Kwani wewe hujui kwanini wanampigia kampeni Uhuru? Hata wewe ukitaka kuitwa msaliti kosoa makamanda wao. Tatizo siyo kuunga mkono Uhuru wao wanafikiri wanamkomoa Odinga kwa urafiki wake na JPM. Na kuhusu 2020 Uhuru hata wasaidia kukampeni maana anajua hawawezi kushinda.
Ndiyo maana nimekuomba tuanzishe chama chetu chenye wanachama wapya na ambao hawana makandokando ya u ccm ama ukawa kama wengi wa humu jf.
Tueleweshe hizo za kmataifa. Maana huwezi kubadilisha kila kukicha mwaka 2013 upo na nasa mwaka unaofuata upo na chama kingine. Nigel Farage alimkampenia Trump sababu Trump ni kama yeye ni far right ila aliyejificha kama conservative, Labour hata siku moja wanaweza kwenda kukampeni kwa Republican Marekani sababu wana itikadi za mrengo tofauti. Na kama Labour wapo madarakani ni nadra kwenda kukampeni marekani sijui hizo siasa zako za kimataifa ni mataifa gani. Labda mataifa ya kenya na kenya. Mwisho Petro japo ni mwanasheria lakini sidhani kama si muelewa wa haya masuala kama unavyojitahidi kumdhalilusha.Mkuu kwakweli umeonyesha haujui Siasa za kimataifa na diplomasia.....uliza uelekezwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo tena lazima awemo maana chama chetu bora kisiwe na mamilioni ya wanachama lakini kiwe na wenye umakini. Nimepitia comments hapa mpaka najiuliza kama watu huwa wana research ama wanaamua tu kujibu sababu wana bundle za data za kuchezea.Sawa,nipo tayari mtani. Na mtani Nyani Ngabu awepo.
Sawa,nipo tayari mtani. Na mtani Nyani Ngabu awepo.
Unapounga mkono chama fulani kwenye uchaguzi hasa wa urais unasukumwa na mgombea aliyeko kweye chama kile. Itoshe tu kukuambia ndugu yamgu, maana inaonekana umekwepa kuliseme hili. Mwaka 2015, Raila alikuwa upande wa chadema kama mpinzani mwenzao, kilichotokea ni kwamba baada ya jpm kupitishwa na ccm (jambo ambalo alikuwa hategemei ofcourse), ghafla akageuka akaelekea kwa jpm. Hapo ndipo palipoleta shida. Na mengine aliyofanya Odinga kwa chadema anafahamu mwenyewe maana (hata matokeo ya leoMwaka 2016,wakati wa uchaguzi wa kule nchini Ghana, nyinyi CHADEMA mlikuwa mkimuunga aliyekuwa mgombea wa Upinzani, Rais wa sasa wa Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo aliyekuwa akichuana na Rais wa wakati huo, Mhe. John Dramani Mahama. Kwakuwa wote mlikuwa wapinzani, uungaji wenu mkono ulikuwa unaeleweka.
Mwaka huu, katika uchaguzi wa Kenya, CHADEMA mmemuunga mkono waziwazi Rais wa sasa wa Kenya na mgombea wa Jubilee Mhe. Uhuru Jomo Kenyatta. Ndiyo kusema, mmeunga mkono chama tawala ili kiendelee kutawala kule nchini Kenya. Mpinzani kuunga mkono chama tawala, ambacho nchini mwake anapambana kukiondoa madarakani, ni jambo la kustaajabisha.
Mwanachama wenu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Ndugu Edward Ngoyai Lowassa amejitokeza mubashara jukwaa la Jubilee kukipigania chama tawala Kenya ili kiendelee kutawala. Kama Rais Uhuru Kenyatta atashinda tena, naye atapanda jukwaa la CHADEMA mwaka 2020 kuwanadi? Imekuwaje hadi nyinyi wapinzani muunge mkono chama tawala?
Tuamini kuwa hata Tanzania nyinyi CHADEMA mnazuga tu kupambana na chama tawala CCM huku mkiwa mnapenda CCM iendelee kuongoza? Kwakweli, CHADEMA hamueleweki kirahisi katika hili!
Halafu bado nimefulia. Natia hurumaMtani we ushanunuliwa na ma CCM wewe.
Huaminiki tena.
ππ