Wewe ni Moja ya watu mizigo kwa hili Taifa! Kwa akili yako unadhani anakomolewa JPM! Unasahau 2013 CDM walimuunga mkono Odinga na ODM yake, Kisha 2015, yeye Odinga akawageuka Cdm na kuunga mkono JPM na CCM! Leo unataka CDM wafanyeje? It is wise to shut up if you don't know!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka 2016,wakati wa uchaguzi wa kule nchini Ghana, nyinyi CHADEMA mlikuwa mkimuunga aliyekuwa mgombea wa Upinzani, Rais wa sasa wa Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo aliyekuwa akichuana na Rais wa wakati huo, Mhe. John Dramani Mahama. Kwakuwa wote mlikuwa wapinzani, uungaji wenu mkono ulikuwa unaeleweka.
Mwaka huu, katika uchaguzi wa Kenya, CHADEMA mmemuunga mkono waziwazi Rais wa sasa wa Kenya na mgombea wa Jubilee Mhe. Uhuru Jomo Kenyatta. Ndiyo kusema, mmeunga mkono chama tawala ili kiendelee kutawala kule nchini Kenya. Mpinzani kuunga mkono chama tawala, ambacho nchini mwake anapambana kukiondoa madarakani, ni jambo la kustaajabisha.
Mwanachama wenu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Ndugu Edward Ngoyai Lowassa amejitokeza mubashara jukwaa la Jubilee kukipigania chama tawala Kenya ili kiendelee kutawala. Kama Rais Uhuru Kenyatta atashinda tena, naye atapanda jukwaa la CHADEMA mwaka 2020 kuwanadi? Imekuwaje hadi nyinyi wapinzani muunge mkono chama tawala?
Tuamini kuwa hata Tanzania nyinyi CHADEMA mnazuga tu kupambana na chama tawala CCM huku mkiwa mnapenda CCM iendelee kuongoza? Kwakweli, CHADEMA hamueleweki kirahisi katika hili!
Kama huyu ni 'kamanda' basi na Dr Slaa ni 'kamanda'Huwaelewi makamanda wenzako?
Msimamo kwa mtu aliekusaliti na kwenda Kambi nyingine? Kuna Mapenzi ya kulazimishana Karne hii? Hebu kaa chini tafakari maana unachokitaka hakipo wala hakitawahi kutokea katika Political Trend yoyote ile! Leo CDM ni Chama Rafiki na Chama kilichopo Madarakani nchini Ghana, ukisema msimamo ni kwamba tusiwe na urafiki na vyama Tawala, tu maintain kuwa Wapinzani, huko ni kuwa na mindset ya Upinzani forever, na sii kuja kushika dola! Change your mindset bro!mkuu cjawa mzigo ila nimekua mtaka haki-so sisi tunashindana na mkulu kwa kile anacho takaa-leo mkulu kumsapot odinga kumekua uvunjifu wa katba na kuanza vichuki ,odinga alituunga mkono ila kuna ubaya gani cc tukaonesha msimamo kuliko kuonesha vichuki,ninavo fahamu mm cc chadema tumekua watu wa kukomoa cku izii,msimamo wetu ni muhmu ili kuepuka kusto jifahamu-ukipenda ukweli hata awe mzee wako!! kosa utaliona tuu!!! au ndo tunaona kauli ya chama awezi kukosolewa basi neno demokrasia tuliondoshe,chama ni msimamo
Sikuwahi kusikia CDM wakisema hadharani kwamba wanaunga mkono Kenyatta zaidi ya kumuona ruwassa jukwaa la jubilee
Sikuwahi kusikia CDM wakisema hadharani kwamba wanaunga mkono Kenyatta zaidi ya kumuona ruwassa jukwaa la jubilee
Mkuu 2015 Odinga ambaye ni icon ya upinzani Kenya alikuwa akimuunga mkono mgombea yupi kati ya Lowasa wa upinzani na Magufuri wa Chama tawala Tanzania?Mwaka 2016,wakati wa uchaguzi wa kule nchini Ghana, nyinyi CHADEMA mlikuwa mkimuunga aliyekuwa mgombea wa Upinzani, Rais wa sasa wa Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo aliyekuwa akichuana na Rais wa wakati huo, Mhe. John Dramani Mahama. Kwakuwa wote mlikuwa wapinzani, uungaji wenu mkono ulikuwa unaeleweka.
Mwaka huu, katika uchaguzi wa Kenya, CHADEMA mmemuunga mkono waziwazi Rais wa sasa wa Kenya na mgombea wa Jubilee Mhe. Uhuru Jomo Kenyatta. Ndiyo kusema, mmeunga mkono chama tawala ili kiendelee kutawala kule nchini Kenya. Mpinzani kuunga mkono chama tawala, ambacho nchini mwake anapambana kukiondoa madarakani, ni jambo la kustaajabisha.
Mwanachama wenu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Ndugu Edward Ngoyai Lowassa amejitokeza mubashara jukwaa la Jubilee kukipigania chama tawala Kenya ili kiendelee kutawala. Kama Rais Uhuru Kenyatta atashinda tena, naye atapanda jukwaa la CHADEMA mwaka 2020 kuwanadi? Imekuwaje hadi nyinyi wapinzani muunge mkono chama tawala?
Tuamini kuwa hata Tanzania nyinyi CHADEMA mnazuga tu kupambana na chama tawala CCM huku mkiwa mnapenda CCM iendelee kuongoza? Kwakweli, CHADEMA hamueleweki kirahisi katika hili!
Welp....msikie basi hapa mwenyekiti wa maisha wa chama!!
Halafu nambie umemsikia kasemaje....
..kwenye nchi za wenzetu ambako demokrasia zao zimekomaa kuna VYAMA VYA SIASA.
..wenzetu hawana siasa changa za chama tawala vs chama upinzani.
..Chama kilichoshinda uchaguzi Ghana kilikuwa madarakani wakati wa Raisi John Kuffour.
..Raisi wa Ghana wa sasa hivi Nana Ado alijaribu kumrithi John Kuffour lakini akashindwa.
..CDM wanapaswa kuwa na VYAMA RAFIKI bila kujali vyama hivyo viko madarakani au la.
.
Msimamo kwa mtu aliekusaliti na kwenda Kambi nyingine? Kuna Mapenzi ya kulazimishana Karne hii? Hebu kaa chini tafakari maana unachokitaka hakipo wala hakitawahi kutokea katika Political Trend yoyote ile! Leo CDM ni Chama Rafiki na Chama kilichopo Madarakani nchini Ghana, ukisema msimamo ni kwamba tusiwe na urafiki na vyama Tawala, tu maintain kuwa Wapinzani, huko ni kuwa na mindset ya Upinzani forever, na sii kuja kushika dola! Change your mindset bro!
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo umeandika kama mtu asiye na kichwa Mdogo wangu! Uungaji mkono hutegemea maslahi! Why hujiulizi kwa nini CCM haikumuunga mkono Kenyatta wa chama tawala? Hujiulizi kwa nini mpinzani wa Serikali ya Kenya amekaribishwa Chato na Rais wetu bila kujali kuharibu mahusiano ya Nchi hizi mbili?Mwaka 2016,wakati wa uchaguzi wa kule nchini Ghana, nyinyi CHADEMA mlikuwa mkimuunga aliyekuwa mgombea wa Upinzani, Rais wa sasa wa Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo aliyekuwa akichuana na Rais wa wakati huo, Mhe. John Dramani Mahama. Kwakuwa wote mlikuwa wapinzani, uungaji wenu mkono ulikuwa unaeleweka.
Mwaka huu, katika uchaguzi wa Kenya, CHADEMA mmemuunga mkono waziwazi Rais wa sasa wa Kenya na mgombea wa Jubilee Mhe. Uhuru Jomo Kenyatta. Ndiyo kusema, mmeunga mkono chama tawala ili kiendelee kutawala kule nchini Kenya. Mpinzani kuunga mkono chama tawala, ambacho nchini mwake anapambana kukiondoa madarakani, ni jambo la kustaajabisha.
Mwanachama wenu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Ndugu Edward Ngoyai Lowassa amejitokeza mubashara jukwaa la Jubilee kukipigania chama tawala Kenya ili kiendelee kutawala. Kama Rais Uhuru Kenyatta atashinda tena, naye atapanda jukwaa la CHADEMA mwaka 2020 kuwanadi? Imekuwaje hadi nyinyi wapinzani muunge mkono chama tawala?
Tuamini kuwa hata Tanzania nyinyi CHADEMA mnazuga tu kupambana na chama tawala CCM huku mkiwa mnapenda CCM iendelee kuongoza? Kwakweli, CHADEMA hamueleweki kirahisi katika hili!
Sawa.Kama huyu ni 'kamanda' basi na Dr Slaa ni 'kamanda'
Na chama chao ongoza kina fuata misingi ya demokrasia kama Chadema!Nahisi Kenya hawana chama tawala ila wana chama ongoza.